@kanyabali87 Profile picture

Mahdi M Pyalali

@kanyabali87

Hapa kazi tu . Ni rahisi sana kukosoa kuliko kujenga

Joined August 2014
Similar User
aru photo

@hanbinaddiction

Aline U. Augustin photo

@ImageThreatre

chunnah photo

@JuliusMacha

HaleSpur photo

@hale_spur

ChabaSIR photo

@chabaSIR

De' Sung photo

@Athman_Sungura

Salim Shakur photo

@razam_shakur

Carson Nkya photo

@lcnkya

Nyassatu M. Ndamgoba photo

@Nyassatu

Random Guy 69 photo

@OugouzalH

Ally Diwani photo

@AllyDiwani

Mohammed Kulundu photo

@KulunduMohammed

siku hiyo hiyo King'azi itajulikana iko wapi

Siku hiyo Mahakama zitakuwa huru Siku hiyo Bunge litakuwa huru Siku hiyo ofisi ya DPP itakuwa huru Siku hiyo ofisi ya AĞ itakuwa huru Siku hiyo NGO zitakuwa huru Siku hiyo Vyama vya Siasa vitakuwa huru Siku hiyo Media zitakuwa huru Siku hiyo Nasi tutakuwa huru



Katika pita pita zako , angalau kwa siku tenga muda wa kusikiliza hotuba za Makongoro Nyerere .. ucheshi unatibu


Kuheshimu faragha za watu ni pamoja hata kama ukimkuta mkeo analiwa inabidi ukaushe maana wapo faragha.

Comment ziwe fupi fupi kidogo, weekend imekaribia.



Mahdi M Pyalali Reposted

Comment ziwe fupi fupi kidogo, weekend imekaribia.


Mahdi M Pyalali Reposted

💨 Hivi karibuni, picha za AI zimekuwa zikitreand sana humu 𝕏, hasa hasa picha zilizotengenezwa kwa Bing AI. Watu wengi wanajiuliza, wamewezaje kufanya hivyo? Easy, sana!! Haihitaji hata ujue ngeli, yani unaweza kutengeneza kwa Kiswahili. Wanafanyaje? Ungana na mimi...

NjiwaFLow's tweet image. 💨 Hivi karibuni, picha za AI zimekuwa zikitreand sana humu 𝕏, hasa hasa picha zilizotengenezwa kwa Bing AI.

Watu wengi wanajiuliza, wamewezaje kufanya hivyo?

Easy, sana!!

Haihitaji hata ujue ngeli, yani unaweza kutengeneza kwa Kiswahili.

Wanafanyaje?

Ungana na mimi...

Ni jumatatu na umeme hakuna .... mjitafakari

Comment ziwe fupi fupi kidogo, weekend imekaribia.



Mahdi M Pyalali Reposted

10 movies with the saddest endings : 1) Queen and slim

vhic_tore's tweet image. 10 movies with the saddest endings :

1) Queen and slim

Mahdi M Pyalali Reposted

Latest movies (thread)

hit__n's tweet image. Latest movies (thread)

Mahdi M Pyalali Reposted

2022 TOP 40 Popular Movies Released in NOVEMBER that you must watch Thread..... 1. Black Adam .......The Woman King

iamblackmyth's tweet image. 2022 TOP 40 Popular Movies  Released in NOVEMBER that you must watch 

Thread.....

1. Black Adam .......The Woman King
iamblackmyth's tweet image. 2022 TOP 40 Popular Movies  Released in NOVEMBER that you must watch 

Thread.....

1. Black Adam .......The Woman King

Mahdi M Pyalali Reposted

Top 10 Thriller movies of 2022 1 Beast

theladyjane_'s tweet image. Top 10 Thriller movies of 2022

1 Beast

Mahdi M Pyalali Reposted

Top 10 crime action movies you should watch. 10. Honest thief.

First_alphas's tweet image. Top 10 crime action movies you should watch. 

