@RamaUnene23 Profile picture

Rama Unene

@RamaUnene23

Soccer Premier League Politics News News Interesting Pictures

Joined November 2017
Similar User
'Deola photo

@_adetemi

Steven Mwanauta photo

@StevenMwanauta

KI JA JI photo

@Cobrakamandak97

kobanga photo

@makobahamza

Kisaka Mhina photo

@KisakaMhina

Amani Makyao photo

@amanimakyao

katisha photo

@KatishaJohn2020

Thadeus Kakaba photo

@SKakaba

Boniface Mwashala photo

@BonifaithgwazaM

Pavlovic🇹🇿🇺🇲🇳🇱 photo

@superplanet255

Liverpool v Arsenal Ndugu @zittokabwe leo full shangwe 😂😂😂


Poleni sana wanandugu kwa msiba huo

This post is unavailable.

L&T katika mradi wa maji ziwa victoria Nzega to Tabora katika utekelezaji

RamaUnene23's tweet image. L&T katika mradi wa maji ziwa victoria 
Nzega to Tabora katika utekelezaji

I like the way am..

RamaUnene23's tweet image. I like the way am..

2019 Samehe wote 2019 Wapende wote 2019 Wasaidie wote 2019 Omba kwa mungu


Watu wengi hutafuta pesa kwa nguvu na kuweka kwa ajili ya sikukuu na mambo mengine kwa ajili ya siku chache tu siku hiyo ikifika atatamba kila kona na kusahau mitihani aliyopitia kupiga vibarua na shughuli zingine pesa akatumia vibaya kwa siku moja tu Tubadilike

RamaUnene23's tweet image. Watu wengi hutafuta pesa kwa nguvu na kuweka kwa ajili ya sikukuu na mambo mengine kwa ajili ya siku chache tu siku hiyo ikifika atatamba kila kona na kusahau mitihani aliyopitia kupiga vibarua na shughuli zingine pesa akatumia vibaya kwa siku moja tu 
Tubadilike

Eheee hapo safi #Kayanda Najua nimekukumbusha mbali jina lako enzi zileeee

This post is unavailable.

God bless my fans team #Arsenal forever👉👉👉

Arsenal with Mesut Özil in the starting XI this season: Games: 10 Wins: 5 Draws: 3 Losses: 2 Goals per game: 1.8 Conceded per game: 1.3 Arsenal without Mesut Özil in the starting XI this season: Games: 4 Wins: 4 Draws: 0 Losses: 0 Goals per game: 3.5 Conceded per game: 1.25

AFTVMedia's tweet image. Arsenal with Mesut Özil in the starting XI this season:

Games: 10
Wins: 5
Draws: 3
Losses: 2
Goals per game: 1.8
Conceded per game: 1.3

Arsenal without Mesut Özil in the starting XI this season:

Games: 4
Wins: 4
Draws: 0
Losses: 0 
Goals per game: 3.5
Conceded per game: 1.25


My proud to be under the sun May God bless my daughters #Regina #Josehine

RamaUnene23's tweet image. My proud to be under the sun
May God bless my daughters
#Regina
#Josehine

Uko sahihi kabisa kiongozi

Tungesikiliza wale waliotuambia hatuwezi au juhudi zetu hazifai, tusingeweza kufanya yote haya kwa kudra za mwenyezi Mungu. Sio wote watakuelewa maishani na sio wote watafurahishwa na hatua zako. Tujifunze kusonga mbele na kutokatishwa tamaa.



