@cha_mtemi Profile picture

Kijukuu Cha Mtemi

@cha_mtemi

[email protected],

Joined March 2022
Similar User
eston mwaniki photo

@estonmwaniki4

USTAZI UBWABWA photo

@ustaziubwabwa

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Wenetu Mara paa TUME HURU ipo halafu inatokea wagombea ndio Hawa wawili @SuluhuSamia anatetea utawala wake wa kidhalimu na @TunduALissu ndio mgombea wa upinzani nchini utaweka wapi kura yako? Likes kwa Samia Re-twitter kwa Lissu kura zijihesabu hapo maccm yaone.

KomboChadematz's tweet image. Wenetu Mara paa TUME HURU ipo halafu inatokea wagombea ndio Hawa wawili @SuluhuSamia anatetea utawala wake wa kidhalimu na @TunduALissu ndio mgombea wa upinzani nchini utaweka wapi kura yako?

 Likes kwa Samia Re-twitter kwa Lissu kura zijihesabu hapo maccm yaone.
KomboChadematz's tweet image. Wenetu Mara paa TUME HURU ipo halafu inatokea wagombea ndio Hawa wawili @SuluhuSamia anatetea utawala wake wa kidhalimu na @TunduALissu ndio mgombea wa upinzani nchini utaweka wapi kura yako?

 Likes kwa Samia Re-twitter kwa Lissu kura zijihesabu hapo maccm yaone.

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Kama unapinga utekaji #repost hii picha.

Twaha_Mwaipaya's tweet image. Kama unapinga utekaji #repost hii picha.

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Tume huru ya uchaguzi ni moja ya sababu za madai ya katiba mpya. Imekuwa ni kikwazo cha wananchi kupata viongozi wanaowataka. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

lifeofmshaba's tweet image. Tume huru ya uchaguzi ni moja ya sababu za madai ya katiba mpya. Imekuwa ni kikwazo cha wananchi kupata viongozi wanaowataka.  #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea. Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima…


Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Jina: TUNDU ANTIPUS LISSU. Taaluma: WAKILI. Cheo: MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA. RAIS WA MIOYO YA WATANZANIA #TunduLissu #NiYeye

JohnNgutiCDM's tweet image. Jina: TUNDU ANTIPUS LISSU.

Taaluma: WAKILI.

Cheo: MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA.

RAIS WA MIOYO YA WATANZANIA
#TunduLissu
#NiYeye

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

WAZIRI MKUU TAREHE 16/5/2023 Alivunja TASK FORCE ZOTE ZA TRA. Leo TRA wanaandika Barua ya TAARIFA KWA UMMA wanaelezea juu ya Vijana wao wa Task force kushambuliwa na wananchi. Sisi wananchi tulipokea haya maagizo ya WAZIRI MKUU. Nyie kama mlidharau haya ndio madhara yake. Na…

Sativa255's tweet image. WAZIRI MKUU TAREHE 16/5/2023 Alivunja TASK FORCE ZOTE ZA TRA.

Leo TRA wanaandika Barua ya TAARIFA KWA UMMA wanaelezea juu ya Vijana wao wa Task force kushambuliwa na wananchi.

Sisi wananchi tulipokea haya maagizo ya WAZIRI MKUU. Nyie kama mlidharau haya ndio madhara yake. Na…
Sativa255's tweet image. WAZIRI MKUU TAREHE 16/5/2023 Alivunja TASK FORCE ZOTE ZA TRA.

Leo TRA wanaandika Barua ya TAARIFA KWA UMMA wanaelezea juu ya Vijana wao wa Task force kushambuliwa na wananchi.

Sisi wananchi tulipokea haya maagizo ya WAZIRI MKUU. Nyie kama mlidharau haya ndio madhara yake. Na…

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Watekaji wakiwa wamevalia Mask walifika mchana huu CENTRAL POLICE na kumchukua mdude. Mliosikiliza story yangu, MAFWELE aliagiza nifungwe Pingu na kuwa kuna watu wanakuja kunichukua. Hao watu ndio waliokuja asubuhi wakanipeleka ARUSHA na kisha kuenda kunipiga RISASI ya kichwa…

Sativa255's tweet image. Watekaji wakiwa wamevalia Mask walifika mchana huu CENTRAL POLICE na kumchukua mdude.

Mliosikiliza story yangu, MAFWELE aliagiza nifungwe Pingu na kuwa kuna watu wanakuja kunichukua.

Hao watu ndio waliokuja asubuhi wakanipeleka ARUSHA na kisha kuenda kunipiga RISASI ya kichwa…

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Nimefika Ileje nikiwa na Ndugu Pascal Haonga pamoja na Abdulkareem. Tumemkuta Mdude Mpaluka Nyagali katika kituo cha Polisi Itumba Ileje ambapo ndipo alipoletwa kuhifadhiwa baada ya kukamatwa. Tumesimamia mahojiano kwa makosa matagi anayotuhumiwa nayo ambayo ni Kujeruhi,Kutoa…

Mwabuk2Boniface's tweet image. Nimefika Ileje nikiwa na Ndugu Pascal Haonga pamoja na Abdulkareem.

Tumemkuta Mdude Mpaluka Nyagali katika kituo cha Polisi Itumba Ileje  ambapo ndipo alipoletwa kuhifadhiwa baada ya kukamatwa.

