Similar User
@DianeWi44396120
@roblenzwilson1
@ramiroamoroso
@selemanikaghem2
@AmosBaguma4
@IbnAbdulraheem6
#LuluZaThamani Wa mwanzo kuingia Peponi (na kuingia bila ya hukumu) ni wale wanaomshukuru Mwenyezi Mungu nyakati za raha na nyakati za dhiki.
Laa ilaha illa anta subhanaka inni kuntu minaz zalimin.
Adhkar za asubuhi 📚 Ikikupendeza basi kheri✊🏾
: {رَبَّنَا لَا تُؤَاخِذْنَا إِن نَّسِينَا أَوْ أَخْطَأْنَا}. “Ewe Mola wetu mlezi usituadhibu sisi tukisahau au kukosea”. [Baqara/286].
ALHAMDU LILLAHI-LLADHIY AHYAANAA BAA’DA MAA AMAATANAA WA ILAYHIN NUSHUUR
Nimeona video congo watu walivyouliwa watoto wachanga wanalia tu wapo hai hawana msaada mama zao wametapakaa damu lifeless Nimelia hapa hivi mbona humu tupo kimya sana kupaza sauti 😭
Usipite bila kulike tuendelee kuiombea amani Congo ni majonzi 🙌
Ukiiona hii post weka like hii wiki tuwaombee Congo wapate amani
No African will scroll without liking this. Pray for Congo❤️
Nimeona watu wengi wanauliza nini chanzo cha vita Kongo? Chanzo ni Madini na Rasilimali, Kongo wana madini mengi sana ambayo wenyewe wanasema yamebeba Future(Technology) Kwa Mfano madini aina ya kobalti, Lithiam na Shaba haya madini yanatengeneza Betri za Simu, 👇🏿
Nikikumbuka vita ya israel na palestina watu kidogo tupigane humu kila mtu analia na upande wake Leo congo ni jirani zetu hata kwa mguu tunafika hakuna mtu anataka kuona wala kuongelea Afrika tuna akili za kuzaliwa au za kupewa na wazungu?
United States Trends
- 1. Iran 253 B posts
- 2. #4YearsOfEvermore 6.703 posts
- 3. #instagramdown 51,1 B posts
- 4. #idegen N/A
- 5. West Point 53,8 B posts
- 6. $VNTR 6.177 posts
- 7. Teel 6.818 posts
- 8. Wray 108 B posts
- 9. Crochet 24,7 B posts
- 10. White Sox 11,2 B posts
- 11. Pentagon 42,2 B posts
- 12. New Jersey 7.123 posts
- 13. #facebookdown 27,5 B posts
- 14. Ferran 10,4 B posts
- 15. Sinema 12,9 B posts
- 16. Weah N/A
- 17. Pred 9.084 posts
- 18. $TSLA 41,4 B posts
- 19. WhatsApp 438 B posts
- 20. Austin Butler 9.741 posts
Something went wrong.
Something went wrong.