Similar User
@JizzeMick
@Mompome1
@lesempiter
@adrianijr
@Mwalimu_Lucas11
@Barfumuthobias
@SulleMiraji
@ManwambeleM
@Rutegibigene
@realkevoo_
@malalo_adam
@andrew_charlesi
@Nunda24197358
@Yayahela1
@brilliant_mika
Punguza shobo kwa wasiokuhitaji katika maisha yao. Una yako yazingatie na ujipende.
Ajira mpya za serikali hua mna akili moja. “Napiga kazi mwaka mmoja nahamia town au narudi shule”. Niko hapa kukukatisha tamaa. Unless una maelekezo makali sana. Shughuli yako imeishia hapo.😀
"Shida unakuja nazo wew, Gar haina shida" 🫵🤣
5 WAYS TO GET RID OF RAZOR BUMPS Razor bumps is a common condition mostly experienced by men. It can cause self consciousness and affect confidence in social settings. Why do they happen, and how can they be gotten rid of? Everything you should know. 👇🏼
Usiruhusu watu wakupangie namna ya kuishi ikiwa kwenye magumu yako huwa hawakusaidii🤞🏿
Kindly Retweet 🙏 Daihatsu Mira Cc 650 Mafuta inanusa Full ac Bei 8.9 mil #0625004475
Usidharau kidogo unachokipata Ni mbegu kwa ajili ya Kikubwa Unacho Kitafuta.
Familia unayoijenga ni muhimu zaidi kuliko ile uliyozaliwa nayo. Hakikisha unachugua kwa busara mtu unayeanzisha nae familia
Ukiniona nipo kimya sio kwamba sikujali hapana nakupambania ili kesho ukiniomba nisikwambie sina.✍️
Wanaume wenzangu ambao hamjaoa, kitu pekee nitakushauri ukiachana na kujiweka sawa kwenye swala la finance basi ni kwamba. Usizae na mwanamke kabla haujamuoa wala hautegemei kumuoa. Kuwa na mtoto nje ya ndoa ni worst idea na maumivu maisha yote. Hakuna mwanaume mwenye mtoto wa…
Mwanaume huwa anahitaji kujua Past ya mwanamke wake hana time na future yake, Ila mwanamke hataki kujua Past ya mwanaume wake Anadeal na Future yake, Hapa ndio Kuna tofuti ya Mwanamke na Mwanaume.
Usikubali kuwaweka watu katika nafasi ambayo wao wangekuwa wewe hata wasingekusikiliza na kukuthamini.
Ukihisi maumivu utambue uko hai, Ukihisi Maumivu ya wengine Ujue We Ni Binadamu.
Kuna wakati unatamani uweke mahusiano yako public lakini unaogopa. Kwasababu kwenye njia zetu za kutafuta ridhiki tuna maadui wengi sana. Hivyo inaweza ikawa njia rahisi ya kuumizwa/kufanyiwa kitu kibaya kupitia mpenzi wako. Hatukufichi, tunalinda mahusiano yetu.
Jamii inayomfanya mwanaume ajihisi astahili kupendwa kama Hana hela.. Ndio hiyo hiyo inayotaka awe muaminifu akiwa tajiri? Hii equation haiwezi kubalance dada zangu..
Kama Bado ukishuka kitandani unatanguliza Miguu Chini Basi Pambana Sana kutafuta Hela 😂😂😂😂😂😂😂😂
Furniture safi 🇹🇿 0786437672 Whatsapp *Ipo tayar kwenda kwa Tajiri wangu* *Plates zipo nne Moja umeme tatu gas* *Very classy and elegant* *Complete Tsh 650k* *Kitchen cabinet peke yake Tsh 400k*
PERFECTION 💯 LIVING ELEGANTLY FINISHING IS TOP NOTCH IT IS A CUSTOMIZED ORDER 0786437672 WHATSAPP 0699033181 CALLS
"Usimtafsiri mtu kutokana na maneno ya watu ishi nae kwanza ujionee ni kwasababu binadamu huishi maisha tofauti kulingana na watu tofauti" BIG BEN
United States Trends
- 1. Georgia 182 B posts
- 2. Haynes King 4.737 posts
- 3. #SmackDown 50,4 B posts
- 4. Kirby 19,9 B posts
- 5. Iowa 18 B posts
- 6. Carson Beck 1.891 posts
- 7. Pritchard 3.817 posts
- 8. Ga Tech 1.727 posts
- 9. Raiders 79,2 B posts
- 10. Athens 5.657 posts
- 11. Nebraska 9.643 posts
- 12. #OPLive 2.672 posts
- 13. Bobo 40,1 B posts
- 14. Arian Smith N/A
- 15. Kaleb Johnson 1.142 posts
- 16. Dawgs 7.063 posts
- 17. Shinsuke 3.684 posts
- 18. Trudeau 140 B posts
- 19. Jeanty 27,1 B posts
- 20. Heisman 30,8 B posts
Who to follow
-
Mick Jizze
@JizzeMick -
Ambrose111
@Mompome1 -
Sudimali
@lesempiter -
Adrian
@adrianijr -
Mw.LucaS📚📝
@Mwalimu_Lucas11 -
#𝗪𝗮𝗳𝘂𝗹𝗮𝗰𝗵𝗲𝗯𝘂𝗸𝗮𝘁𝗶 '𝗠𝗴𝗮𝗺𝗯𝗼'
@Barfumuthobias -
Sulle
@SulleMiraji -
Manwambele.
@ManwambeleM -
La Haula!
@Rutegibigene -
Kelvin Michael
@realkevoo_ -
Malalo Adam
@malalo_adam -
official_andrew_kidu
@andrew_charlesi -
Nunda
@Nunda24197358 -
Alexander Litvinenko
@Yayahela1 -
brilliant Usiri
@brilliant_mika
Something went wrong.
Something went wrong.