COMRADE
@_am_isaiahThe future depends on what we do in the present! 'ᴡɪᴛʜᴏᴜᴛ ᴀʟʟᴀʜ ɪ'ᴍ ɴᴏᴛʜɪɴɢ'. @liverpool and @simbatanzania
Similar User
@Kango_tz
@Kimaronicl
@tussiwe
@sungweone
@DukeDizzo
@keneth_isack
@dokta_suley
@fullmigebuka_tz
@ankonadeem
@chikambaku
@chuse1990
@ERChilimo
@mkuuJr5
@Mwambesi
@ke_masua
Nimerejea online na nimegundua 99.9% ya vijana hawawezi kuingiza at least $10 Kwa siku. Kwa maana nyingine 99.9% ya vijana nchi hii ni maskini. Sasa nina mchongo unataka watu 5000 lakini Nitaguide watu 100 tu Unalipa $30.75 Kwa kufanya task ya dakika 45. Kazi ni simple na ni…
Mwanaume hakikisha hukosi perfume moja wapo kati ya hizi 13 1. Sauvage Dior 2. Valentino 3. Black Orchid 4. Barcode 5. Azzara 6. 1 Million 7 Dolce & Gabbana 8 Creed Aventus 9. Club de nuit 10. 9 PM 11. Bleu de channel 12. Tomford Leather 13. Coctail Ongeza nyingine
Tukiachana na huu unyama wakuitwa Range Rover ni gari gani nyingine kali kuanzia mwonekano mpaka Perfomance?!
"Kusoma/kwenda shule ni kupambana na vita dhidi ya UJINGA na haina uhusiano na vita dhidi ya UMASKINI"
KIJANA yeyote afanye kila awezalo kabla ya kufika miaka 30 awe amesoma hivi vitabu 1. The Art of War — Sun Tzu 2. 48 laws of Power — Robert Greene 3. The Road to Serfdom — Hayek 4. The Prince — Niccolo Machiavelli 5. The Story of Civilization — Durant 6. The Bitcoin Standard
HUYU NDO ALIKUWA MTU WA MWISHO JANA KUMTUMIA MTAJI NA MILION MOJA ILIISHIA KWAKE 🙏🙏 İLA KUTOKANA NA MANENO MENGİ YA WADAU HUMU NDANI KUWA KUNA WENGINE HAWAJAPATA NITAONGEZA HII 1,100,000 KWA WADAU AMBAO HAWAJAPATA TU 📌 SİSİ NI FAMILIA YA WAWEKEZAJI NDUGU ZANGU 🙏 MUHIMU…
Usisubiri wengine wakutie moyo, Tafuta namna ya kujitia moyo mwenyewe, Watu hawana muda juu ya unayoyapitia kwa sababu kila mtu anapigana vita vyake ni wachache wanaoweza kutenga muda wao kukupa ujasiri wa maisha.
Mwanasimba usiseme kitu wewe repost tu ujumbe ufike mbali watu wanune 🦁
Naomba the repost hapa familia JINA : Rabani Mwalugaja DINI:mkristo ElIMU:Chuo kiuu Mzumbe mbeya compus COURSE: bachelor in business administration (BBA MM) KAZI;bodaboda au tembelea bio AFYA: ni mzima kimwili na kiakili pia Hali ya ndoa :sina mke/familia Uzoefu:Dereva wa gari…
Suala la wale dada waligombana na dereva was Bolt: dereva amelezea kilichotokea
Kijana wa Kenya (GEN-Z) anashtakiwa, kapewa nafasi ya kujitetea mahakamani, amefunguka kinoma noma. Imewalizimu askari wamuondoe kizimbani. Ni spirit hii ya vijana ambayo inaumizwa na matendo dhalimu ya watawala itasaidia ukombozi wa pili kutoka katika makucha ya wakoloni weusi.
Tutajie hapa na sisi tuzitafute 🧐
Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.
Anaitwa MIRIAM MKANKA mm hupenda kumuita "Mimi". Nilimjua kwa kumuona tarehe 22/2/2020 ambapo nilimpiga hizi picha dukani makumbusho miaka hiyo najishugulisha na kuuza simu na vifaa vya simu. Nilifanya challenge ya airpods nilikuwa nataka mtu wa kwanza kufikisha retweets 250…
— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! — Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. — Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni…
Taratibu za kupata Leseni na kufanya kazi Marekani kwa madaktari waliosoma nje ya Marekani. youtu.be/WPcdGWpO19I?si…
Baba yangu alinichukua kwa mama nikiwa na mwaka mmoja na nusu, mpka napata akili nikiamka asubuhi mtu wa kwanza namuona machoni kwangu ni Baba, nimepewa kila nilichostahili kutoka kwa mzazi na Baba, nimekuja kumuona mama yangu nikiwa darasa la nne. Baba hakuwahi kunijaza chuki..
People who are on another level 😂 THREAD:
Nimekutana na mwanafunzi wangu niliyemfundisha Advance....ameniambia now ni POLISI....tumeshindwa kubadilishana namba.
Thread: How Junk Food 🍔 and Sugary Drinks 🥤 Affect Your Health and Sexual Health ❤️ 1️⃣ Junk Food na Hormonal Imbalance Unajua kuwa junk food inaweza kuharibu balance ya hormones zako? 😱 Unapokula vyakula vya processed, unajaza mwili wako na mafuta mabaya na sukari nyingi,…
United States Trends
- 1. Black Friday 732 B posts
- 2. Heisman 13,1 B posts
- 3. Travis Hunter 18,8 B posts
- 4. Jeanty 9.754 posts
- 5. #ChiefsKingdom 5.745 posts
- 6. Oklahoma State 7.521 posts
- 7. Wanya Morris N/A
- 8. Gundy 2.363 posts
- 9. Fickell 1.959 posts
- 10. Donovan Mitchell 1.205 posts
- 11. #HelluvaBoss 47,4 B posts
- 12. #TheOfficalTSTheErasTourBook N/A
- 13. #VECTOR 2.051 posts
- 14. $VSG 9.308 posts
- 15. Knicks 11,2 B posts
- 16. #LVvsKC 3.731 posts
- 17. Dakota Ditcheva 1.078 posts
- 18. Justin Watson N/A
- 19. Badgers 5.566 posts
- 20. Stolas 19,6 B posts
Who to follow
-
Mr. Kango~🇹🇿
@Kango_tz -
Nick Osborn
@Kimaronicl -
AGAFE
@tussiwe -
SungweCost
@sungweone -
MwanaChamazi
@DukeDizzo -
Nyang'uye
@keneth_isack -
Dokta suley
@dokta_suley -
fundi Khamiss
@fullmigebuka_tz -
Anko nedd
@ankonadeem -
chikambaku
@chikambaku -
man_chuse
@chuse1990 -
CHILIMO
@ERChilimo -
Mkuujr5
@mkuuJr5 -
Mwambesi
@Mwambesi -
Masua K.E
@ke_masua
Something went wrong.
Something went wrong.