10. Honest thief.

Mahdi M Pyalali Reposted

Top 10 CIA and KGB movies : 10) The Man from Uncle

vhic_tore's tweet image. Top 10 CIA and KGB movies :

10) The Man from Uncle

Ni muda muafaka sasa Yanga wakapewa Simba queens wacheze mechi za kimataifa kwa niaba yao 😀😀😀😀😀😀


Vijana wa chadema hivi mnachofanya hakuna wa kuamini tena. Ni waongo kuliko sasa . @spana_Konki @kigogo2014 @HildaNewton21 @SuphianJuma

kanyabali87's tweet image. Vijana wa chadema hivi mnachofanya hakuna wa kuamini tena. Ni waongo kuliko sasa . @spana_Konki @kigogo2014 @HildaNewton21 @SuphianJuma

Hapa ni Ormanie Kata ya Arash Mtu akiwa anapeleka mifugo yake kwenda kunywesha Maji na kufuata Maji kwa ajili ya Matumizi ya nyumbani, kavamiwa na Jeshi la Polisi wamepiga Risasi mifugo yake kuna baadhi ya mifugo imepoteza maisha. #StopMaasaiEviction

HildaNewton21's tweet image. Hapa ni Ormanie Kata ya Arash

Mtu akiwa anapeleka mifugo yake kwenda kunywesha Maji na kufuata Maji kwa ajili ya Matumizi ya nyumbani, kavamiwa na Jeshi la Polisi wamepiga Risasi mifugo yake kuna baadhi ya mifugo imepoteza maisha.

#StopMaasaiEviction
HildaNewton21's tweet image. Hapa ni Ormanie Kata ya Arash

Mtu akiwa anapeleka mifugo yake kwenda kunywesha Maji na kufuata Maji kwa ajili ya Matumizi ya nyumbani, kavamiwa na Jeshi la Polisi wamepiga Risasi mifugo yake kuna baadhi ya mifugo imepoteza maisha.

#StopMaasaiEviction
HildaNewton21's tweet image. Hapa ni Ormanie Kata ya Arash

Mtu akiwa anapeleka mifugo yake kwenda kunywesha Maji na kufuata Maji kwa ajili ya Matumizi ya nyumbani, kavamiwa na Jeshi la Polisi wamepiga Risasi mifugo yake kuna baadhi ya mifugo imepoteza maisha.

#StopMaasaiEviction


miaka 45 ya Kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi . Hongera sana Mwenyekiti wetu Ndg Samia Suluhu Hassan.

kanyabali87's tweet image. miaka 45 ya Kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi . Hongera sana Mwenyekiti wetu Ndg Samia Suluhu Hassan.

Mahdi M Pyalali Reposted

Mmepaniki eenhe? Relax!!!!

ezekiel_kamwaga's tweet image. Mmepaniki eenhe? Relax!!!!

Serikali iliyoleta Tozo, na serikali iliyosikia kilio cha wananchi kuhusu Tozo siku zikikutana inaweza kutokea vita kubwa


Mahdi M Pyalali Reposted

Uwekezaji wa mitambo ya kisasa, jengo na Wataalamu uliofanywa na Serikali ya Tanzania katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam umeokoa maisha ya watu 444,848 na zaidi ya shilingi Bilioni 250 ambazo zingetumika kupata matibabu nje ya nchi. Ni kati ya 2015-2021

MsigwaGerson's tweet image. Uwekezaji wa mitambo ya kisasa, jengo na Wataalamu uliofanywa na Serikali ya Tanzania katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam umeokoa maisha ya watu 444,848 na zaidi ya shilingi Bilioni 250 ambazo zingetumika kupata matibabu nje ya nchi. Ni kati ya 2015-2021

Mahdi M Pyalali Reposted

#LIVE_CCMTZ: JPM APOKELEWA KWA MAFURIKO YA WANA-MBEYA SASA ANAOMBA KURA UWANJA WA AIRPORT YA ZAMANI pscp.tv/w/ckLLhjF4a2pE…


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.