@RenmarReee Profile picture

renmar_reee

@RenmarReee

๐Ÿ’ฝ|INTERNATIONAL MUSIC CONNECTOR|๐ŸŽป โ˜Ž๏ธ +255658443916 SOMETIMES YOU WILL NEVER KNOW THE VALUE OF A MOMENT UNTIL IT BECOMES A MEMORY

Similar User
no one photo

@lastkings_84

Golden Kisapile photo

@GoldenKisapile

Sam Joel photo

@samweljoel13

MR.Zabron๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ photo

@BDaivan

Adam Saleh photo

@AdamwSaleh3

not responsive photo

@lustboys30

Dervada๐ŸŒน photo

@CabyDervada

ENG.ABBYNASSOR photo

@FUNDI__MKUU

Furaha ya wanaokula Mavuno isi kuchanganye ukala mbegu zako. #Renmar_reee ๐Ÿคด๐Ÿฟ


"Jinsi aonavyo mtu nafsin mwake ndivyo atakavyokua na ndio atakua" Supported by ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Renmar_reee ๐Ÿคด๐Ÿพ #Reee


"Ili ufanikishe ishi kama huna kwasababu tunavyo vihitaji Ili kusurvive ni kidogo sana. Lakini tunavyo vihitaji Ili kushindana au kuwaonyesha wengine kwamba na sisi tuna kitu hicho ndo kikubwa sana na always kitakufanya upitie shortcut na kujikuta kwenye madeni" #Reee ๐Ÿคด๐Ÿพ


"Jaribu na ushindwe lakini usishindwe kujaribu๐Ÿซต๐Ÿฝ" Supported by ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Reee #Renmar_reee ๐Ÿคด๐Ÿพ


Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary

Tweet Image 1

"Maji machafu hayauzuii mmea kuota hvyo maneno mabaya juu yako yasikuzuie kuendelea" #Renmar_reee ๐Ÿคด๐Ÿพ


"Hata usipoenda shule dunia ina mitihani"โœ๐Ÿฝ Supported by ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Renmar_reee #Reee


"Siku moja uta mshukuru sana Mungu na kugundua kwanini alikufanya usubiri"โœ๐Ÿฝ Supported by ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Renmar_reee #Reee


"Sauti ya masikini haiendi mbali akiongea ndomaana tunapambana Ili tukiongea tusikike" ๐Ÿคด๐Ÿพ#Renmar_reee #Reee


"Unaweza dharau mtu Kwa vile unavyo muona ila ni muhimu ukutambua Kila mtu ni muhimu kwenye eneo lake" #Renmar_reee๐Ÿคด๐Ÿฝ ๐Ÿ’จ


"Usichokihofia hutakitunza kaasilimia kauoga ni muhimu katika maisha" #Renmar_reee โœ๐Ÿฝ


Pussy is everywhere but the woman who would listen to your problems and stay beside you in term of difficulty and say let's face it togather is very Rare โœ๐Ÿฝ So if you have one, When the money ๐Ÿ’ฐ comes don't change that girl change her life. ๐Ÿ’จ #Renmar_reee โœ๐Ÿฝ


*Kucheza na watoto inahitaji umakini mno, Mtoto kanigusa usawa wa zipu bahati mbaya sahivi analia eti nimeficha ndizi ๐Ÿคฃ Supported by ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Renmar_reee


"Kilicho bora kwangu ni kile nilicho nacho kwa sasa na si kile kilichopita kwangu" Supported by ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Renmar_reee โœ๐Ÿฝ


Usijali Kwa wanaofanya vizuri Leo kuliko wewe, Jitahidi wewe ufanye vizuri kuliko ulivyofanya Jana utakua bora ๐Ÿ‘‚๐Ÿฝ Supported by๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ #Renmar_reeeโœ๐Ÿฝ


Just posted a photo @ ๐‘ฏ๐’‚๐’‘๐’‘๐’š ๐‘ฉ๐’Š๐’“๐’•๐’‰๐’…๐’‚๐’š instagram.com/p/CiRsyCiKR3_/โ€ฆ


Ulie tafutanae Kuni ndie unae paswa kuota nae moto ๐Ÿ”ฅ #Renmar_reee


Deep from my heart Huwa nafurahi Sana ninapo ona rafiki Zangu wanafanikiwa kwenye mipango yao ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ Mungu awalinde Sana aseeeee.... ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝโค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ #Renmar_reee โœ๐Ÿฝ


Kabla ya kumuua mbu, fikiria kuhusu familia yake. Je, ikiwa yeye ni mtoto pekee na mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo kikuu cha Uniquito?๐Ÿ˜‚ Je kama ametumwa kuja kuchukua damu ya mama mjamzito anayejifungua kwa operation๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” #Renmar_reee


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.