@TzUdaku Profile picture

Udaku tz

@TzUdaku

🎧👏welcome to udakutz kwa habari michezo na burudani pamoja sana•📼🔊

Joined October 2019
Similar User
Engr Chukwuebuka Okoh kingsley photo

@Kingsharris1

Medrine photo

@MedrineSam

Mci Motors photo

@mcimotors

GERALD KILAMLYA photo

@KilamlyaGerald

MZEE MWANA 👴 photo

@mzeemwana19

Tolman photo

@ClideMurombedzi

Ibra photo

@Ibra06096091

Haipo kabisa

HIVI KUNA NGOMA NYENGINE MTAANI HUKO ...??? DAAH THANKS NAWAPENDA SANA....!!! @ Dar es Salaam instagram.com/p/B4PuWCon2i9/…



Wa Tanzania tunakupenda sana

NAMSHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya leo. Pia NAWASHUKURU nyote mlionitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa. Mmenionesha upendo wa dhati na mmenitia nguvu katika kutekeleza majukumu yangu. Nami nawatakia afya njema, maisha marefu na Mwenyezi Mungu awabariki sana.



Udaku tz Reposted

You are n.2 one trending @mauasama Sijuwi Kama Mwenyewe Ulifahamu Hilo Congratis Queen 🤞 @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/B4Ar2cUn5Tc/…


Udaku tz Reposted

Ulipokuwa mdogo, ulikuwa na ndoto za kuwa tajiri kama nani? Tuma tweet yako ukianza na neno #eatvTBT. Sisi tutainyaka na kuruka nayo hewani. #HASHTAG (saa 10:30 – 11:00 jioni) 'Throw Back Thursday'.


Pamoja

Hatua iliyochukuliwa na Wananchi kugoma kwenda kujiandikisha mpaka waziri ameongeza siku ni hatua ya kwanza ya Amani. Umma umefikisha ujumbe kwa Amani kabisa,Sasa tuendelee kujimwambafai tukidhani Wananchi ni waoga na hawawezi kufanya chochote. Time will tell.



Leo October 14 kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa mwalimu nyerere tokea afariki miaka 20

TzUdaku's tweet image. Leo October 14 kumbukumbu ya kifo cha baba wa taifa mwalimu nyerere tokea afariki miaka 20

Pamoja bwa makamba


Jamani tafteni pesa sawa

TzUdaku's tweet image. Jamani tafteni pesa sawa

Pamoja

Nawashukuru sana wote wanaofika Kisarawe na kusaidia wenye uhitaji. Mbarikiwe sana mpaka mshangae 😊🙏🏽



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.