Similar User
watu wa fole photo

@miraj_teu

kabape photo

@KabapeVinc82116

Chris West photo

@rdlyfe

Rehan photo

@ICON0142

Benda_Nascimento photo

@BendaNasciment1

hitman agent 47 photo

@simonshilla

mtoto Wa Africa 🙋 photo

@Oloitayl

Saidi Zinge jr photo

@saidizingejr98

Mr Black photo

@William79053363

ATOM‌♧ photo

@jeff_10003

Abisalome Anyasime photo

@AbisalomeAnyas1

Vince Setson photo

@setson_vince

BTM Reposted

Heyyy! @Wakazi you don't know me but I've been on a wheelchair most of my life and today I finally stood up just to turn you MUSIC off.🤨😐


BTM Reposted

No. It means you are proud of your first language. - When Chinese meet, they proudly speak Chinese. - When indians meet, they proudly speak Hindi. - When french meet they proudly speak french. - When Englishmen meet everyone, they proudly speak english. Are they behaviorally…


BTM Reposted

Ule Utaalam Na Ufanisi Alioufanya BBC Swahili Ameuleta Crown FM,Media Coverage Live,Toka Asubuhi Yuko Kwenye Maandamano Apewe Retweet 500

Tweet Image 1

BTM Reposted

“Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia, akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako”! JIJI NI LETU SOTE, JIJI NI LA ​​KILA MMOJA. @chiefodemba


BTM Reposted

Wewe mzee miaka 40+ unaua VIJANA wadogo utazani wewe utafika 2099. Umeteka vijana wenzetu, familia zao zinalia kila siku hazijui kama hata hao watoto wao wapo au wamekufa. Unasumbua mama za watu kuzurura kwenye mapolisi yenu yenye mapokezi mabovu. Unafanya wazazi wetu waingie…

Tweet Image 1

BTM Reposted

TUMSAIDIE MWANA X FAMILIA MWENZETU ALIYEPATA AJALI JUZI USIKU Namba yake; 0693017707 Jina: LUCKY MWAKABENGA X FAMILIA TUMSHIKE MKONO MWENZETU. Repost 40 hapa.

Tweet Image 1

BTM Reposted

Killing Machine. Repost 200 watu walijue lililotaka kuniua.

Tweet Image 1

BTM Reposted

Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema…


BTM Reposted

Jamii ya Twitter (X) naombeni msaada wenu nimempoteza Kaka yangu aitwaje Abubakari Abdi Suleiman. Nimemtafuta Hospitali zote na vituo vyote hapa Arusha bila mafanikio. Tafadhali naomba mnisaidie kurepost ifike mbali niweze kumpata ndugu yangu.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

BTM Reposted
Tweet Image 1

BTM Reposted

Mambo ya kuwindana tena kama Ndege? Hii nchi hii

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

BTM Reposted

Siku nyingine ya kumshukuru Mungu lakini tusiache kupaza sauti kwa vijana ambao hawajulikani walipo akiwemo Deus ni siku ya 11 Leo, Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

BTM Reposted

Usilale bila kurepost hii. Tunamtaka SOKA akiwa hai na afya njema.

Tweet Image 1

BTM Reposted

Mitandao ina Nguvu ndio maana tukikemea wanatoa statement mara mbili mbili. Huyu ndugu yetu bado hajapatikana tusimsahau wala tusichoke hatuwezi jua tunaweza tukawa msaada na muujiza kwa familia ya Chaula kupitia Sauti zetu. Repost Repost Ndugu zangu. 🙏🙏🙏

Tweet Image 1

BTM Reposted

Nisaidie ku repost 👇👇 Mtoto kapotea anaitwa JAYDEN MANYIWA JILUNGU ,Ana umri wa miaka miwili alipotea jana saa1 jioni maeneo ya nyumbani maeneo ya KAHAMA mtaa wa MAJENGO kwa mseveni 🙏🙏 Kwa mawasiliano zaidi,+255694776101 0758663872

Tweet Image 1

BTM Reposted

Wewe kama unajiona upo salama pole sana. Kikubwa unaishi TANZANIA na unatumia mitandao nikuhakikishie HAUPO SALAMA. Haya mambo yapo, endeelea kupumbazwa na kauli za majukwaani. Naomba tupaze sauti CHAULA aachiwe kwanza. Mimi nilionja ADHA ya kutekwa nayajua maumivu yake.…

Tweet Image 1

BTM Reposted

Tuanzie hapa au turudi kwenye kujiteka?au vyote vyote? hakuna mtu atazima sauti zetu, ipo siku tutaumia, tutapoteza maisha, tutaumiza familia zetu ila tutaipata haki yetu ✌️

Hakuna mtu huwa anajisahau haraka kama Nape… Bahati nzuri nilikua nae bungeni wakati Magufuli ameshughulika nae, alikua anatia huruma sana .. leo kasogea kwenye meza ya chakula ameshiba na anawatapikia Watanzania. Kitu kimoja ninamshukuru kwamba amesema ukweli kuwa, Nchi hii…



BTM Reposted

Kijana asaidiwe Hadi jioni tukiona kimya hawaja respond Chochote wapya tuingie kazini tumchangie kijana wetu


BTM Reposted

MAONI YANGU KUHUSU MCHANGO WA RAIS. Familia ya @Sativa255 haijapokea fedha za Rais. Katika michango ya 𝕏 hatujapokea fedha za Rais. Fedha hizo kutoka kwa Rais, Sh. 35 milioni, wameingiza katika akaunti ya Aga Khan Hospital. Hatuhusiki nazo. Hadi leo, Julai 2, 2024, Aga Khan…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

BTM Reposted

Hii Miujiza yote imetokea ndani ya Wiki moja tu. Kwa macho yangu nilikuwa nikishuhudia watu wanatuma mpaka 100 Tshs wengine 1M sio kuwa wana hela au shobo hapana ni Love tu. Sasa REPOST huu muujiza mpaka waliosema X ifungiwe waone aibu. MUNGU MKUBWA

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.