Make them stop and stare, purely African 🤎🖤
Miracles in war happen everywhere and here is one such example, Russian soldiers were driving a UAZ across a field for an emergency retreat and were blown up because they stepped on a TM-62 mine.And all three survived and are already in service. Ugledar direction.
Nionyeshe kifungu kinachosema malaya ni halali kubakwa. Nionyeshe. Kama huwezi kunionyesha wewe ni mbakaji kama hao wengine. 🚮🚮
Nisaidie ku repost 👇👇 Mtoto kapotea anaitwa JAYDEN MANYIWA JILUNGU ,Ana umri wa miaka miwili alipotea jana saa1 jioni maeneo ya nyumbani maeneo ya KAHAMA mtaa wa MAJENGO kwa mseveni 🙏🙏 Kwa mawasiliano zaidi,+255694776101 0758663872
TANGAZO LA KUPOTEA KWA MTOTO Mtoto aitwaye Dhuruqahya Seif Ndambwe, mwenye umri wa miaka minne (anayeonekana pichani) amepotea tangu Alhamisi, Agosti 08.2024 Kijiji cha Jaribu Mpakani, kilichopo Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani Kwa yeyote atakayemuona au mwenye taarifa yoyote…
𝗧𝗢𝗙𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗘𝗦𝗨💫 Shalom Tunaomba sadaka yako ya hiari iitwayo 𝗧𝗢𝗙𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗘𝗦𝗨 Kanisa letu lilijengwa kwa nguvu ya watu wachache likabomoka shiriki nami katika ujenzi wa nyumba ya Mungu 1000/= yako ni manukato mbele za Mungu Hagai 1:8
Happy Sabbath to all who take risks to keep the Sabbath. May God favor you all. Happiest Sabbath!
Usitoe mguu nje ya nyumba yako bila kusema na Mungu wako, Akubariki uende salama kazini na urudi salama nyumbani.
Sawa kabisa.
Makanisa mchezo wenu wa kudanganya Vijana kuna message yenu hapa
how much truer and clearer can you get. Men of greed cannot be men of God (nor can women for that matter)
Sijashinda humu but hili jambo linaloendelea sio jambo zuri, watu wakijitoa mnatakiwa kuheshimu kitu wanachofanya. Uzuri pesa zote zilikusanywa kwenye namba za Familia, kugeuza jambo hili kisiasa ni kuwakosea waliojitoa na wanaX kiujumla hili ni swala la kukemewa Tunawajua…
Hii Miujiza yote imetokea ndani ya Wiki moja tu. Kwa macho yangu nilikuwa nikishuhudia watu wanatuma mpaka 100 Tshs wengine 1M sio kuwa wana hela au shobo hapana ni Love tu. Sasa REPOST huu muujiza mpaka waliosema X ifungiwe waone aibu. MUNGU MKUBWA
TAARIFA YA MAKUSANYO YA MCHANGO WA MATARA Makusanyo: 10,030,000 Matumizi: 5,210,000 Kiasi kilichobaki: 4,820,000 Pesa iliyobaki atatutumiwa Matara. Asanteni nyote. Mbarikiwe sana🙏
Japhet Matarra walks out of prison as a free man, thanks y’all for championing his release.
GOOD News. Japhet Matarra is free. Shukrani kwa kila aliyeshiriki kupigania uhuru wake. We did it.👏🏽
Rasilimali za Afrika zimeporwa na mataifa makubwa kwa njia hii chini ya usimamizi wa IMF na WB. Wakati huo huo IMF na WB wakizisimamia serikali zetu kutengeneza "finance bill" (sheria ya fedha) zenye kodi lukuki kulipa mikopo wanayotupatia. Tusipotafakari tutabaki daima masikini.
TAARIFA FUPI KUHUSU MATARRA Wakili amefuatilia kulipa faini. Imebainika Matara alikata rufaa Mahakama ya Rufani. Kwahiyo, Wakili anafuatilia ‘file’ lirejeshwe Mahakama ya Wilaya utaratibu wa faini ufuate. Mioyo yetu imejawa na shukrani kwa majitoleo yenu. #JusticeForMatara
Nadhani MFUMO wa Elimu #Tanzania ni mbaya sana. Umeweka kupasisha “crammers” na sio “thinkers”. Crammers make excellent COLONIAL servants. Ni muda wakubadilisha MFUMO wa Elimu. Sidhani kama Hakimu aliyemfunga Japhet aliFIKIRIA maana ya 7m kwa miaka 5 ya maisha ya mtu: ka-cram tu
United States Trends
- 1. Ryan Day 72,3 B posts
- 2. Michigan 159 B posts
- 3. #GoBlue 30,6 B posts
- 4. Howard 32,3 B posts
- 5. Gus Johnson 10,6 B posts
- 6. Clemson 23,7 B posts
- 7. Buckeyes 21,8 B posts
- 8. Columbus 22,5 B posts
- 9. #MICHvsOSU 4.215 posts
- 10. #TheGame 3.157 posts
- 11. Jack Sawyer 5.828 posts
- 12. Davis Warren 5.503 posts
- 13. $DCARS 2.954 posts
- 14. LaNorris Sellers 5.273 posts
- 15. South Carolina 20,3 B posts
- 16. John Cooper 1.434 posts
- 17. Fire Day 25,2 B posts
- 18. BRICS 45,6 B posts
- 19. Stoops 4.592 posts
- 20. HAIL TO THE VICTORS 1.761 posts
Something went wrong.
Something went wrong.