@brightlybwoy Profile picture

Bright Bwoy

@brightlybwoy

Be proud of yourself for how far you have come, and never stop pushing to be the best you can Be SLOW JUSTICE IS NO JUSTICE #Tumehuruyauchaguzi

Joined August 2013
Similar User
Peter Msirikale photo

@petermsirikale

Kapongo Jr photo

@kapongoe28

Zacharia Mhagama photo

@ZachariaMhagam1

Steven Bosha photo

@Kiwazone

BFAHAD photo

@DulleShaibu

fredrick ugomba photo

@twistiing

The Hustller photo

@GadauYonnah

Bright Bwoy Reposted

Mambo yamebadilika Tanzania, kila mmoja aje awekeze zaidi hapa Tanzania - Alhaji Aliko Dangote, Mwekezaji.


Bright Bwoy Reposted

FREE GIGY MONEY !! Kuna Wasanii tena wakubwa wanafanya mambo ya ajabu, kinyume na Maadili tuliyoyazoea, wanaachwa HURU, alafu GIGY MONEY ambae alitumia "Ubunifu wa Mavazi" akashutumiwa yupo UCHI na kufungiwa Miezi 6. Gigy ni MAMA na anategemewa na family yake. IT'S NOT FAIR !!

Wakazi's tweet image. FREE GIGY MONEY !!

Kuna Wasanii tena wakubwa wanafanya mambo ya ajabu, kinyume na Maadili tuliyoyazoea, wanaachwa HURU, alafu GIGY MONEY ambae alitumia "Ubunifu wa Mavazi" akashutumiwa yupo UCHI na kufungiwa Miezi 6.

Gigy ni MAMA na anategemewa na family yake. IT'S NOT FAIR !!

Bright Bwoy Reposted

“Unafiki ni jambo baya katika Maisha yetu wote na kama Viongozi wetu wakiwa Wanafiki wasipokuwa wakweli hawatomsaidia Mama Samia, wale wa CHADEMA wakiwa Wanafiki kwangu hawatoisaidia CHADEMA, tujenge Taifa la wanaoheshimu ukweli, ukweli utatuweka huru”———MBOWE #MillardAyoUPDATES

millardayo's tweet image. “Unafiki ni jambo baya katika Maisha yetu wote na kama Viongozi wetu wakiwa Wanafiki wasipokuwa wakweli hawatomsaidia Mama Samia, wale wa CHADEMA wakiwa Wanafiki kwangu hawatoisaidia CHADEMA, tujenge Taifa la wanaoheshimu ukweli, ukweli utatuweka huru”———MBOWE
#MillardAyoUPDATES

Bright Bwoy Reposted

"Alimgeuza Spika na Naibu wake kama watumishi wa kudumu wa Serikali, kutwa wakishiriki kila hafla ya serikali na mikakati michafu ya kuvuruga na kudhalilisha Wabunge wa Vyama vya Upinzani; ndani na nje ya Bunge!." Mhe. @freemanmbowetz

ChademaTz's tweet image. "Alimgeuza Spika na Naibu wake kama watumishi wa kudumu wa Serikali, kutwa wakishiriki kila hafla ya serikali na mikakati michafu ya kuvuruga na kudhalilisha Wabunge wa Vyama vya Upinzani; ndani na nje ya Bunge!." Mhe. @freemanmbowetz

Bright Bwoy Reposted

Nchi ina wemyeviti wengi lakini @freemanmbowetz ni mmoja tu. Kwa heshima yake Retweet 500 tu

John_Pambalu's tweet image. Nchi ina wemyeviti wengi lakini @freemanmbowetz ni mmoja tu. Kwa heshima yake

Retweet 500 tu

Bright Bwoy Reposted

JICHO LA ASSAD KWA MARAIS WALIOPITA Mzee Mwinyi: Gave us Hope but... Mzee Mkapa: Thuggish Regime Mzee JK: his strategy Failed to push the Country forward Mzee Magufuli: There was No clarity of what he wanted to do and what he did was not very well intended for this country.

JiniKinyonga's tweet image. JICHO LA ASSAD KWA MARAIS WALIOPITA

Mzee Mwinyi: Gave us Hope but...

Mzee Mkapa: Thuggish Regime 

Mzee JK: his strategy Failed to push the Country forward

Mzee Magufuli: There was No clarity of what he wanted to do and what he did was not very well intended for this country.

Bright Bwoy Reposted

Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe DIOCLES MUGISHAGWE imetupilia Mbali pingamizi la Mgombea wa CCM Dkt. Florence George Samizi dhidi ya Mgombea wa @ACTwazalendo @JuliusMasabo baada ya kuona utetezi wa Pingamizi lake kukosa mashiko.

Hakingowi's tweet image. Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya  Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe DIOCLES MUGISHAGWE imetupilia Mbali pingamizi la Mgombea wa CCM Dkt. Florence George Samizi dhidi ya Mgombea wa @ACTwazalendo @JuliusMasabo baada ya kuona utetezi wa Pingamizi lake kukosa mashiko.
Hakingowi's tweet image. Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya  Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe DIOCLES MUGISHAGWE imetupilia Mbali pingamizi la Mgombea wa CCM Dkt. Florence George Samizi dhidi ya Mgombea wa @ACTwazalendo @JuliusMasabo baada ya kuona utetezi wa Pingamizi lake kukosa mashiko.
Hakingowi's tweet image. Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya  Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe DIOCLES MUGISHAGWE imetupilia Mbali pingamizi la Mgombea wa CCM Dkt. Florence George Samizi dhidi ya Mgombea wa @ACTwazalendo @JuliusMasabo baada ya kuona utetezi wa Pingamizi lake kukosa mashiko.

Bright Bwoy Reposted

#FreeCiham - JOIN THE TWITTER STORM TODAY! 𝘞𝘩𝘦𝘯: Today (Ciham’s 24th Birthday) 𝘞𝘩𝘺: To pressure @SecBlinken to intervene in Ciham’s case, a US national detained without trial in #Eritrea since she was only 15 𝘏𝘰𝘸: tinyurl.com/FreeCihamToolk… amnesty.org/en/get-involve…


Bright Bwoy Reposted

Need one more follower to hit the magic number 10K followers. Please retweet this to help me get to 10K followers. @HildaNewton21 @MariaSTsehai @yerickonyerereT @IAMartin_ @ZubbySakuru @kigogo2014 @ngurumo @HecheJohn

Liberatus80's tweet image. Need one more follower to hit the magic number 10K followers. Please retweet this to help me get to 10K followers.

 @HildaNewton21 @MariaSTsehai @yerickonyerereT @IAMartin_ @ZubbySakuru @kigogo2014 @ngurumo @HecheJohn

Bright Bwoy Reposted

Anaitwa @DocFaustine waziri mwenye dhamana na mawasiliano. Waziri aliyetumika na serikali kupandisha gharama za vifurushi. Bavicha, "TUNAITAKA SERIKALI IPUNGUZE GHARAMA YA VIFURUSHI". Retweet Tweet hii iwafikie wenye dhamana.

John_Pambalu's tweet image. Anaitwa @DocFaustine waziri mwenye dhamana na mawasiliano. Waziri aliyetumika na serikali kupandisha gharama za vifurushi. Bavicha, "TUNAITAKA SERIKALI IPUNGUZE GHARAMA YA VIFURUSHI". Retweet Tweet hii iwafikie wenye dhamana.

Sometimes you've got to shut up, swallow your pride and accept that you’re wrong. It’s not giving up. It’s called growing up.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.