Similar User
agnes Swai photo

@agnesSwai2

CRYPTOCURRENCY EUROPE photo

@Usdt_Terminator

levine ady photo

@ady_levine

Hamis Juma photo

@HamisJu11991800

Mbwa Mimi photo

@Ndyojha

Robert Mhebuka photo

@realrobert92

Msangi Jr photo

@Kalikalanje

all weather photo

@papwisoog

Samwel Anael photo

@AnaelSamwel

najaribu kumuelewesha mazaaa

Udikteta ni Serikali ya mtu mmoja au kikundi cha watu wachache kilichopewa madaraka kwa mujibu wa sheria kinachotawala kinyume na sheria na katiba iliyowapa hayo madaraka. Na atakayepingana nao huonyeshwa cha mtemakuni. Ndungai aseme ni kifungu gani alichotumia kuwatambua



Good luck Reposted

"kuhusu wale wabunge 19 (Halima Mdee na wenzake) sijui kuna hili kuna hili, niwatoe wasiwasi wale ni wabunge kamili na wanahabari mkiwaandikia muwaite waheshimiwa" - Job Ndugai Maisha yanakwenda kasi sana. Ndugai aliyemfukuza Halima bungeni mwaka mzima, leo anamtetea Halima?


Good luck Reposted

OK! kwa hiyo ‘press’ ya hawa “wanachama wa hiari” ilikuwa mubashara ITV, TBC, Channel Ten, STAR TV, CLOUDS TV, MillardAyo, GlobalTv etc na wamefanya katika hoteli ya REGENCY na maji ya WADHAMINI mbele yamevuliwa ‘label’. Bado tuendelee na stori za “wanachama wa hiari?”


Good luck Reposted

Press yenu imeonyeshwa Live kupitia TBC, ITV na Clouds halafu Mzee Halima anasema wao hawajanunuliwa na maccm, tafuteni wa kumdanganya.


Good luck Reposted

"Kwa hiyo unasema tuvumilie mzee baba??? Mabeberu wasitutishee?? ARV na zile dawa za UTI na Malaria hakikisha hawazigusii kabisaaa, wakizuia, tutakufa kama nzi kwenye glasi za bia"

Tweet Image 1

kweliiii

Mheshimiwa Mbunge wa Magufuli ana kigugumizi au Kiswahili kimepita kushoto? 😁🤔



Siku imekwisha

Tweet Image 1

Good luck Reposted

Nusrat is a mother, sister and role model. She is spending time behind bars without the due process. No one shall be deprived liberty without due process of law. Opposition profiling and targeting has become a norm under 5th government. Say NO to the oppression. #FreeNusratHanje


Good luck Reposted

Leo ni siku ya Tisa Jeshi la polisi linamshikilia Naibu Katibu Mkuu ACTwazalendo ndg.Nassor.Ahmed.Nassor.Mzrui bila ya kumpeleka Mahakanani na kutoruhusu kuonekana, ni kinyume na katiba na sheria za Nchi.Muachilieni Mazrui na Wenzake ni uvunjifu mkubwa wa haki za binaadamu.

Tweet Image 1

Good luck Reposted

MATAGA= Make Tanzania Great Again, swali la kujiuliza ni Lini Tanzania iliwahi kuwa Great,ni lini ilifall, ilikuwa Great kwenye nini, ikafall kwenye nini, iwe Great Again kwenye nini? MATAGA popote mlipo naomba majibu


Good luck Reposted

Leo Jumanne 03 112020 kwa AMANI nimesimama eneo la MAHAKAMA KUU jijinii Dar nikatokwa chozi nilipomkumbuka J.K. NYERERE alivyotuasa Watanzania kuhusu umuhimu wa VIONGOZI BORA wanaotokana na ridhaa ya wananchi. 👉🏾Leo watu wanajipa uongozi kwa wizi wa kura?

Tweet Image 1

Good luck Reposted

Wanakijiji wakatwa vichwa Msumbiji bbc.in/3mRYsqN

Tweet Image 1

Good luck Reposted

Leo Jumatatu 02/11/2020 nimesimama👇👇kwa AMANI katika ardhi ya nchi yanguTanzania eneo la mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam kumkumbuka Baba wa Taifa J.K.NYERERE kwa kukataa nchi yetu kupata viongozi kwa kura feki zilizopigwa nje ya SANDUKU HURU la KURA.

Tweet Image 1

Good luck Reposted

"Mtihani wa Taifa wa darasa la nne ukiwa unaendelea, ikatokea karatasi ya mtihani ikakutwa inafungia VITUMBUA mtaa wa pili, mtihani unafutwa. ALIYECHAPA MTIHANI ANAKAMATWA NA KUHOJIWA. Muuza vitumbua anakamatwa na kuhojiwa."- Askofu Bagonza

Tweet Image 1

Good luck Reposted

Mandela angekua Mwoga, Pasingekuapo na Afrika kusin yasasa. Mugabe, Nyerere nawengi ambao walikubali kutoa maisha yao kwa ajili ya uhuru wa Wengi. KESHO NITAKUAPO PAMOJA NA TUNDU LISSU NIKIWA NA NA RABA NYEUPE,NGUO NYEUPE. NITAMLINDA LISSU!!.


Good luck Reposted

Kama una muda msikilize kwa makini Lema


Good luck Reposted

Nyakati mbaya zikiwakuta wengi basi itakuwa faraja kwa wingi wenu, pia nyakati nzuri zikiwakuta wengi basi ni faraja pia kwa wingi wenu. Umoja huleta faraja, kwenye hofu na kwenye furaha. UMOJA.


Good luck Reposted

Msikilize mara mara mbili mbili alafu niambie kama umemuelewa. Mimi nimemuelewa sana


Good luck Reposted

Yaani wamechoka kuiba wakaona waanze kucopy na kupaste matokeo sasa Numbers don't lie

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Good luck Reposted

Hii ndio hali ya kiongozi wetu Mohammed Nur. Katika ushenzi kama huu nitashangaa sana viongozi wangu wa @ACTwazalendo @ChademaTz kushirikiana na hawa madhalim. Waachiwe Serikali zote waongoze wao peke yao. Cc @zittokabwe @TunduALissu @freemanmbowetz @SeifSharifHamad

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.