dany_mickey's profile picture.

Dany mickey

@dany_mickey

Joined June 2023
Similar User
TitusMsusi1's profile picture.

@TitusMsusi1

Dany mickey Reposted

🚨 MABOSI wa Simba wajanja sana, wakati leo ni Simba Day, wenyewe wamepanga kuwafanya sapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwatambulisha makipa wawili wapya akiwamo aliyecheza soka lake lote Ulaya, licha ya kuwa na uraia wa DR Congo 🇨🇩 Lionel Mpasi Nzau Kipa huyo mwenye urefu

SportsarenatzTz's tweet image. 🚨 MABOSI wa Simba wajanja sana, wakati leo ni Simba Day, wenyewe wamepanga kuwafanya sapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwatambulisha makipa wawili wapya akiwamo aliyecheza soka lake lote Ulaya, licha ya kuwa na uraia wa DR Congo 🇨🇩 Lionel Mpasi Nzau

Kipa huyo mwenye urefu

Dany mickey Reposted

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Yacouba Songne amejiunga na klabu ya Arta Solar 7 ya Djibouti kwa uhamisho huru kutoka Ihefu SC. Yacouba (26) raia wa Burkina Faso amesaini mkataba wa mwaka mmoja. Yacouba amewahi kuvitumikia vilabu vya Stade Malien, Asante Kotoko, RC…

mshambuliaji's tweet image. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Yacouba Songne amejiunga na klabu ya Arta Solar 7 ya Djibouti kwa uhamisho huru kutoka Ihefu SC.

Yacouba (26) raia wa Burkina Faso amesaini mkataba wa mwaka mmoja.

Yacouba amewahi kuvitumikia vilabu vya Stade Malien, Asante Kotoko, RC…

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.