@Semakweli2 Profile picture

Semakweli!!!

@Semakweli2

Mwenyekiti wa Waikizu Tanzania(M. W. T) ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Joined August 2017
Similar User
Babu Anasa photo

@babuanasa

Boni Swai photo

@Boniswai

Dollar Bill photo

@3rickii

Zuena Mwanga photo

@MwangaZuena

Jo photo

@___Joself___

Deus photo

@DeusTanzania

Mungonya Milambo photo

@MilamboMungonya

"siitaji marafiki Rabda badae wakitokea aje mmoja wa kuongea nae mwingne wa kumwongelea"~#FidQ Over!!!


Wagosi wa kaya~#LolLaMagu "ili bas dereva hajari abilia najifktia nivunje dirisha"" ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ


awa jamaa wa Facebook sijui uwa wanajifikilia nn๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Tweet Image 1

wanaodharau ujiletea matatizo hawajui Kama Dar hupndelea mwona ivyo bonge la Star bonge la njaa huna kitu-#Fid q


mwenye katuni ya #masoudkipanya ya Leo anitumie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚@olemtetez


usipende kubishana na mtu mwenye uwezo wa kukalili.. ---samaki baharini ---Mita za Rami --Mchanga wa baharini #Watuwasiojulikana


ivi Ney wa mitego uwa anawaza nn ...? ----#MAKUZI


Awa watu usibishane nao kabisa usije fatwa na #Watuwasiojulikana


kitu kibaya Kwenye maisha ni pale unakodiwa ufanye mauaji inashindikana Leo unakuwa #mtuUsiejulikana unataftwa Kama Pesa!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Kichaa ane jitambua๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Rais Magufuli amerudisha heshima ya taifa letu - Humphrey Polepole - bongo5.com/rais-magufuli-โ€ฆ

Tweet Image 1


Iwapo #Richimavoko angekubari mapungufu yake saivi Tungekuwa tunamshindanisha na wakina DIAMOND -----#KUMBUKUMBU


Nayo ni habari..?? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Prince Harry amempeleka mpenzi wake Meghan Markle (aliyeigiza tamthilia ya Suits) nchini #Botswana katika kusherehea siku yake ya kuzaliwa.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4


Pia sio kila mwenda kanisani anaenda kusali๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Wengine wanafata sketi tu!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sio kila msema Mema ni Mtenda Mema #ElimikaWikiendi



Kuna utofauti mkubwa Sana Kati ya TZ na kenya, hasa kwenye chaguzi... Tz mpaka kiongizi apige pushap jukwaani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


Ivi ule msemo "" Nitalala nao mbele... "" ni aina gani ya msimu.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, huu ndo Uhuru?

Sina maana kamili ila sikiliza RfA na jembe FM or Efm . hutosikia mgogoro zaidi ya hao wasomi Wa dzm



Wazalendo wa TL ivi baraza la habari limesha msamee #polmakonda ?๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”


Hii movier haiitaji asira ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Rais @MagufuliJP akichukua tiketi na chenchi wakati akielekea kupanda kivuko cha MV Kigamboni akienda Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.

Tweet Image 1


Kitu kinacho nipendeza kwenye bifu za wasanii ni pale msanii anapo anzisha alafu anasema wanamuonea ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Nadhan anatumia akiri za Rais we2


Siku wakianza kumchora yesu mwenye ngozi nyeusi TZ itakuwa na uchumi wa kati ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ‘ฟ


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.