_smile130's profile picture. Alone

Lisah ❄️

@_smile130

Alone

Joined November 2023
Pinned

Jivunie ulichonacho kabla hakijawa kumbukumbu💯


Lisah ❄️ Reposted

Kwahiyo Mtanyamaziana Mpaka lini Jilipue Tu Mtafute.🤣🤣


Lisah ❄️ Reposted

Si nilale sas😥😞

rala195's tweet image. Si nilale sas😥😞

Lisah ❄️ Reposted

Drop handle yako then follow wote watakao like handle yako. 👋👋👇


Lisah ❄️ Reposted

Mungu akubariki wewe usomaye tweet hii ukawe na siku njema yenye mafanikio.🙏🙏🙏

Godfxer_fan's tweet image. Mungu akubariki wewe usomaye tweet hii ukawe na siku njema yenye mafanikio.🙏🙏🙏

Ukishamfanyia mtu ubaya then what's next 🤔


Lisah ❄️ Reposted

Watangazaji wa bongo 👇 Mtangazaji:, Tupo na bwana patrick msuya kutoka moshi, Mtangazaji:, Ndugu patrick unaweza kutuambia unaitwa nani? 😂😂🙌


Lisah ❄️ Reposted

Happy Birthday to me +1🙏🏿🎂

flaizy_tz's tweet image. Happy  Birthday to me +1🙏🏿🎂

Lisah ❄️ Reposted

😂😂😂👇 Jina Lako Vs Jina La Ukoo

arusha_icon's tweet image. 😂😂😂👇
Jina Lako            Vs      Jina La Ukoo

Lisah ❄️ Reposted

J3 Ya Leo Naona Kabisa Followers Ni Wengi Mno Drop your handle 👇 And Follow me @SidrazTz1 I follow back now 🔥🔥

Sidraztz1's tweet image. J3 Ya Leo Naona Kabisa Followers Ni Wengi Mno Drop your handle 👇 And Follow me @SidrazTz1 I follow back now 🔥🔥

Lisah ❄️ Reposted

Mbinu gani naweza kuitumia kutoa huo ukungu kwenye pasi??

ZPlanmaster's tweet image. Mbinu gani naweza kuitumia kutoa huo ukungu kwenye  pasi??

Lisah ❄️ Reposted

Sometimes kuwa kimya nalo ni jibu 🤚🏾


Lisah ❄️ Reposted

Wakaka ivi sauti ya Jaiva ni kitu ya kukosa kwelii😒


Lisah ❄️ Reposted

Top four ya wachezaji ninao wakubali zaidi kwenye mpira wa miguu 1 - Cristiano Ronaldo 2 - Kevin KDB 3 - Sergio Kun Aguero 4 - Mbwana samata Tuambie top four yako mkuu


Lisah ❄️ Reposted

KUNA KISA KIMETOKEA MTAANI KWETU🔔 Thread 🧵👇 Kuna washkaji wawili walikuwa marafiki sana wapo pamoja kila eneo Mmoja ni mtu wa mazoezi (kubeba vyuma) kwahyo mwili wake umejaa na mwengine ni kawaida tu ila ni mchezaji mpira Sasa huyu mchezaji mpira alipata demu…


Lisah ❄️ Reposted

Kupoteza viatu vyako msikitini ni hasara lakini hasara iliyokubwa zaidi viatu vyako kutoonekana msikitini💔


Lisah ❄️ Reposted

Mistake nyingine ambayo sitokuja kuifanya ni kusex na demu muuza chakula🚮


Lisah ❄️ Reposted

Weka akiba ya maneno unapokuwa na hasira, usijejikuta wewe uliyekosewa ndio unalazimika kuomba msamaha🤚🏾


Lisah ❄️ Reposted

Huu Ugonjwa Hatarii Sana Ukiinama Unaweza Kuhisi Jicho Linadondoka Asee🙌🙌

QueenRose255's tweet image. Huu Ugonjwa Hatarii Sana Ukiinama Unaweza Kuhisi Jicho Linadondoka Asee🙌🙌

Lisah ❄️ Reposted

🙏🙏Karibuni 🙏🙏 (retweet yako) Picha mbao🍒 Size A3☑️ (40×60cm) Price:20,000 Chagua picha zako nzury nitumie WhatsApp wa.me/+255677523114 nikutengenezee picha mbao au frame ya kioo 🔵 Location 📍 dar es salaam📍 kigamboni Deliver popote adi mikoan Mungu ni mwema

Cluuzy_tz's tweet image. 🙏🙏Karibuni 🙏🙏 (retweet yako)

Picha mbao🍒

Size A3☑️ (40×60cm)

Price:20,000

Chagua picha zako nzury nitumie WhatsApp wa.me/+255677523114 nikutengenezee picha mbao au frame ya kioo

🔵 Location 📍 dar es salaam📍 kigamboni

Deliver popote adi mikoan

Mungu ni mwema

Lisah ❄️ Reposted

🙏🙏Karibuni 🙏🙏 (retweet yako) Frame ya kioo🍒 Size A4☑️ (30×40cm) Price:10,000 Chagua picha zako nzury nitumie WhatsApp wa.me/+255677523114 nikutengenezee picha mbao au frame ya kioo 🔵 Location 📍 dar es salaam📍 kigamboni Deliver popote adi mikoan Mungu ni mwema

Cluuzy_tz's tweet image. 🙏🙏Karibuni 🙏🙏 (retweet yako)

Frame ya kioo🍒

Size A4☑️ (30×40cm)

Price:10,000

Chagua picha zako nzury nitumie WhatsApp wa.me/+255677523114 nikutengenezee picha mbao au frame ya kioo

🔵 Location 📍 dar es salaam📍 kigamboni

Deliver popote adi mikoan

Mungu ni mwema

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.