Japalado Mchamungu
@japaladoYaa Rabbih Nipe Mwisho Mwema!
Similar User
@ShabaniShabani_
@fredbundala
@Sengati_Jr
@Ericomar250
@mzeenkhata
@kawiche76
@washokera
@chidbsaid
Kuzaliwa Bongo asilimia kubwa tunazaliwa kwenye shida na utitiri wa matatizo. Moja ya jukumu lako nikuhalikisha huongezi matatizo bali unapambana kuyapunguza, huna kazi alafu unampa binti ujauzito nikuongeza matatizo, kipato kidogo alafu mlevi unaongeza matatizo, #yapunguze
Wakati wa ujana wa wazazi wetu kumaliza chuo kikuu ilikua jambo kubwa sana na pia ilikua tiketi ya kupanda ngazi kimaisha, sasa hivi kumaliza ni kumaliza tu hamna issue, imechukua generation moja tu hali kubadilika na namna hii, what next??? Frustration??? Or salvation??
Ukikutana na mtu mfupi akakusifia nywele zako nzuri usikurupuke kwanza angalia, kama zip yako umefunga.
Eid Mubarak. Mwenyezi Mungu atutakabalie swaumu zetu, visimamo na visomo vyetu. Eid sio siku ambayo tumeachiwa huru toka gereza la kufanza mema kwa lazima na kurudishwa kutenda maovu kwa hiari bali ni siku ya mwanzo ya kudhihirisha kuwa mema ya Ramadhani ni yenye kudumu kwetu.
Mnaouliza @bill_nass kanifanya nini mpaka namvaa daily naomba msijisahaulishe hili tukio 😂
Kusaidiwa kupo karibu na kusimangwa ndio mana kutafuta kwa jasho lako ni ufunguo wa uhuru katika maisha yako
SIMBA BINGWA 🙌🏽 Mungu mkubwa!!! Pongezi kwa wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama, mashabiki, na wapenzi wote wa SIMBA! We did it. I am so proud 🙏🏽
Hivi ikitokea umeokota MILIONI MIA utazifanyia nini??
Huu ni mwezi wa Qur'ani na tunamwomba Mwenye Enzi atujaalie tuwe wingi wa kuisoma na atujaalie tuwe wenye kuiishi ndani na nje ya mwezi huu.
Mzee wetu, Babu yetu Ali Hassan Mwinyi, leo Mwenyezi Mungu amemfanikisha kufikisha umri wa miaka 94. Sisi kama watoto wake, wajuu zake na maswahiba wake tunamtakia afya njema, na neema za Mungu zizidi kuwa nae. Happy birthday Babu na Ramadan Kareem
Kulingana na matukio ya utekaji yanayoendelea yanaleta picha mbili, uwezo wa watekaji nyara ni mkubwa kuliko uwezo wa kuokuoa wa jeshi la polisi au watekaji ni polisi kwahiyo hawawezi jikamata. Maana zote mbili sitaki kuziamini ila ndio akili imasema hivyo. Kuna maana nyingine ?
Huu ni mwezi wa Qur'ani na tunamwomba Mwenye Enzi atujaalie tuwe wingi wa kuisoma na atujaalie tuwe wenye kuiishi ndani na nje ya mwezi huu.
Ni mimi tu ninayegombana na babu yangu ? 😰
Dawa ya kombe la dunia nikuhama tu timu, hata mechi ya fainali ikifika dakika ya 90 unacheki upepo kama haujakaa vizuri unahamia upande wa timu iliyoko vizuri, yani mpaka unahakikisha unashangilia kombe
Ewe Allahumma, hakika sisi tunakuomba kwa kuwa wewe ni Allah, Mwenye Enzi, Ambaye hakuna mwabudiwa wa haki ila Wewe, mwingi wa raafa na mwingi wa upaji. Muumba wa ajabu za mbingu na ardhi.
Na yule mwenye kutoka nyumbani kwake na kuelekea katika sababu ya kumpatia rizki hali ana yakini juu ya Muumba wake, huyo huruzukiwa kile kilicho bora kabisa kutoka katika hazina ya Rabbu wake. Na hali yake huwa kama ya ndege mwenye kutoka asubuhi na kurudi jioni hali kashiba.
Hakika mna nyinyi ndani ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ruwaza njema mno kwa yule mwenye kutarajia mema kwa Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho na akamdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi.
Na yote yale alokuleteeni Mtume (Muhammad, swala na salamu za Mwenyezi Mungu zimwalie) huyu, basi yachukueni. Na yote yale alokukatazeni, basi yaacheni.
United States Trends
- 1. Delaware 12,1 B posts
- 2. #ChristmasCrunchSweepstakes N/A
- 3. $NUT 2.338 posts
- 4. #GivingTuesday 7.799 posts
- 5. Madrimov 1.144 posts
- 6. Cyber Monday 92,9 B posts
- 7. Art Cashin 1.286 posts
- 8. Durbin 5.770 posts
- 9. SLIMETOOZ 2.429 posts
- 10. Circus 24,5 B posts
- 11. Isaac Guerendo N/A
- 12. Ben Arbuckle 2.084 posts
- 13. Mateer N/A
- 14. #GalaxyFold6 1.027 posts
- 15. Jill 55,5 B posts
- 16. Tacky 2.611 posts
- 17. Act 10 7.680 posts
- 18. Bohachuk N/A
- 19. Clay Holmes N/A
- 20. Hozier 2.089 posts
Something went wrong.
Something went wrong.