Tanzania Volleyball Federation
@tzvolleyballfedOfficial Twitter Account for Tanzania Volleyball Federation. 🇹🇿 Ukurasa Rasmi wa Shirikisho la Mpira wa Wavu Tanzania.🇹🇿 #Getinvolved #Keeptheballflying
Similar User
@magotimtani
@KToptown
@comraderupia
@bernfaza
@1Lordrock
@Devy121212
@SautiMakini
Tunawatakia heri ya sikukuu ya Idd el Fitri
Karibuni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TAVA Usikose kuwa mshiriki wa maboresho ya mpira wa wavu TANZANIA. Mabadiliko ni sasa! Karibu Dar es salaam. UMOJA WETU MCHEZO WETU
#NyerereDay Chama Cha Mpira wa Wavu Tanzania (TAVA), kinawatakia heri katika siku hii ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius K. Nyerere.
TVNL Baada ya Jana TANESCO a.k.a WAKATA UMEME, kulazimisha game 3 dhidi ya KIUT, leo ni mtifuano wa Game 3, mmoja tu kwenda Final Indoor Saa moja jioni...⚡⚡ Infos @magotimtani @magotimtani @JayleenRickie @MissChelsea1221 @Eddo142
Ni Leo tena, Je Star Girls na TANESCO watapindua Meza dhidi ya MAGEREZA na KIUT tukutane Indoor Saa kumi na Moja jioni Infos @JayleenRickie @magotimtani @MissChelsea1221 @Eddo142
Live Now On Azam Sports 3 JESHI STARS vs KIUT (Women) Later on 1900HRS CHUI vs JESHI STARS (Men) Infos @magotimtani @JayleenRickie @Eddo142 @MissChelsea1221
🚨Reminder 🚨Reminder🚨Reminder Yes Ni Leo Kuanzia Saa nane hadi Saa nne Usiku Tanzania Volleyball National League Itakuwa Inaunguruma Pale Indoor Usikose Infos @magotimtani @azamtvtz @JayleenRickie @Eddo142 @MissChelsea1221 Usikose
#TAVA# #TVNL# Kuelekea Wiki ya Mwisho LIGI YA TAIFA YA MPIRA WA WAVU 2022 Usikose Kusikiliza na Kutazama Mkutano na Waandishi wa Habari Saa saba mchana, Indoor Dsm Infos @magotimtani @azamtvtz @Eddo142 @JayleenRickie @MissChelsea1221 @earadiofm @shaffihdauda1
#TVNL# Wajela Original hawa hapa, wenye Volleyball yao Mabingwa watetezi ikiwa inaitwa Club Bingwa Winning Chance: 95% 😉😉😉 ( Betting yako isinizingatie ukichaniwa mkeka) More Infos @magotimtani @azamtvtz @JayleenRickie @Eddo142
#TVNL# Nawaleta kwenu TANESCO a.k.a Wakata Umeme⚡⚡⚡ Washindi wa pili DAREVA 2022 Winning Chance: 65% 😉😉😉 ( Ongeza Umakini na Odd zako) Infos @magotimtani @azamtvtz @JayleenRickie @Eddo142
#TVNL# Ijue KIUT Men Team iliyoanzishwa 2021 Chini ya Coach Msami na Captain Stalon Mabingwa wa DAREVA 2022 na Washindi wa Pili One Africa Tournaments Last 5 games results: WWWWL Winning Chance: 80%😉😉 (bet kwa uangalifu Infos @magotimtani @azamtvtz @JayleenRickie @Eddo142
#TVNL# Ijue KIUT Women Team iliyoanzishwa 2021 Chini ya Coach Msami na Captain Salma Mabingwa wa TUSA one Africa Tournaments. Last 5 games results: WWWWL Winning Chance: 70%😉😉 (bet kwa uangalifu) More Infos @magotimtani @azamtvtz @JayleenRickie @Eddo142
RT🙏 Kuelekea Tarehe 03 October, Playoffs and Finals, TVNL IJUE TIMU YAKO!!!!!! Next Posts Mbabe Mmoja Baada Ya Mwingine, usije kosea kubet😃😃😃 Andaa kalamu na karatasi kisha kaa chini mwanetu!!! More infos @Tanzaniavolley1 @magotimtani @Azamtvtz and IG @tavatanzania
Kuelekea Tarehe 03 October, Playoffs and Finals, TVNL IJUE TIMU YAKO!!! Next Posts Mbabe Mmoja Baada Ya Mwingine, usije kosea kubet😃😃😃 Andaa kalamu na karatasi kisha kaa chini mwanetu!!! Infos @magotimtani @JayleenRickie @Eddo142 @MissChelsea1221 and IG @tavatanzania
#TVNL# Ratiba Kamili ya Playoffs na Finals Wababe 8 HAWA HAPAA.. Chagua Upande alafu ukiweza bet na jirani, mwambie Hamtokiiiiiiiiii TANZANIA VOLLEYBALL NATIONAL LEAGUE, VUMBI MKONONI💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾 More Infos @magotimtani @Azamtvtz @Eddo142 @JayleenRickie
#PLAYOFFS #FIXTURES Ratiba ya Playoffs na Fainali zitakazoanza tar3-7 Oktoba pale Benjamin Mkapa Indoor Stadium. Wote mnakaribishwa. #TVNL2022 #VumbiMkononi @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CjCxXa-tCtc/…
TVNL - Playoffs & Finals Indoor Dar es salaam, 03 Octoba, 2022. Timu - 8 kutoana jasho - Njoo ushuhudie burudani hii au angalia Live kupitia Azam TV Tufuatilie kupitia @Tanzaniavolley1 @azamtvtz @official_tava @earadiofm @EfmTanzania @DavidKampista @shaffihdauda1
Yes ni TANZANIA VOLLEYBALL NATIONAL LEAGUE Playoffs na Finals Indoor Dar es salaam kuanzia tarehe 03 October, Miamba 8 kutoana jasho, njoo ushuhudie burudani hii.. Live on Azam TV More infos follow, @magotimtani @Azam tv @Eddo142 @JayleenRickie na IG ni @official_tava
United States Trends
- 1. Luka 43,6 B posts
- 2. taina 2.463 posts
- 3. #SnoopDoggXboxChainGiveaway N/A
- 4. Greece 46,2 B posts
- 5. Greece 46,2 B posts
- 6. Jamie Foxx 22,6 B posts
- 7. Mavs 20,2 B posts
- 8. Kyrie 12,8 B posts
- 9. Shai 16,1 B posts
- 10. WNBA 33,6 B posts
- 11. Randy Moss 4.017 posts
- 12. #SkeletonCrew 7.270 posts
- 13. The Onion 9.154 posts
- 14. Infowars 18,8 B posts
- 15. Mitch 63,9 B posts
- 16. Jake Burger 2.089 posts
- 17. SantaMoney 2.700 posts
- 18. Chet 5.281 posts
- 19. Thunder 90,5 B posts
- 20. Mel Gibson 17,7 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.