Tumesimamia mahojiano kwa makosa matagi anayotuhumiwa nayo ambayo ni Kujeruhi,Kutoa…

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Good morning #Tanzania ✊🏽 Tunashukuru kwa kuuona siku nyingine tuanze na kudai polisi imwachie mpambanaji @mdudechadematz Tunawasalimia asubuhi hii na #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali

MariaSTsehai's tweet image. Good morning #Tanzania ✊🏽
Tunashukuru kwa kuuona siku nyingine tuanze na kudai polisi imwachie mpambanaji @mdudechadematz 
Tunawasalimia asubuhi hii na
#FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali #FreeMdude #FreeMdudeNyangali

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Kwa miaka mingi kumekuwa na madai ya mabadiliko ya katiba, lakini CCM na Dola wamekuwa ni wapinzani wakubwa wakipinga mifumo kuboreshwa kutokana na chama kunufaika zaidi kwenye mfumo wa sasa. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

ChangeTanzania's tweet image. Kwa miaka mingi kumekuwa na madai ya mabadiliko ya katiba, lakini CCM na Dola wamekuwa ni wapinzani wakubwa wakipinga mifumo kuboreshwa kutokana na chama kunufaika zaidi kwenye mfumo wa sasa.
#KatibaMpya
#WenyeNchiWananchi

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

KWA HESHIMA YA MWENYEKITI NAOMBA REPOST 400.🫡✌🏾

Sativa255's tweet image. KWA HESHIMA YA MWENYEKITI NAOMBA REPOST 400.🫡✌🏾

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Naomba repost 200 kwanza ndio tuendelee kuisema SERIKALI.🤝

Sativa255's tweet image. Naomba repost 200 kwanza ndio tuendelee kuisema SERIKALI.🤝

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Mwamba huyu apa @fbuyobe paratrooper mtu wa watu mwanakaya wa nguvu sana Jamaa sumu apate tu picha ndani ya dakika 30 atakupa wasifu mzima kambi ya mafunzo, vyeo na kombania 😂😂⁉️ na nyongeza alifanya hivi kwa akina Nyundo wabakaji na jana kwa askari watekaji Chapa retweet kwak

nulphin's tweet image. Mwamba huyu apa @fbuyobe paratrooper mtu wa watu mwanakaya wa nguvu sana Jamaa sumu apate tu picha ndani ya dakika 30 atakupa wasifu mzima kambi ya mafunzo, vyeo na kombania 😂😂⁉️ na nyongeza alifanya hivi kwa akina Nyundo wabakaji na jana kwa askari watekaji
Chapa retweet kwak

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Je nini kipo nyuma ya ufichaji wa matukio yenye kuumiza jamii wakati mnufaika mkubwa likiwa kundi dogo la Chama cha Mapinduzi, Je wananchi wameshindwa kutumia internet na mitandao ya kijamii kujikomboa na huyu mkoloni mweusi? ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

lifeofmshaba's tweet image. Je nini kipo nyuma ya ufichaji wa matukio yenye kuumiza jamii wakati mnufaika mkubwa likiwa kundi dogo la Chama cha Mapinduzi, Je wananchi wameshindwa kutumia internet na mitandao ya kijamii kujikomboa na huyu mkoloni mweusi? ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Je nini kipo nyuma ya ufichaji wa matukio yenye kuumiza jamii wakati mnufaika mkubwa likiwa kundi dogo la Chama cha Mapinduzi, Je wananchi wameshindwa kutumia internet na mitandao ya kijamii kujikomboa na huyu mkoloni mweusi? ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

ChangeTanzania's tweet image. Je nini kipo nyuma ya ufichaji wa matukio yenye kuumiza jamii wakati mnufaika mkubwa likiwa kundi dogo la Chama cha Mapinduzi, Je wananchi wameshindwa kutumia internet na mitandao ya kijamii kujikomboa na huyu mkoloni mweusi? ? #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Umeshinda uchaguzi ukiwa gerezani. Haki imeshinda leo tena.🫡 Repost 200.

Sativa255's tweet image. Umeshinda uchaguzi ukiwa gerezani.

Haki imeshinda leo tena.🫡

Repost 200.

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

Huna sababu ya kupita Pasipo Kuweka LIKE kwenye picha ya Rais BONIFACE MWABUKUSI.

omari_manyama's tweet image. Huna sababu ya kupita Pasipo Kuweka LIKE kwenye picha ya Rais BONIFACE MWABUKUSI.

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

SAMIA MUST GO HAKUNA KUPEPESA MACHO. Hayo maandamano nitapush kwa akili zangu zote, nguvu zangu zote Mungu nisaidie. Gen z lets repost😂


Kijukuu Cha Mtemi Reposted

#KatibaMpya imecheleshwa kwa woga wa makusudi kwa Kile kinachodhaniwa ni kutisha wanaoinuka kupitia vyama vingine vya siasa na kuwatishia madaraka. — @hugokimaryo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3XKLG32

lifeofmshaba's tweet image. #KatibaMpya imecheleshwa kwa woga wa makusudi kwa Kile kinachodhaniwa ni kutisha wanaoinuka kupitia vyama vingine vya siasa  na kuwatishia madaraka.  —  @hugokimaryo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : <a style="text-decoration: none;" rel="nofollow" target="_blank" href="https://t.co/HjapCjvCW6">bit.ly/3XKLG32</a>

Kijukuu Cha Mtemi Reposted

#KatibaMpya imecheleshwa kwa woga wa makusudi kwa Kile kinachodhaniwa ni kutisha wanaoinuka kupitia vyama vingine vya siasa na kuwatishia madaraka. — @hugokimaryo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3XKLG32

ChangeTanzania's tweet image. #KatibaMpya imecheleshwa kwa woga wa makusudi kwa Kile kinachodhaniwa ni kutisha wanaoinuka kupitia vyama vingine vya siasa  na kuwatishia madaraka.  —  @hugokimaryo #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : <a style="text-decoration: none;" rel="nofollow" target="_blank" href="https://t.co/A1nt3KbBWc">bit.ly/3XKLG32</a>

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.