@punda_king74944 Profile picture

Punda King

@punda_king74944

Joined October 2023
Punda King Reposted

Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu mwenzake na kumfanya Kama kinga yake 😎 . Ewe muabudu mizimu na unaeishi kwa kutegemea maarifa ya waganga wa kienyeji umesikia !


Punda King Reposted

Jeshi la Polisi Lafunguka Chanzo cha Kifo cha Msanii Mandojo, Mmoja Ashikiliwa na Polisi na Uchunguzi bado unaendelea


Punda King Reposted

Mkoa wa MBEYA ni Moja kati ya Mikoa iliyojaa Uharifu sanaa, Polisi wanashindwa Kupambana na Uharifu huo Matokeo yake Wanatumia Nguvu Kuubwa Kudhibiti Maandamano ya AMANI ya VIJANA wa CHADEMA Shame Kabisa. ⏩ MKOA WA MBEYA uharifu Umekithiri #TUNAWACHUKIA

From millardayo

Punda King Reposted

Moja kati ya Vijana wa CHADEMA waliokamatwa na Jeshi la Polisi @DEUSDEDITHSOKA Aeleza sababu ya wao kutaka kufanya Kongamano la Vijana Mkoani Mbeya licha ya Kuzuiwa na Polisi,.


Punda King Reposted

During the 10 years that I have been in the movement to fight for human rights, at no time has the US embassy been as weak on rights issues as during this Samia regime. People have been beaten and arrested against the law and then you come across a weak statement like this.

mdudenyagali's tweet image. During the 10 years that I have been in the movement to fight for human rights, at no time has the US embassy been as weak on rights issues as during this Samia regime.  People have been beaten and arrested against the law and then you come across a weak statement like this.

Punda King Reposted

MWENYEZI MUNGU aiweke Roho yake mahali pema peponi AMINA 🙏🙏🙏

PatrickJAssenga's tweet image. MWENYEZI MUNGU aiweke Roho yake mahali pema peponi AMINA 🙏🙏🙏

Punda King Reposted

Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema umepokea taarifa za kuachiliwa kwa Viongozi wa Vyama vya siasa, Vijana, Waandishi wa Habari na Mawakili waliokamatwa na Polisi na kusema Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na…

millardayo's tweet image. Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema umepokea taarifa za kuachiliwa kwa Viongozi wa Vyama vya siasa, Vijana, Waandishi wa Habari na Mawakili waliokamatwa na Polisi na kusema Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na…

Punda King Reposted

1. Kwa kunukuu maneno ya Joseph O. Mbilinyi (SUGU) na kwa kuwa simu zake zote zilipotea katika purukushani yake na polisi - Mbeya, nitasimulia kidogo. 2. SUGU na John Mnyika walipigwa sana, kiongozi wa kutoa kipigo hicho akiwa ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la…

IAMartin_'s tweet image. 1. Kwa kunukuu maneno ya Joseph O. Mbilinyi (SUGU) na kwa kuwa simu zake zote zilipotea katika purukushani yake na polisi - Mbeya, nitasimulia kidogo. 

2. SUGU na John Mnyika walipigwa sana, kiongozi wa kutoa kipigo hicho akiwa ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la…
IAMartin_'s tweet image. 1. Kwa kunukuu maneno ya Joseph O. Mbilinyi (SUGU) na kwa kuwa simu zake zote zilipotea katika purukushani yake na polisi - Mbeya, nitasimulia kidogo. 

2. SUGU na John Mnyika walipigwa sana, kiongozi wa kutoa kipigo hicho akiwa ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la…

Punda King Reposted

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman…

MwananchiNews's tweet image. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman…

Punda King Reposted

Wakati wa Lissu anakamatwa alisikika Kamishna wa oparesheni Awadhi Juma akisema; "huyo Lissu anatela ukilema wake hapa pigeni huyo." Askari wakapokea oda na kipigo kikaanza kwa Lissu kisha kumtupia kwenye Pick up kama mzoga. Awadhi nakuhakikishia hili jambo hili jambo hatukuachi

mdudenyagali's tweet image. Wakati wa Lissu anakamatwa alisikika Kamishna wa oparesheni Awadhi Juma akisema;  "huyo Lissu anatela ukilema wake hapa pigeni huyo." Askari wakapokea oda na kipigo kikaanza kwa Lissu kisha kumtupia kwenye Pick up kama mzoga. Awadhi nakuhakikishia hili jambo hili jambo hatukuachi

Punda King Reposted

Nilidhani TULISHAVUKA HUKU!! Miaka mitano ya JIWE ilitutesa SANA !! Some of us … including my lovely MOTHER (RIP my everything) tuliamini TUMEVUKA HIZO ni zama za KALE!! Mara nyingi WAPAMBE hujitutumua sana ..Lakini hawana NIA NJEMA. ACHENI VIJANA wajumuike!! Wazungumze!!

halimamdee's tweet image. Nilidhani TULISHAVUKA HUKU!! Miaka mitano ya JIWE ilitutesa SANA !! Some of us … including my lovely MOTHER (RIP my everything) tuliamini TUMEVUKA  HIZO ni zama za KALE!!  Mara nyingi WAPAMBE hujitutumua sana ..Lakini hawana NIA NJEMA. ACHENI VIJANA wajumuike!! Wazungumze!!

