Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya Masache Kasaka amegawa Majiko ya Gesi kwa Shule zote za Msingi na Sekondari Wilayani Chunya Mkoani Mbeya. Ugawaji wa Majiko umefanyika kwenye Bonanza la walimu na Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhe. Alhaj Batenga.
Kulia ni Ndugu Ezekiel Gwatengile mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Mbeya akiwa na Ndugu Lusubilo Mwakabibi mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wakipongezana kwa ushindi wa chama chao Busokelo Mbeya ambapo vijiji vyote Chama hicho kimeshinda.
MBUNGE MASACHE ATIMIZA HAKI YAKE KIKATIBA. Mbunge Jimbo la Lupa-Chunya Mhe. Masache Kasaka amepiga kura katika Kitongoji anachoishi Sinjilili A, Chunya Mkoani Mbeya, na kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. SERIKALI ZA MITAA SAUTI YA WANANCHI JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa (NEMC) Dr. Gwamaka Mafwenga, amepiga kura katika Kitongoji cha Kalalo Kata ya Lufingo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya leo Novemba 27,2024
MBUNGE wa Viti maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Fyandomo amewaomba Watanzania kote nchini kuwachagua wagombea wa CCM katika nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kesho Novemba 27,2024. Ameyasema hayo leo akiwa Kata ya Chimala Wilayani Mbarali.
Mjumbe wa Baraza kuu UWT Taifa Mkoa wa Songwe mwimbaji wa nyimbo za injili Tumaini Mbembela amefanikiwa kuandaa jogging na bonanza la michezo 16/11/2024 Mjini Tunduma akihamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa kwa Amani Upendo na furaha pia kuhamashisha mazoezi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024.
Mwenyekiti mteule Wa kijiji cha Matebete Kata ya Itamboleo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya Ndugu LOKORDU ELIAKIMU SILOMA (Kulia), akikabidhi Panel 4 za Solar kwenye Zahanati ya Matebete kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya Giza.
Wana Mbeya Ndugu Julius Jailo Ndeje ambaye ni mdau wa Maendelea Mbeya (kulia) akiwa na Ndugu Dk. Mary Mwanjelwa Leo tar 31/10/2024 kwenye SGR (Treni ya Mwendo kasi Royal VIP Class) Dar Es Salaam kuelekea Dodoma. Ndugu Ndeje ameipongeza Serikali kwa uwekezaji huo wa usafiri.
Wana Mbeya Ndugu Julius Jailo Ndeje ambaye ni mdau wa Maendelea Mbeya (kulia) akiwa na Ndugu Dk. Mary Mwanjelwa Leo tar 31/10/2024 kwenye SGR (Treni ya Mwendo kasi Royal VIP Class) Dar Es Salaam kuelekea Dodoma. Ndugu Ndeje ameipongeza Serikali kwa uwekezaji huo wa usafiri.
JUMUIYA ya Nyikani Tv inamtakia kheri na fanaka mdau wetu katika Sekta ya Habari na Teknolojia nchini Ndugu Obadia Burton Mwangoka, katika siku yake ya kumbukumbu ya Tarehe ya kuzaliwa kwake. Mungu azidi kumlinda na kumpa tabasamu katika majukumu yake.
JUMUIYA ya Nyikani Tv inamtakia kheri na fanaka mdau wetu katika Sekta ya Habari na Teknolojia nchini Ndugu Obadia Burton Mwangoka, katika siku yake ya kumbukumbu ya Tarehe ya kuzaliwa kwake. Mungu azidi kumlinda na kumpa tabasamu katika majukumu yake yote.
M-NEC Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela akiongea na wazee wa Mbeya Vijijini kwenda kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura na kuhimiza kaya zao kwenda mapema kujiandikisha ili wapate haki yao ya kuchagua viongozi waadilifu na wapenda maendeleo katika maeneo yao.
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Mhandisi Maryprisca Mahundi (Kulia waliokaa) ameshiriki katika ufunguzi wa Kongamano la 8 la TEHAMA Nchini, (TAIC) linalofanyika katika Ukumbi wa mikutano Wa JNICC Leo Octoba15, 2024
Ndugu Geofrey A.Mkumbwa mdau wa Elimu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya akijiandikisha katika Daftari la Wakazi wa Kitongoji cha Lupaso, Kijiji cha Katabe Kata ya Kyimo kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu.
Baada ya Chama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya kutangaza nafasi ya Katibu Mwenezi, Ndugu Robert Mwandi (Kushoto) amefika katika ofisi za chama hicho Mjini Tukuyu na kuchukua Fomu ya kugombea nafasi hiyo leo Septemba 30,2024.
Jumuiya ya Nyikani Tv, tunapenda kukupongeza mdau wetu wa habari Bi.Esther Mwakasala kwa kuifikia kumbukumbu ya Tarehe yako ya kuzaliwa leo Septemba 28,2024. Mungu azidi kukupa Afya njema na uendelee kufahamu kuwa ulizaliwa kwa ajili ya kuwabariki wengine.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Ndugu Ndele Mwaselela amechangia kiasi cha Shilingi Millioni moja (Tsh. 1,000,000) papo kwa papo kuwaunga mkono wananchi wa kata ya Matundusi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya katika ujenzi wa sekondari mpya ya Masache.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Ndugu Ndele Mwaselela NEC Ndele Mwaselela amechangia kiasi cha Shilingi Millioni moja (Tsh. 1,000,000) papo kwa papo kuwaunga mkono wananchi wa kata ya Matundusi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya katika ujenzi wa sekondari mpya ya Masache
United States Trends
- 1. Vandy 6.191 posts
- 2. #SmallBusinessSaturday 6.103 posts
- 3. #GoBlue 4.862 posts
- 4. Buckeyes 6.225 posts
- 5. Real ID 15,1 B posts
- 6. #GoBucks 3.596 posts
- 7. $CUTO 8.650 posts
- 8. Vanderbilt 3.206 posts
- 9. #TheGame N/A
- 10. College Gameday 1.563 posts
- 11. Dude Perfect 1.597 posts
- 12. #Caturday 7.286 posts
- 13. Zelensky 138 B posts
- 14. Squirrel Girl 1.026 posts
- 15. Las Palmas 56,2 B posts
- 16. LaNorris Sellers N/A
- 17. Barca 147 B posts
- 18. Grok 57,9 B posts
- 19. Trudeau 202 B posts
- 20. Gus Johnson N/A
Something went wrong.
Something went wrong.