@lucatz255 Profile picture

XP

@lucatz255

Joshua 1:5 @SimbaSCTanzania @RealMadrid #kijukuu

Joined November 2022
Similar User
makaveli📝 photo

@mbwambo_faraji

Salyeem Moustapher photo

@SalyeemMoustap1

Áwah ʚଓ photo

@diariesofarah

@Geemax_teezey photo

@Sululu91

sotty photo

@JeremiahSotty

Anold Elias photo

@EliasAnold

abby 255 photo

@ngulo_abiud

OFA YA MWISHO WA MWAKA MABATI IMARA KUTOKA POLARIS WASILIANA NASI wa.me/255752007603 TUPO MANDELA ROAD

lucatz255's tweet image. OFA YA MWISHO WA MWAKA 
MABATI IMARA KUTOKA POLARIS 
WASILIANA NASI
<a style="text-decoration: none;" rel="nofollow" target="_blank" href="https://t.co/bPUKq3wuWR">wa.me/255752007603</a>
TUPO MANDELA ROAD
lucatz255's tweet image. OFA YA MWISHO WA MWAKA 
MABATI IMARA KUTOKA POLARIS 
WASILIANA NASI
<a style="text-decoration: none;" rel="nofollow" target="_blank" href="https://t.co/bPUKq3wuWR">wa.me/255752007603</a>
TUPO MANDELA ROAD
lucatz255's tweet image. OFA YA MWISHO WA MWAKA 
MABATI IMARA KUTOKA POLARIS 
WASILIANA NASI
<a style="text-decoration: none;" rel="nofollow" target="_blank" href="https://t.co/bPUKq3wuWR">wa.me/255752007603</a>
TUPO MANDELA ROAD
lucatz255's tweet image. OFA YA MWISHO WA MWAKA 
MABATI IMARA KUTOKA POLARIS 
WASILIANA NASI
<a style="text-decoration: none;" rel="nofollow" target="_blank" href="https://t.co/bPUKq3wuWR">wa.me/255752007603</a>
TUPO MANDELA ROAD

XP Reposted

Akili ya mtu huwa naamini ikianza kumiliki noti ndio natambua akili yake iko sawa sawa, Sisi wengine Akili zetu Bado sana.


XP Reposted

Be a man who is obsessed with fitness, finance, and family. Nothing else.


XP Reposted

Nobody works harder than a man who hates asking for anything from people


XP Reposted

Minimize your generosity and kindness. Nowadays, people have no memory. When the giver goes broke, The receiver becomes an international gossiper.


XP Reposted

Mke mwema anaweza kumfanya Mwanaume maskini, Ajiskie ni tajiri na Mwenye Thamani sana hapa Duniani.


XP Reposted

It took me 9 years to realize, and I will tell you in 2 minutes. 1. Don't tell them everything Even when you trust your close friends and family.


XP Reposted

At this age you need to realize everyone has a lot of growing to do, so you either grow together or outgrow each other.


XP Reposted

Men, Be uncomfortable for a year or two to be comfortable for the rest of your life.


XP Reposted

Mwamba anaitwa David Adjaye, ni Architect maarufu sana wa majengo hapa duniani. Alizaliwa Tanzania 🇹🇿 lakini wazazi wake wana asili ya Ghana. Moja ya Kazi zake ni pamoja na:👇 🧵 Thread.

Labella_Mafia95's tweet image. Mwamba anaitwa David Adjaye, ni Architect maarufu sana wa majengo hapa duniani.

Alizaliwa Tanzania 🇹🇿 lakini wazazi wake wana asili ya Ghana.

Moja ya Kazi zake ni pamoja na:👇

🧵 Thread.

XP Reposted

Kuna time unatumia nguvu nyingi sana kuyakimbilia mafanikio ila mipango inagoma, Unaamua kurelax tu na kutumia nguvu kidogo unashangaa mambo yanaanza kufloo yenyewe.


XP Reposted

A strong man stays single, silent and out of reach until he fixes his mind, body and wallet.


XP Reposted

Kuoa/kuolewa ni jambo moja, Kudumu kwenye hiyo ndoa Pia ni jambo Jingine kabisa ilo.


XP Reposted

Just because it took you longer than others doesn't mean you failed.


XP Reposted

What type of research books do you need? 📚 Healthcare Economics Math Law Science Computer Science or something general? Let me know! 👇


XP Reposted

Kama nyumba au mtaa au kitongoji(neighborhood) itakosa kimoja kati ya hivi vitano,basi itahesabika kama ni nyumba duni au uswazi(slums or squatter settlements). 1)Maji safi na Salama(Improved water) 2)Usafi wa mazingira(sanitation) 3)Usalama wa milki au Hati miliki(Security of…

Thommunkondya's tweet image. Kama nyumba au mtaa au kitongoji(neighborhood) itakosa kimoja kati ya hivi vitano,basi itahesabika kama ni nyumba duni au uswazi(slums or squatter settlements).
1)Maji safi na Salama(Improved water)
2)Usafi wa mazingira(sanitation)
3)Usalama wa milki au Hati miliki(Security of…

XP Reposted

NIMEPENDA MKATABA WA UJENZI WA SGR YA INDONESIA NA CHINA. Mwaka 2015 indonesia walitangaza mpango wa ujenzi wa reli ya spidi kubwa kutoka jakarta kwenda mji wa bandung yenye urefu wa 142km. Miongoni mwa mataifa yaliyobid ile Tender ilikuwa ni China na Japan. Japan ana historia…

Thommunkondya's tweet image. NIMEPENDA MKATABA WA UJENZI WA SGR YA INDONESIA NA CHINA.
Mwaka 2015 indonesia walitangaza mpango wa ujenzi wa reli ya spidi kubwa kutoka jakarta kwenda mji wa bandung yenye urefu wa 142km. Miongoni mwa mataifa yaliyobid ile Tender ilikuwa ni China na Japan.

Japan ana historia…

XP Reposted

Una ona Masaki na osterbay zinavyopendeza..? Hiyo ndiyo tafsiri ya kupanga mji. Tukipanga maeneo yetu yote yatakuwa kama Masaki na Osterbay.


XP Reposted

HISTORIA YA ENEO LA “MSASANI.” KATA YA MSASANI: Kata ya Msasani ilikuwa inajulikana kwa jina la Mikoroshoni ambalo lilitokana na uwepo wa mikorosho mingi kwa wakati huo. Asili ya jina la Kata ya Msasani inasadikiwa kuwa ni kutokana na mtu maarufu aliyeishi maeneo hayo kipindi…

Thommunkondya's tweet image. HISTORIA YA ENEO LA “MSASANI.”
KATA YA MSASANI:
Kata ya Msasani ilikuwa inajulikana kwa jina la Mikoroshoni ambalo lilitokana na uwepo wa mikorosho mingi kwa wakati huo. Asili ya jina la Kata ya Msasani inasadikiwa kuwa ni kutokana na mtu maarufu aliyeishi maeneo hayo kipindi…
Thommunkondya's tweet image. HISTORIA YA ENEO LA “MSASANI.”
KATA YA MSASANI:
Kata ya Msasani ilikuwa inajulikana kwa jina la Mikoroshoni ambalo lilitokana na uwepo wa mikorosho mingi kwa wakati huo. Asili ya jina la Kata ya Msasani inasadikiwa kuwa ni kutokana na mtu maarufu aliyeishi maeneo hayo kipindi…

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.