@hamzai_abdul Profile picture

Dr. Hamza Abdulrahman, (Esq)

@hamzai_abdul

Lecturer, University of Dar es Salaam School of Law. Advocate, Notary Public and Commissioner for Oaths! Member and Supporter of Young Africans Sports Club!

Joined April 2021
Similar User
Isaya Yunge photo

@IsayaYunge

Oumar Bulla Kvaratskhelia photo

@Oumar_bulla

NYANI LA TZ.🍌🍌🍌 photo

@SEIFBOLA64

Nuru Sanga photo

@nsanga146

Dorah Theodory photo

@DorahTheodory

Elimu❤ dunia......🚔🏍🏍❤ photo

@ThomasMkuye

1 วσнη 4:20🇹🇿🇸🇴 photo

@Gwandumithespy_

Zulu photo

@ZuluKgb

Lord Jumbe photo

@FrankElisante

benita photo

@Innocentjoyce1

The Sword photo

@khallyed

Pinned

Wacha-mbuzi mnasemaje baada ya game ya Yanga vs Mamelodi?


Proper Preparation Prevents Poor Performance!


All the best our boys! A must win game!

hamzai_abdul's tweet image. All the best our boys! A must win game!

All the best boys! Do it for us!

hamzai_abdul's tweet image. All the best boys! Do it for us!

Kuna shida tukianza na ripoti ya mzee Lowassa?


Yako mambo ambayo sio mazuri kuyafanya. Mfano ajali imetokea unakimbia kupost watu wamefariki wakati huna uhakika. Wakitoka salama unaanza kuomba msamaha kisa ulitaka uwe wa kwanza kupost? Ukishapost? Then?


Jua na mwezi vyote hupatwa, lakini haichukui muda mrefu! Tutasomana!


Mlisema Msuva hana timu? Mkasema pia kwamba Shomari Kapombe kazeeka? Mnasemaje tuendelee na tubaki hapahapa?


Ally Kamwe alisema hawa hawawezi kushinda mechi 5 mfululizo wakabisha! Nadhani mmeelewa! Mwamuzi kamaliza mpira Coastal wakiwa kwenye 18 ya Kolo!


Kazi yetu ni kushinda tu, kuhusu kununa ni choice yenu!

hamzai_abdul's tweet image. Kazi yetu ni kushinda tu, kuhusu kununa ni choice yenu!

Tukubaliane leo hamtasema humiliation tukiwakanda Pamba 7!


Those who claim to be on the forefront to condemn atrocities leads and supports murderers! Where do they get moral rights to Police the world?


Young Africans Sports Club!


Hivi! Mnyama anaweza kufanyiwa unyama?


Mlisema tuwaamini makocha wazawa? Sawa, kama sisi kama Taifa tumekubaliana hivyo!


Acha ninenepe niwe kocha wa Taifa Stars!


Mourinho bhana ni Manager! Yaani mchezaji alete ujinga amuache salama? Declan Rice anaicost Arsenal bila sababu ya maana!


Tunapata mashaka sana nanyie kwakuwa mnakuwa wakali mkikosa ambacho mlikuwa mnapata lakini sio kwamba mna nia ambayo mnaipresent kwamba mnayo! Nawaza kwa sauti!


Wachambuzi wa football Tanzania, tunawaomba mwezi wa 9 wote kabla hamjaanza kuzungumzia mpira muwazomee Azam FC angalau kwa dakika 5. APR sio timu ya kuifunga Azam bhana! Inakera sana!


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.