Mungu akubarik timiza ndoto zako Arsenal forever

Klabu ya Arsenal imemsajili mtoto wa miaka 9, Jayden Adetiba kujiunga na kikosi chake cha wachezaji chipukizi. Jayden amepata nafasi hiyo baada ya kuwavutia wakufunzi wa Arsenal katika kambi ya wiki 5 kutafuta vipaji nchini Afrika Kusini. Amezaliwa nchini Nigeria. 📸 John Adetiba

swahilitimes's tweet image. Klabu ya Arsenal imemsajili mtoto wa miaka 9, Jayden Adetiba kujiunga na kikosi chake cha wachezaji chipukizi. Jayden amepata nafasi hiyo baada ya kuwavutia wakufunzi wa Arsenal katika kambi ya wiki 5 kutafuta vipaji nchini Afrika Kusini. Amezaliwa nchini Nigeria. 📸 John Adetiba


Tukiwa Kaze hill mkoani Tabora ambapo ndipo lipo tank kubwa la maji katika mradi wa maji kutoka ziwa victory

RamaUnene23's tweet image. Tukiwa Kaze hill mkoani Tabora ambapo ndipo lipo tank kubwa la maji katika mradi wa maji kutoka ziwa victory

Mtu akikupigia kelele kuhusu kodi hakuna haja kutumia mabavu funga biashara yako rudi kikijini anza kuchunga ng'ombe

Anapigia debe ununuzi wa Bombadier/Dreamliner/meli na ujenzi wa barabara/flyover/shule lakini hataki KODI ilipwe. Hivi DAB anafikiri fedha zinadondoka toka mitini? Kodi, kodi, kodi.



Man U 0-2 Tothenham

Man u 2 vs totamaji 0



Unashauriwa kuwa mwanamke akijifungua anatakiwa akae mpaka wiki 6 hadi 8 bila kufanya mapenzi na mwenza wale

RamaUnene23's tweet image. Unashauriwa kuwa mwanamke akijifungua anatakiwa akae mpaka wiki 6 hadi 8 bila kufanya mapenzi na mwenza wale

R. I. P Dada Monica Magufuli 😭😭😭😭

RamaUnene23's tweet image. R. I. P Dada Monica Magufuli
😭😭😭😭

Bora tusaidiwe kwa kweli wizi huu wanafahamu kabisa


Mungu saidia apate kupona kijana mwenzetu na kurudi katika hali yake kiafya

Retweet Please 🙏 Huyu Kijana anaitwa Arnold ni mwanafunzi wa Udaktari Mwaka wa 5 katika Chuo cha KCMC Anasumbuliwa kwa mda mrefu na shida ya Figo, amekuwa akifanyiwa Dialysis kwa mda mrefu ila sasa hivi anatakiwa kuwekewa Figo nyingine Na inatakiwa 30mil na yeye ni yatima.

WiliamAndason's tweet image. Retweet Please 🙏 
Huyu Kijana anaitwa Arnold ni mwanafunzi wa  Udaktari Mwaka wa 5 katika Chuo cha KCMC 
Anasumbuliwa kwa mda  mrefu na shida ya Figo, amekuwa akifanyiwa Dialysis kwa mda mrefu ila sasa hivi anatakiwa kuwekewa Figo nyingine
Na inatakiwa 30mil na yeye ni yatima.
WiliamAndason's tweet image. Retweet Please 🙏 
Huyu Kijana anaitwa Arnold ni mwanafunzi wa  Udaktari Mwaka wa 5 katika Chuo cha KCMC 
Anasumbuliwa kwa mda  mrefu na shida ya Figo, amekuwa akifanyiwa Dialysis kwa mda mrefu ila sasa hivi anatakiwa kuwekewa Figo nyingine
Na inatakiwa 30mil na yeye ni yatima.
WiliamAndason's tweet image. Retweet Please 🙏 
Huyu Kijana anaitwa Arnold ni mwanafunzi wa  Udaktari Mwaka wa 5 katika Chuo cha KCMC 
Anasumbuliwa kwa mda  mrefu na shida ya Figo, amekuwa akifanyiwa Dialysis kwa mda mrefu ila sasa hivi anatakiwa kuwekewa Figo nyingine
Na inatakiwa 30mil na yeye ni yatima.


Rama Unene Reposted

Happy #Friday! Let’s play some #music .Taking requests! @periscope.tv #acoustic TIPS: PayPal.me/erinmcmusic pscp.tv/w/biIpITFtTUVQ…


Hali tete 😂😂😂


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.