Punda King Reposted

#Update Nimepata tetesi kuwa muda huu makamu mwenyekiti wa CHADEMA @TunduALissu anataka kutolewa kituo cha polisi Vwawa na mpango ni kumsafirisha mpaka Dar es salaam. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu na bado nasisitiza kila aliyefanya ujinga huu atawajibika yeye kama yeye.

mdudenyagali's tweet image. #Update
Nimepata tetesi kuwa muda huu makamu mwenyekiti wa CHADEMA @TunduALissu anataka kutolewa kituo cha polisi Vwawa na mpango ni kumsafirisha mpaka Dar es salaam. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu na bado nasisitiza kila aliyefanya ujinga huu atawajibika yeye kama yeye.

Punda King Reposted

Grok 2 beta release soon

elonmusk's tweet image. Grok 2 beta release soon

Punda King Reposted

Oda ya Lissu kupigwa jana ilitoka direct IKULU Kwa mara nyingine tena Ikulu inataka Damu ya Lissu Samia ndiye aniyetoa oda kwa hoja kwamba Lissu hana adabu afundishwe Adabu Akapigwa na kurushwa ndani ya difenda Huyu mama ametuchokoza mpya mwisho, anataka Lissu aumizwe…

lifeofmshaba's tweet image. Oda ya Lissu kupigwa  jana ilitoka direct IKULU 

Kwa mara nyingine tena Ikulu inataka Damu ya Lissu 

Samia ndiye aniyetoa oda kwa hoja kwamba Lissu hana adabu afundishwe Adabu 

Akapigwa na kurushwa ndani ya difenda 

Huyu mama ametuchokoza mpya mwisho, anataka Lissu aumizwe…

Punda King Reposted

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Anaitwa Fabian (Musa) Benito Mlasu. Alipotea toka tarehe 1/9/2023. dereva bodaboda wa Machimbo,Mpiji Magohe. Alihamia kijiwe cha barabara ya cocacola Mwenge,Kabla ya siku ya kutekwa gari 2 zilimfuata nyumbani kwake zikamkosa. Zikamfuata kijiweni…

ExMayorUbungo's tweet image. AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA 

Anaitwa Fabian (Musa) Benito Mlasu. Alipotea toka tarehe 1/9/2023.
dereva bodaboda wa Machimbo,Mpiji Magohe. 

Alihamia kijiwe cha barabara ya cocacola Mwenge,Kabla ya siku ya kutekwa gari 2 zilimfuata nyumbani kwake zikamkosa. 

Zikamfuata kijiweni…

Punda King Reposted

VIDEO: Kutoka Dar es Salaam Jambo TV inakuletea simulizi ya kusikitisha inayomuhusu mtoto wa miaka sita (6) ambaye awali aliripotiwa kupotea, kabla ya baadaye kukutwa dampo akiwa 'amebakwa'. NB: undani wa simulizi hii unapatikana Youtube ya Jambo TV


Punda King Reposted

ALEART: Hizi taarifa tunazozipata inafanya mioyo yetu kuwa mizito sana. Tunaomba Mungu isiwe kweli. Muda muafaka tutawahabarisha. Ila isiwe hivi wanavyotaka wao. #TanzaniaLeaks

TanzaniaLeaks's tweet image. ALEART: Hizi taarifa tunazozipata inafanya mioyo yetu kuwa mizito sana. Tunaomba Mungu isiwe kweli. Muda muafaka tutawahabarisha. Ila isiwe hivi wanavyotaka wao. #TanzaniaLeaks

Punda King Reposted

Allah said Qulya allyuhal Kafirunn🙏🙏🙏


Punda King Reposted

Jamaaa katisha🙏🙏🙏


Punda King Reposted

Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAKWATA Dr Sule ameongea na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es Salaam na kupinga vikali vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Aidha ameitaka Serikali kuchukulia jambo hili kwa ukubwa zaidi na kufungia baadhi ya mitandao kama vile X zamani twitter


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.