@bora_yanga Profile picture

Yanga Sc Shabiki Bora

@bora_yanga

Naipenda Yanga nikiwa kama shabiki wa kweli.

Joined January 2022
Similar User
felick kadovela photo

@kadovela_felick

Kenya🇰🇪 boy photo

@Kenyaboy17

예수 그리스도 아들. photo

@Manasseh_Jr360

Atake asitake hahahah

Mnaonaje baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 upelekwe muswada Bungeni Mama aongezewe mda mpaka 2032 mana anaupiga mwingi sana.

Tweet Image 1


Simba mnatuabisha kama taifa. Mnapoteza pesa za Mo for nothing! Mnapanda ndege kwenda kupaki bus!! Timu nzima imejaa mabeki tupu mtapataje on targets na off targets? Hata Faru Dume ya Tandale kwa Tumbo haiwezi kucheza upuuzi mliocheza huko Morocco! Bora wangeenda Namungo tu!


AFCON ina ulimbukeni wa VAR! Red cards zinatoka kiboya sana.


Bado miamba ni migumu hakuna aliyepata goli mpaka sasa kipindi cha kwanza kilipoisha. Polisi Tz wanaonekana kuikamia mechi. Tusubiri kipindi cha pili tuone.


Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo timu ya wananchi inafanya yake. Usikose kuangalia Mayele style... #DaimaMbeleNyumaMwiko


Timu bora Tanzania leo inaingia uwanjani kukipiga na Polisi Tz huku ikiwa juu ya msimamo kwa utofauti wa points 7. Mungu ibariki Yanga tuchukuwe points 3 tuwaache wapinzani kwa jumla ya tofauti ya points 10 wakituzidi mchezo mmoja!

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.