@sangahpeace Profile picture

CompLicator🤐

@sangahpeace

UNEXPLAINABLE 😂

Similar User
JURO🐐 photo

@juliusrogath14

ALIKO FWANDA photo

@FwandaAlicom

Emmanuel Luoga photo

@EmmanuelLuoga1

Ezekiel lugusi maganga photo

@ezekiellugusim1

MwanaChamazi photo

@DukeDizzo

KIARAGA MFUNGWA photo

@kiaraga_mfungwa

DR, iphone🇹🇿🇰🇪 photo

@MpendaIphone

Abed Pilla photo

@PillaAbed

𝕄𝕒𝕥𝕚𝕜𝕦 𝕄𝕒𝕤𝕥𝕖𝕣 𝕄𝕚𝕟𝕕 photo

@MatikuPJ

Mtaalamu photo

@MBashende

Rosemary photo

@Rosemar36800588

tech_street photo

@OSAMABINLADENTZ

yaan apo nitamwaga had ubongo

This post is unavailable.

Hello! @NMBTanzania Habari? Nimekua nikipokea ujumbe mfupi kwa simu ukinitaka niende tawi la benki lililopo karibu nami kuisajili akaunti yangu kea alama za vidole, lakini nilishaenda tawi la Bahi nikajisajili mwaka 2021/6. Je natakiwa kwenda tena au tayari nisiende? Ahsante


KACHEZE UNAPOCHEZAGA

Dear Graduates, wengi wenu tatizo sio ajira, tatizo mulikariri ili mpate A mkakosa maarifa, inashangaza katika watu 400 mulio niomba kazi hamna hata 1 aliyeomba jitolea kutengeneza maarifa. Kama ulijitolea kusoma miaka20 na hupati kazi, kwanini usijitolee mwaka 1 kujenga maarifa?



CompLicator🤐 Reposted

Dear Graduates, wengi wenu tatizo sio ajira, tatizo mulikariri ili mpate A mkakosa maarifa, inashangaza katika watu 400 mulio niomba kazi hamna hata 1 aliyeomba jitolea kutengeneza maarifa. Kama ulijitolea kusoma miaka20 na hupati kazi, kwanini usijitolee mwaka 1 kujenga maarifa?


CompLicator🤐 Reposted

Kama ni wakati ukiwa hupatikani au ni wakati ukiwa busy au ni wakati ukiwa hufanyi chochote tu ili uelewe zaidi hizi codes bonyeza hii link hapa chini itakupeleka sehemu ambako nimeeleza kwa undani sana youtu.be/6_-oBT3kZ8k


Leo tarehe 5/6/2022 saa 15:40pm, @RadioFreeAfrica wanapiga nyimbo za msanii nguli @ProfessorJayTz ,,,,nimeipenda hii keep it up


yas ya kushtukiza ni kali ila ikukute uko na PUMZI ila hivihivi hutoboiiiii

Eti ni Kweli Mechi ya kushtukiza ni Kali kuliko ya Kujipanga..??



kutokula mchana sio sifa we kama huna hela usisumbue wenyehela,,,,af ujue vidonda vyatumbo vinajitokezaga kwasababu kama hizi kukaa na njaa mda mrefu


unataka nn kingne tufanikishe huo mchongo

Eti ni Kweli Mechi ya kushtukiza ni Kali kuliko ya Kujipanga..??



Wanawake woote wenye mashavu makubwa HAWAJITAMBUI


nioe lokesheni mzee baba nikalimwage kojo mana ze kondisheni izi fevarabo 😂😂


we mwanamke iv unaifaham elfu arobaini ya kibongo ww kua na heshima na fedha bx,,,,,,, SIJAPENDA

Unatuma 40,000 tuu nauli inaliwa unaliaaaa kwendraaaa🤣🤣🤣



na nakuhakikishia lazima muhindi atakupiga kiboga

Itoshe kusema leo afe muhindi nife mimi lazima mmoja apigwe.



hapo mchezaji wa cameroon kabla hajapiga mpira yule forward alikua hayuko offside ila ile ya simba alikua kazidi kabla mpira haujapigwa

Kabla ya SPORT ARENA wachambuzi angalieni hii msitoe Boko hii Juzi tu AFCON goli la simba ni Halali.. Big kwa Mareferee wa Jana.



baba mkwe SHKAMOO

LEO amezaliwa mwanangu kipenzi LISA JOSEPH HAULE, Nakuombea kila lililo jema katika kumbukizi ya siku yako hii muhimu, Mwenyezi Mungu akulinde na akufungulie kila mlango wa Heri, Kikubwa zaidi Nasubiria DIVISION ONE yako uliyoniahidi kwenye matokeo ya mtihani wako wa FORM FOUR❤️

Tweet Image 1


mbona umeenda mbali kuna @mpambazi ana date na @gracemella95 ,,,,na serikali imekaa kimya kmmk

Sema Kuna wanaume Wana huruma Sana Just Imagine Anae Date na Mangekimambi anashika wapi, Mdada Yupo flat Kama Msokoto wa Bangi.🤪



BONGO NYOSO SANAAA

Nashon Nkungu: Sheria Imeelekeza namna ya Ku Lebel Exhibit, Lebeling inatakiwa Ifanyike kwa Kila Kielelezo, Na Kielelezo Bila label Hauwezi Kukiingiza Mahakamani, Zote kwanza Zina Leble Moja tena Isipokuwa na Namba, No Identification



CompLicator🤐 Reposted

BABA YETU. Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni Amina.

Tweet Image 1

CompLicator🤐 Reposted

Salute kwako @Roma_Mkatoliki ✊🏽 Ulitekwa na kuteswa kwa kuimba wimbo uliokosoa! Hukukata tamaa ukaendelea wakakufungia na wakakutisha na ukaamua better to live free n far than a prisoner Iwe siku njema kwako leo 🙏🏽 tunapoendelea kuwakumbuka #WapendwaWetu na kusema #ByeMagufuli

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.