@SeifJuma63 Profile picture

#Mtanzania🇹🇿

@SeifJuma63

#God over everything🙏 #TanzaniaNdioUrithiWangu. #MatokeoChanya+ #TutaijengaNchiYetuPamoja.

Joined April 2020
Similar User
• einstein photo

@IAmSilayo

𝙻𝚎𝚗𝚜𝚊𝚝𝚒𝚘𝚗𝙴𝚗𝚝𝚎𝚛𝚝𝚊𝚒𝚗𝚖𝚎𝚗𝚝 photo

@LensationEnt

MELLAH photo

@mellahcoffee

💨mangi mkuu photo

@kavishePb

Yours David photo

@_DavidMassamba

#OCTAVIUS photo

@octaa01

Mo_zillaa photo

@mo_zillaa

MLATINO 🏴 photo

@lexmlatino

louie hermes photo

@louis_hermes3

Wilson photo

@Wilson7J7

Mtaalamu photo

@MBashende

feisalsayd photo

@feisalsayd2

alsisne7 photo

@alsisne7

Kay Msuya photo

@KayMsuya

Devis Art & Design(Mr Green 🌲🌲) photo

@design_devis

Pinned

@SuluhuSamia ni tunu kwa ustawi wa Taifa letu!

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Hawa ni wajumbe kutoka kada ya sheria Chuo kikuu cha Iringa, Wameudhuria leo katika uzinduzi wa kampeni ya MSLAC.! @sisiniTanzania @MsLACampaign @matokeochanya #sisinitanzania #MSLAC #Katibanasheria #SSH #kaziiendelee

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA MKOANI IRINGA-MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Kazi inaendelea,huduma za #RITA za usajili wa zizazi na vifo zinatolewa katika viwanja hivi vya Mwembetogwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) inatoa huduma muhimu za usajili wa vizazi na vifo kwa wananchi. Huduma hizi ni msingi katika kuhakikisha kila tukio la…

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Iringa mambo yameiva tayari kwa kusikiliza, kutatua, kusuluhisha, na kuelimisha jamii kupitia huduma ya msaada wa kisheria. #ssh #sisinitanzania #matokeochanya #mslac #katibanasheria #kaziiendelee #nyamlenyakua #NchiYanguKwanza #Ikulumawasiliano

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Chuo kikuu cha #Iringa kada ya sheria wapo pamoja kujumuika katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria #MSLAC kiwanja cha Mwembetongwa

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

IRINGA KUMENOGA Kampeni ya msaada wa kisheria inazinduliwa rasmi

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Go champion, kila la kheri tuko kusubiri huduma #mslac #sisiniTanzania


#Mtanzania🇹🇿 Reposted

1/2Uzinduzi Wa kampeni Ya Msaada Wa Kisheria Mkoani IRINGA Leo tarehe 10 katika uwanja wa Mwembe Togwa. Watatoa huduma ya msaada wa kisheria katika masuala ya migogoro ya Ardhi, Ndoa, Mirathi, kazi, na ukatili wa kijinsia. Pia huduma ya cheti cha kuzaliwa zinatolewa bure kabisa.

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) Mkoani IRINGA. Uwanja Wa Mwembe Togwa Leo Tarehe 10. Ni Huduma Ya Msaada Wa Kisheria Wa Mama Samia. Msaada Wa Kisheria Kwa Haki, Usawa, Amani, Na Maendeleo. #SisiNiTanzania #HayaNdioMatokeoChanya+ #TanzaniaKwanza #MSLAC #DrSSH

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Katika zama za maendeleo ya teknolojia, mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya kusambaza taarifa, ikiwemo huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi. Wananchi wa Tanzania sasa wanapata fursa ya kujifunza na kufikiwa na huduma hizi kupitia majukwaa kama Facebook, Twitter,…


#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Kampeni ya msaada wa kisheria ( Mama Samia Legal Campaign #MSLAC ) inatarajiwa kuendelea kutekelezwa, katika Mikoa minne ya Tanzania. Kampeni hiyo itafanyika kwa siku 10 mfululizo katika kila Mkoa, ambapo Mkoani Iringa itazinduliwa tarehe 10, Desemba, 2024,

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Iringa tunakwenda kukiwashaa. Mama Samia Legal Aid Campaign inaenda kutekelezwa kwa siku kumi kuanzia Leo.!!! @MsLACampaign @Sheria_Katiba @SuluhuSamia #mslac #sisinitanzania #Katibanasheria #SSH #kaziiendelee

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Wananchi Wahimizwa Kujitokeza Kupata Msaada wa Kisheria Kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Mkurugenzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), Bi. Ester Msambazi, ametoa wito kwa wananchi wote wa Tanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki na kufaidika na huduma za…


"JITOKEZENI! PATA HUDUMA ZA BURE ZA MSAADA WA KISHERIA KWA HAKI YAKO" - ... youtu.be/utpUKGFK3Fc?si… via @YouTube #mslac #sisinitanzania #Katibanasheria


#Mtanzania🇹🇿 Reposted
Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Dec 12, 2024 ni zamu ya Mkoa wa Songwe @ikulumawasliano @Sheria_Katiba

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

Dec 11, 2024 Ni zamu ya mkoa wa Mara kwenye uzinduzi wa MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN, Ambapo mgeni rasmi ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini. @Sheria_Katiba

Tweet Image 1

#Mtanzania🇹🇿 Reposted

MSAADA WA KISHERIA KWA HAKI, USAWA, AMANI NA MAENDELEO Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MCLAC) imeanza rasmi tarehe 10 Desemba 2024, ikiwa ni jitihada mahsusi za kuwafikia wananchi katika mikoa ya Morogoro, Iringa, Songwe, na Mara. Kampeni hii, ambayo inaratibiwa kwa karibu na…


#Mtanzania🇹🇿 Reposted

On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my heartfelt congratulations to His Excellency, John Dramani Mahama, President-elect of the Republic of Ghana, on being entrusted by the Ghanaian people to lead them as their President. I…

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.