Similar User
@mackphason
@phd_manarah
@Lameck43
@MusaNkwabiJr
@mzaramo92
@MageAppoly
@AbineryMhutila
@Katinila
@MabulaBabu
@JosephHussein90
@KuhaniMfalme
@SheddyStreams
@_ilumba
@Dredmweus1
@SambulaKiswaga
Miaka miwili na nusu kuanzia leo nitakua nipo mahali pakubwa sana sana✨ Napokea🙏
Celebrate yourself and your wins but make sure you’re doing it for yourself and not because you want validation from others. True success is a feeling you earn for yourself.
All challenges, difficulties and failures provide you with an opportunity to learn, grow and heal some part of your consciousness.
Watakuja watu wengi maishani mwako. Wako watakao kuwa wanapita "transit", pishana nao kwa salama. Wapo ambao hamtaelewana, pokea mafunzo. Wapo wamaslahi, waepuke bila shari. Wapo utakao dumu nao, jifunze kuwavumilia. Kumbuka hutaishi milele ipe amani nafsi yako. #KSK_Balozi
Usimdharau mtu awaye yoyote yule,iwe unamjua au lah, Mungu humpandisha na kumshusha mtu yoyote atakaye kwa wakati wowote ule....acha Kiburi cha NAFSI.
Mchana nyota huwa hazionekani, siyo kwa sababu hazipo, la hasha. Ndoto huonekana kadri giza linavyotamalaki. Kadri mambo yako yanavyozidi kuwa magumu, ndivyo jitihada zako zinavyokaribia kukupa fanaka uliyotarajia! #NjeYaBox #HK
“Usimuone mwenzako ambaye bado anatafuta kama ni mzembe, mvivu au mpumbavu kisa wewe umeshafanikiwa ukaanza kudharau wengine, katika maisha tunapitia njia tofauti, kupita njia ndefu hamiaanishi amepotea muhimu safari ni moja”
Stop oversharing. Stop telling everything about your life to others. Our constant need for approval from virtual strangers is somewhat problematic. If we refrain from sharing a situation, it doesn't become any less valid or exciting. Rather, it becomes more personal & valuable!
Malipo ya Wema. True story: Wakati naanza kazi, nilifurahi sana wakati wa mshahara na nilikuwa na mengi ya kufanya. Nilihitaji geto lipendeze, nivae nguo safi niwe sawa na wengine.
Mungu Aliyekuumba wewe na Kukupitisha kwenye Mengi Ambayo Hukudhani ungepita Anaenda Kutenda Maajabu Juu Yako Usiache Kumwamini na Kumtanguliza katika Kila Jambo. Siku Njema.
My father called and complained that rain removed our roof. So I sent some money to fix the problem.I noticed that the old roofing was still intact when I got home.When I enquired with Daddy,he replied.When you were in school collecting money for medulla oblongata,we were aware😂
Wafilipi 4:6-7 Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Don’t broadcast every high and low of your life. Just live. Don’t try to convince the world you have a life.
Kuna watu wamebeba maumivu mengi sana moyoni mwao na hawajawahi kukata tamaa wala kuyatangaza kwa watu.. Wanatabasamu na kufurahi kila siku wakiamini IPO siku wanaweza kuwa kama zamani. Kuna wakati wanaweza geuka msaada hata kwa wengine pasi na kujali magumu yao..🙏🙏
Asiyesoma na akakosa exposure haaibiki kwani hujua kuna mengi hajui. Aliyesoma na akakosa exposure huaibika kwani hajui kuna mengi hajui. Asiyesoma na akapata exposure huinuka kwani hujua bila sie kujua anajua. Aliyesoma na kupata exposure hukera wanaojua kuwa anajua kuwa anajua.
Kukiwa na giza, angalia nyota na kukiwa na mvua angalia upinde wa mvua. Katika kila nyakati ngumu kuna zuri ambalo unaweza kuweka akili yako ili uweze kupata nguvu ya kusonga mbele.
United States Trends
- 1. Josh Allen 17,5 B posts
- 2. Steelers 43,3 B posts
- 3. Lions 66,8 B posts
- 4. Lions 66,8 B posts
- 5. Eagles 52,2 B posts
- 6. Jalen 26,4 B posts
- 7. TJ Watt 3.127 posts
- 8. #OnePride 7.943 posts
- 9. Tyler Bass 1.011 posts
- 10. Mahomes 23,6 B posts
- 11. Jets 38,1 B posts
- 12. Dan Skipper 2.810 posts
- 13. Broncos 17,4 B posts
- 14. #BUFvsDET 8.181 posts
- 15. #HereWeGo 6.127 posts
- 16. Dolphins 29,3 B posts
- 17. Tony Romo N/A
- 18. Colts 12,6 B posts
- 19. Tim Patrick 1.524 posts
- 20. Ty Johnson 1.187 posts
Who to follow
-
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲
@mackphason -
legendary
@phd_manarah -
Mutelengwa
@Lameck43 -
Musa Nkwabi Motors
@MusaNkwabiJr -
Mzaramo
@mzaramo92 -
plotsbytannah
@MageAppoly -
Baba Miriam
@AbineryMhutila -
Raphael Nath
@Katinila -
Babu Mabula
@MabulaBabu -
Joseph jr
@JosephHussein90 -
Alpha
@KuhaniMfalme -
𝗘𝘅𝗰𝗹𝘂𝘀𝗶𝘃𝗲𝘀𝗛𝗼𝗺𝗲.💭
@SheddyStreams -
Ilumba Mathew Mazugwa
@_ilumba -
Dredmweus
@Dredmweus1 -
Sambula Kiswaga
@SambulaKiswaga
Something went wrong.
Something went wrong.