Daz Wise Reposted

Mbosso ni zaid ya diamond 🦁 na Harmonize 💨


Daz Wise Reposted

Badala ya kuendelea kumshauri @Sativa255 atulie, tushauri kufanyiwa kazi yale anayolilia. Jeshi la police @tanpol liseme limefikia wapi uchunguzi wa suala la kutekwa kwake na limechukua hatua gani. Hiyo ndio njia pekee angalau ya kupunguza ganzi aliyokuwa nayo moyoni mwake.

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

MAKE THIS HASHTAG TREND 👊🏽 Please REPOST AND SHARE #Tanzania We need @mdudechadematz RELEASED and ALIVE! #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude 👉🏽Ni wajibu wetu kwenda kwenye akaunti za…

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Mama Ni Mwanamke pekee anatamani Ufanikiwe zaidi yake .usipite bila kusema Asante Mama ❤️

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Profesa is Back......! Hongereni Mikumi ASANTE MUNGU


Daz Wise Reposted

🚨POLICE BRUTALITY #TANZANIA🚨🚨 Police have forcefully stopped Opposition leader @freemanmbowetz and his delegation from proceeding with their campaign in Mbozi district The man in red being brutalized is @mdudechadematz - there is absolutely NO REASON for such overwhelming…


Daz Wise Reposted

Tumejulishwa na Mhe. Mwakajoka kuwa Jeshi la Polisi Mkoani Songwe limewakamata Mhe. Mbowe, Mhe. Sugu, Mhe. Haonga, Ndg. Mdude na wengine. Tunatoa wito kuwa waachiwe mara moja na Jeshi la Polisi liache kuingilia kampeni za Uchaguzi kwa maslahi ya CCM.

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

MBOWE AMEKAMATWA NA JESHI LA POLISI MUDA HUU. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa…

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Mwenyekiti @freemanmbowetz na Viongozi wengine wamepelekwa kituo cha polisi Vwawa. Kuna chanzo kimenijulisha kuwa ni maelekezo kutoka juu kukwamisha mkutano wa leo mchana Vwawa na wa jioni Tunduma. Polisi @tanpol msikubali kuendelea kutumika. Muachieni Mwenyekiti kwa haraka…


Daz Wise Reposted

Bado kidogo pakuche .


Daz Wise Reposted

Ni Kazi ya nguvu ya umma kuhakikisha Bango hili linasambaa kila sehemu, #Repost

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Tunaelewa, chaguzi hizi sasa zipo chini ya mikono ya wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na wakuu wa vyombo vya usalama katika wilaya zote. Wakuu wa Usalama Wilaya (DSO), Wakuu wa Polisi Wilaya (OCD) wote wameamua sasa kushughulika na wanasiasa wa CHADEMA. Mifano ipo…

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Tusisahau kuwaombea wenzetu wa kariakoo #PrayForKariakoo


Daz Wise Reposted

CLASSIC ya Muda wote 👊🏾🔥🎶

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Kanisa katoliki nchini Kenya limekataa mchango wa mamilioni ya Pesa wa Rais Ruto na Gavana wa Nairobi, tena Kanisa limesema linarudisha pesa hizo. Pia limetoa msimamo wa kuzuia wanasiasa kutoa michango makanisani kwa maslahi yao ya Kisiasa kwani ni kuika maadili ya Kanisa.

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa mchango wa Shilingi za Kenya milioni 5.6 (takriban Shilingi za Kitanzania milioni 104) uliotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto siku ya Jumapili.…

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe @freemanmbowetz ataongea na Watanzania kupitia kwa Wana habari kesho saa tano asubuhi.

Tweet Image 1

Daz Wise Reposted
Tweet Image 1

Daz Wise Reposted

Nimetazama tukio la kuaga miili ya waliofariki katika ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo, wengi waliofariki ni waliozaliwa kuanzia mwaka 1990-2004. Ni vijana wadogo sana. Kundi la vijana waliojiajiri katika sekta binafsi ni wengi sana. Serikali iweke nguvu katika eneo hilo.


Daz Wise Reposted

Kwenye video za tukio la Kariakoo, kuna Mtanzania wa kawaida kazi yake ni kupiga kelele kuita Wateja ili apate buku au buku mbili, Jamaa ajali ilivyotokea alikuwa anazama chini kuokoa Wahanga, Mwana ni fukara wa mali ila Bilionea wa roho. Kuna Wafanyabiashara maduka yao yana…


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.