alishatumia. je ni sahii mana laini zetu zimesajiriwa kwa kitambulisho cha nida na mpokeaji anayo namba ya simu na leseni kwa kuwa ni wakala. msaada wenu jamani


Mini naomba msaada wenu nilifanya muamala kutoka airtel money 0788634075 kwenda lipa kwa nmba 5561478 sh. 122000 lkn nilikosea ukaenda 5461478 toka tar. 13 january. nililipoti airtel kwa muda huo saa 11 jioni. mpaka sasa nilijibiwa siwezi kupata muhamala kwa kwa kuwa mpokeaji .


alishatumia. je ni sahii mana laini zetu zimesajiriwa kwa kitambulisho cha nida na mpokeaji anayo namba ya simu na leseni kwa kuwa ni wakala. msaada wenu jamani


Mini naomba msaada wenu nilifanya muamala kutoka airtel money 0788634075 kwenda lipa kwa nmba 5561478 sh. 122000 lkn nilikosea ukaenda 5461478 toka tar. 13 january. nililipoti airtel kwa muda huo saa 11 jioni. mpaka sasa nilijibiwa siwezi kupata muhamala kwa kwa kuwa mpokeaji .


yes Dangote

This post is unavailable.

alexkibuka Reposted

Source wangu kutoka ndani ya ACT anadokeza kuwa Kinachowaumiza kichwa ACT ni kitendo cha mwenyekiti Freeman Mbowe kuonekana ndiye kinara wa maridhiano. Yani hicho kinawanyima usingizi.


alexkibuka Reposted

Kwa mtanzania (mkulima) na mtanzania (mfugaji) hawezi kuongea lugha ya kiungwana na kusaidiana kutatua matatizo yao kindugu mpaka serikali iingilie na vyombo vya dola kwenda kupiga mnada mifugo ya mfugaji, hili Taifa mnalipeleka wapi?


alexkibuka Reposted

Rais Nkurunzinza aliondoka Dar Es Salaam majira ya saa 12 na robo jioni kurundi nchini kwake Burundi akiwa na taarifa juu ya jaribio la mapinduzi.

Tweet Image 1

alexkibuka Reposted

Yupi unamkubali kwenye uimbaji wake??

Tweet Image 1

“Office Hours: Lessons in Moderation 🎙“ with @anuatluru, @tiyerobinson Tomorrow at 1:00 am on @clubhouse! clubhouse.com/event/M1Ow2Nv1…


alexkibuka Reposted

Maana ccm wachokozi sana 🤣


alexkibuka Reposted

Umetimia mwaka mmoja tangu kuondokewa na aliyekuwa Rais wetu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Magufuli. Namshukuru Mwenyezi Mungu nchi yetu ipo imara na kazi inaendelea. Tuendelee kumuenzi kwa kuyaishi mema aliyoyatenda kwa nchi yetu na tumuombee aendelee kupumzika kwa amani.

Tweet Image 1

Sehemu zote ulizohongoza watu tulikuelewa kwa usikivu, umakini kwa kumtendea haki kila mmoja, nategemea taifa jipya kuliko tuliko toka mungu kasikiliza kilio chetu kukuweka wewe ktk nafasi hii, mungu akutie nguvu, wewe ni mama yetu watoto hatuwezi kulala njaa.


Nakupa pole Raisi wetu kwa msiba, kwa kuondokewa na Aliyekuwa Raisi wetu JPM, pia nikupongeze kwa kuwa Raisi wa JMT, ninaimani sana na wewe nakufatilia siku nyingi toka ukiwa mwenyeki wa wa bunge la JMT ukiwa na spika Samwel Sita na baadae ktk bunge la katiba,


alexkibuka Reposted

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 😭


alexkibuka Reposted

U T E U Z I. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa (Katibu Mkuu Kiongozi)

Tweet Image 1

alexkibuka Reposted

One Day Alitoka Na Mshikaji Wake ......... Na Kwenda Vegas🔥 Unakumbuka Msemo "What Happens In Vegas Stays In Vegas" Eenhe Hapa Ndo Derick Akajaribu Kutoa Stress (One Time Thing) Alikutana Na Mtoto Mzuri Anaitwa Val Ooh She Was Gorgeous♥️ Kama Kashushwa, Jamaa Na Pete Alivua😂

Tweet Image 1

alexkibuka Reposted

Wamiliki wa hotel hii ni akina nani tuwajue...yawezekana wanahujumu uchumi ..mapolisi watusaidie hapo


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.