@Shumepak Profile picture

Paka shume

@Shumepak

wananiita zaza zeze zuzuu saa mbovu

Joined June 2023
Similar User
Fransisco photo

@MuyongaFA

James Fednand photo

@zebigisoo

Frea Mpangala photo

@frea_mpangala

Black Ball🎱 photo

@ZuberyTz

kirilojr photo

@kirilojr47

Dominick Mabau, kipii photo

@DominickMa92787

Saidi Zinge jr photo

@saidizingejr98

Mac Muga photo

@Givemaah

Paka shume Reposted

Vizuri Huwa Havidumu😎

Tweet Image 1

Paka shume Reposted

Mbona mnatufokea sisi wembamba😅💔

Tweet Image 1

Paka shume Reposted

Kilimo sio mbadala kwa ajili ya watu wavivu, ni wajibu wa watu imara.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Paka shume Reposted

Mtu anatekwa Wananchi wapo tuu kama wanaangalia Maigizo vile


Paka shume Reposted

ni huyo jamaa aliyevaa raba na shati la mistari kwa udhamini wa @fbuyobe Jamaa kapiga JKT orjoro

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Paka shume Reposted

Mpaka sasa hatujaambiwa waliomteka Sativa ni kina nani na Sativa ndio anaishi kwa wasiwasi,hatujui Soka yupo wapi zaidi ya mwezi na bado unajiona uko salama kisa # sababu hayakukuta au hayajaikuta familia yako.


Paka shume Reposted

Hawa VIBAKA wa jeshi la polisi wanapatikana KIBAHA MAILI MOJA. Ndio maskani yao.🤝

Tweet Image 1

Paka shume Reposted

Huyu mtu ana mama, ana baba, ana mke, ana watoto, ana ndugu jamaa na marafiki. Hivi mnafikiri wanajisikiaje muda huu baada ya mtu wao kunusurika? Msilazimishe mpatwe na laana zisizo na sababu. Leo Mungu kaamua kuwaanika.


Paka shume Reposted

Video inayotrend mitandaoni ikionesha mtu analazimishwa kwa nguvu kupakiwa kwenye gari lakini mwenyewe akipiga kelele kuwa anaenda kuawa huku akigoma kupanda kwa gari hiyo. #KitengeUpdates


Paka shume Reposted

Hawa vibaka wanatoka gogoni! Huyo mwenye mwili mkubwa ni evarist kabila msukuma ni Task Force pale gogoni hili jopo ni la mtu tano wana roho mbaya sana Hawa jamaa na ndio maana muhanga wa tukio hili alivyozungumzia gogoni wa kamtema, Mungu yupo Yana mwisho haya😭


Paka shume Reposted

"Nisaidieni naenda kuuawa, naenda kuuawa, siwajui hawa, naenda kuuawa" jamaa anapambania uhai wake nje ya Hotel ya Rovvenpec Resort iliyopo Kiluvya madukani, jijini Dar. Lakini wananchi wanashuhudia tu, na hawatoi msaada wowote. Yani ilitakiwa hicho kigari kigeuke "majivu" dakika…


Paka shume Reposted

Mtaalam @Joh_cabinet kanitunuku hii book shelf kama zawadi ya birthday yangu. Shukrani sana ndugu yangu. Umethibitisha kwamba ninao watu. Muundo wako umenifanya nigundue natakiwa kuongeza vitabu vingine vingi sana. Maktaba haitoshi. NB; Mpeni kazi za furniture kijana wetu huyu.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Paka shume Reposted

Heri ya kuzaliwa ndugu yangu na rafiki yangu wa ukweli Brigadier Mtikila. Wapumbavu wakikwambia Mungu hayupo,Kataa hata kama hujawahi kumuona. Maisha yako ni ushuhuda tosha,Kuwa Mungu yupo na anatupenda.

Tweet Image 1

Paka shume Reposted

Ney Ubuyu wa kishua😋 Unaladha ya Vanilla,Chocolate na pilipili ni mtamu balaaa Tunauza Jumla na rejareja Karibuni sana.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Paka shume Reposted

So far Chelsea is better team on the pitch 😎


Paka shume Reposted

Sijui kwanini but sipendi kuitwa shemaji,shemeji zangu pia naona wanajua wananiita bro


Paka shume Reposted

🚨🟡🔴 AS Roma confirm they’ve fired the manager Ivan Jurić after recent results. Jurić replaced Daniele de Rossi at the start of the season, Roma will now appoint new coach. “We’re gonna take some time to pick the best option”, director Ghisolfi confirms.

Tweet Image 1

Paka shume Reposted

Penzi la wengine ila wengine ndio wanatifuana 😂😂😂 #SundayVAR

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Paka shume Reposted

Ngoja nitibu wagonjwa wangu kwanza, halafu nianzie tulipoishia jana!

Tweet Image 1

Paka shume Reposted

Kuna kipindi kama sijasahau alikuwa Shaffi Dauda alisema itafika wakati Haji mfumo wa mpira wa kisasa utamkataa wana walimpika sana …. Sasa hv naanza kumuelewa aise

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.