@i_kometian Profile picture

TottiJr♦️

@i_kometian

Medical Personnel 🥼💊💉 Health manager💦 TottiJr the legacy master 💣 A deadly Liverpool fan YNWA ♦️

Joined November 2023
TottiJr♦️ Reposted

Hutaki kubet wala kurepost post zangu unachosubiri nile mkeka uweke namba kwenye comment ACHA UCHAWI kapige hata repost tu


TottiJr♦️ Reposted

Sio kweli hauwezi kumbuka ni vingi sana. Nimesoma Engineering mathematics 1,2 na 3 . Analysis and design of structures, mechanics, electrical, Kuna hesabu ngumu mpaka unapewa reference book unazama nayo. Swali moja unatumia formula zaidi ya 50 ndio unapata jibu. Hauwezi kumbuka


Nimepata bahati na muda wa kusikiliza ngoma zote za album ya bro @Roma_Mkatoliki itoshe kusema the man is really activist,complete package of artist, Bro umetisha,i thought ulishapotea kwenye kufungua codes za nchi(politically) kumbe ndo kwanza kumekucha ✊

Tweet Image 1

Poor and low start by Mudathiri, losing possession,poor recovery Yanga showing maturity and high conversion rate💥

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

Happy birthday @George_Ambangil uishi miaka mingi Sana yenye mafanikio kaka🍾🍺

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

TottiJr♦️ Reposted

HOW MANY LIKES FOR ARUSHA CH FELLOWS!!? Dar Hub! We can’t WAIT TO HOST YOU IN OUR HQ SOON💚 #CHcommunity!

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

Sikumjua Edward Lowassa as a politician, ila it is fair to assume he was a great one through stories na his rise in popularity & leadership. As a leader, he proved himself kupitia mengi, ila most importantly ikiwa UWAJIBIKAJI; kitu ambacho kimewashinda wengi. As a man & a…

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

Chairman Mbowe’s malemarization of history.💪💪💪😎😎


TottiJr♦️ Reposted

Asante Wasanii #TanzaniaAllStars kwa wimbo huu wa kumsindikiza mpendwa wetu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa. #RIPLowassa tutaonana baadaye.


TottiJr♦️ Reposted

Namuomba Waziri Mkuu mst. mzee Joseph Warioba kwa kushirikisha familia, marafiki & jamaa kuandika kitabu cha Maisha ya hayati Edward Lowassa; katika ujana, harakati za siasa, uongozi na mahusiano ya jamii. Naamini kitakuwa kitabu bora chenye mafunzo mengi.🇹🇿


TottiJr♦️ Reposted

After Nyerere, Lowassa was undeniably the most influential politician in the last 30 years, according to @TunduALissu . Interesting 🇹🇿


TottiJr♦️ Reposted

#Sijisahau #NajaliAfyaYangu #Mazoezi #UlajiWaVyakulaUnaofaa #NajuaNambaZangu - UzitoWangu,ShinikizoLaDamu,KiwangoChaSukariMwilini #MtuNiAfya

Unene uliopitiliza huongeza uwezekano wa kupata kisukari, magonjwa ya moyo pamoja na kuziba kwa mishipa ya damu. ✅Fanya mazoezi ✅Kula lishe bora ✅Pima Mara kwa mara #Usijisahau #JuaNambaZako @ummymwalimu @wizara_afyatz



TottiJr♦️ Reposted

"Tatizo la nchi hii mnazungumza mambo na hamtekelezi hamuwezi kujilinganisha na Malaysia wao wana Discipline hapa tatizo ni uswahili mwingi hatuwezi kua na chombo ambacho kinaamua na hakitekelezi" Edward Lowasa Bungeni #RIPLowasa


TottiJr♦️ Reposted

A legend is Gone but he will live in our hearts FOREVER. Pumzika Mzee wetu,siku ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zetu Asante Mungu kwa Maisha yako, Ulikua Mwalimu, Kiongozi na Baba/Mlezi wa Wengi. Umekamilisha Safari ndefu ya Maisha yako, Safari yenye Mapito Mengi na Mafunzo…

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

Ulimdhalilisha ,ulimfrustrate ,ulimbebsha mzigo usiokuwa wake uliichafua heshima yake ,na 2015 dodoma wakati wana CCM wanakuomba ukutane nae baada mkutano mkuu ulifunga milango he left CCM bcs of failure of ur leadership and not bcs of ideological difference


TottiJr♦️ Reposted

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Mheshimiwa Lowassa ameitumikia nchi yetu katika nafasi mbalimbali kwa zaidi ya miaka 35, akianzia ushiriki wake katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Chama Cha Mapinduzi…

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

Edo wa pili kutoka ardhi ya Maasai, Edo wa pili kuwa PM wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edo wa pili leo amemfuata Edo wa kwanza, Fly High Lowasa wa Monduli, Rest in Peace PM.

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

JWTZ🙌🏾

Tweet Image 1

TottiJr♦️ Reposted

Nimejaribu kufuatilia kwa karibu sana ziara wa Mwenezi Paul Makonda, na kuangalia namna mikutano yake inayokuwa , nilichosikitika ni kwamba 1. Mifumo ya utoaji haki kwa nchi hii haiko sawa kabisa, watu wanateseka bila kujua watapata wapi msaada 2. Watu Wana maisha magumu sana…


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.