@robare_james Profile picture

James ROBARE

@robare_james

US News World News Politics General News Business & Finance World News US News Government & Politics

Similar User
Nuru Ndosi photo

@Nuru_Ndosi

agnes Swai photo

@agnesSwai2

Okumu Kembo Migire photo

@KemboOkumu

Zacharia Thomas Obad photo

@Zacharia_Obada

Abdulkarim  Juma photo

@JumaAbdukarim

Harry. photo

@HarryGodfirst

David Mfugwa photo

@DavidMfugwa2

Joseph Oleshangay photo

@Oleshangay

Chriss fundi CDM photo

@ChrissFundi

Tutuvengele1 photo

@MussaMartin14

Haki Haiombwi🇺🇰🇪 photo

@HakiHM36447238

Gervas Maiko Sulle photo

@germaiko

Amani Golugwa photo

@golugwa

SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬 photo

@Olturunga1

Hitman photo

@hitman255

James ROBARE Reposted

Huyu ni Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe Augustino Senga Namba yake hiyo hapo 👇🏾 0756725025 Tumsalimie tumwambie amwachie @mdudechadematz MARA MOJA Tuma hata ujumbe mfupi ukisema👇🏾 #FreeMdudeNyangali #FreeMdude

Tweet Image 1
Tweet Image 2

James ROBARE Reposted

“ Karatu tukikata tamaa kujihusisha na masuala ya siasa hatuwezi kukwepa matatizo yanayo sababiswa na siasa, ni muhimu kila mmoja akatambua hali mbaya ya demokrasia inayotuhusu kama Nchi ni sababu ya kuendelea kujali mapambano bila kukata TAMAA , Sina ahadi rasmi kwamba hali…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

James ROBARE Reposted

Hii ni kampeni ya Uchaguzi wa Serikali ya Mtaa na hapa ni Kata ya Ndato jimbo la Rungwe.🙌


James ROBARE Reposted

Mkutano wa pili leo kwa Mwenyekiti wa CHADEMA @freemanmbowetz uliofanyika Kasumulu Border, Kyela, Mbeya katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Mwenyekiti anaendelea na mikutano ya kuwanadi wagombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.


James ROBARE Reposted

Hakuna mtu anaweza kumshauri @Sativa255 atumie lugha gani au afanyeje na hisia zake! Watu wachache sana waliopigwa risasi kichwani utosini na kusurvive to tell their story! Kumbukeni ANAWAJUA WALIOTAKA KUMWUA na ni @tanpol - kawataja na kutoa details na wapo kazini…

Tweet Image 1

James ROBARE Reposted

VIDEO: "Kampeni hizi (Za uchaguzi wa Serikali za Mitaa) zimeanza, tumeona jinsi ambavyo viongozi wa vyama vya upinzani wanavyonyanyaswa, wanavyofanyiwa, hata mkifuatilia kwenye mtandao yapo mambo yanaendelea…Mbowe amekamatwa, yaani yaleyale yanajirudia. Tunajiuliza ni nani hao…


James ROBARE Reposted

Alichokifanya mdude ni salamu kwa watawala,vijana wote tunatakiwa kuwa jeuri dhidi ya mifumo kandamizi na kulinda viongozi na wapigania haki kila kukicha. @tanpol muachieni mdude haraka #FreeMdudeNyangali #FreeMdude


James ROBARE Reposted

SATIVA, usikubali kuuziwa woga. Get up, stand up / Stand up for your right / Get up, stand up / Don’t give up the fight.” — Robert 'Bob' Nesta Marley and the Wailers, , “Get Up, Stand Up” - 1973 Robert 'Bob' Nesta Marley anaanza kwa kusema Preacherman, don't tell me/Heaven is…

Tweet Image 1

James ROBARE Reposted
Tweet Image 1

James ROBARE Reposted

Basi kama upinzani ni MBAYA hivyo kwanini unaogopwa kama hivi? Si waachwe wananchi wachaguwe? Kwanini TAMISEMI ndio wanaamuwa USHINDI kabla hata kura kupigwa kwa kutoa wapinzani? Trust the process!

Kwa upinzani gn Shangazi. Huu wa FAM kufanya makosa makusudi Ili apate attention. Ni kweli kazoea ila sio kula pesa za watu nakwenda kuwazuga na kuforce uonekane unaonewa. Watu sio wajinga Miaka hii wanachora tu



James ROBARE Reposted

Lissu yupo kwenye mioyo ya watu, wanamwona kama mkombozi wao. Unconditional love!!


James ROBARE Reposted

FREE MDUDE TODAY NA TAKE HIM TO HOSPITAL

Tweet Image 1
Tweet Image 2

James ROBARE Reposted

. @fanuel_siyame akisaidiana na Katibu Mwenezi BAVICHA TAIFA, @Twaha_Mwaipaya na Mwenyekiti BAVICHA Mkoa wa Ilala, @DedanWangwe wanaitifua vibaya sana Momba, Songwe katika Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. #peoplesPower


James ROBARE Reposted

Day 03 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa - Kijiji cha Ifunda, Jimbo la Kalenga. Leo tarehe 22, Novemba 2024 jioni tumewanadi wagombea wetu kupitia @chadematz katika kijiji cha IFUNDA jimbo la Kalenga mkoani Iringa, Wananchi wametupokea kwa bashasha kubwa sana.


James ROBARE Reposted

Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz #WatakeWasitake


James ROBARE Reposted

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz leo Novemba 23, 2024 ataendelea na ratiba yake ya uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. #WatakeWasitake

Tweet Image 1

James ROBARE Reposted

Masaa kadhaa yaliyopita, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mhe. @TheRealJongwe pamoja na viongozi wengine waliokuwa wanashikiliwa kituo cha Polisi Vwawa wameachiwa kwa dhamana.


James ROBARE Reposted

Hii nchi ilipofikia sasa wamezidishaa. Yaani tangia wamemkata @mdudechadematz walikuwa wanampiga, wakampeleka kituoni wakaendelea kumpiga. Wakaona haitoshi wakamhamishia kituo kingine ambacho hawajakisema. Najaribu kufikiri hali ya kamanda MDUDE ilivyo sasahivi. #FreeMdudeNyagali

Tweet Image 1

James ROBARE Reposted

MAKE THIS HASHTAG TREND 👊🏽 Please REPOST AND SHARE #Tanzania We need @mdudechadematz RELEASED and ALIVE! #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude 👉🏽Ni wajibu wetu kwenda kwenye akaunti za…

Tweet Image 1

James ROBARE Reposted

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria (Mwanza, Geita na Kagera), @EzekiaWenje akihutubia mkutano wa Kampeni katika kata ya Katoro, Geita ikiwa ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa SerikalizaMitaa, Vijiji na Vitongoji.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.