@Pallangyo_ Profile picture

High Voltage⚡

@Pallangyo_

Joined July 2023

Chimbo la unyama hili hapa karume 🙌🙌suala ni moja pitiaa rauza hapo alaf sogeaa juu kidgo uuziwe juisi ya njano 😅😅

Npo karume hapa nawasubiria..!!🌵👊🏽 Tsh. 8,000/= tu….👖

Tweet Image 1


Sehem pekee yakung'aa ni hapaa

Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu na pia nitumie furusa hii kuwakaribisha Wanangu, ndugu zangu na wanajamii wote wa humu Twitter (X) kwenye Duka langu la THE MANDEVU STORE linalopatikana Mabibo Mwembeni. Nimatumaini yangu Wanangu mtanishika Mkono as we always do,…

Tweet Image 1


Kuna nondo nyingi humu📌

Najua siku hizi wengi mnasema UKIMWI hautishi kivile, ila subir ukupate ndio uje useme hivyo TUKUMBUSHANE KIDOGO 1. Vaa condom kwa mtu sio wako au unakutana naye mara ya kwanza bila kupima itakuepeusha na mengi. Mimba zisizotarajiwa na magonjwa mbalimbali 2. Sio kila uchi wa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Ezekieli 16:7Nalikufanya kuwa maelfu-elfu, kama mimea ya mashamba, ukaongezeka, na kuzidi kuwa mkubwa, ukapata kuwa na uzuri mno; matiti yako yakaumbwa, nywele zako zikawa zimeota; lakini ulikuwa uchi, huna nguo. Mbna anazungumziwa mwanamke au na wew unamatiti??

Kaka ukinipa kifungu chochote cha Biblia kinacho-support unachosema nakupa laki tano. Ila, mimi nitakuomba usome Ezekieli 16:11-12. Mungu anatumbia wazi kuwa kutoboa pua ni ART.



Dulla kwanziaa saa 8 jobless woote macho kwa tv kumuona jobless mwenzetu👊🏿

🙏🏾🙏🏾



Inaumiza sanaa sema binadamu tumekuwa wanyama sanaa 😥😥pumzka kwa aman asimwe Njia yetu ni moja

Asimwe!!😭😭 Hatukuweza kukulinda. Wamekuua,mtoto wetu mzuri Asimwe..... Wamechomoa viungo vyako,Ulimi,mikono vimechukuliwa....... Baadhi ya viungo wametuachia. Fikiria macho yake yakiwatazama wauaji huku akishindwa kujitetea......!😭 Nini kosa la Asimwe tuambiwe?ama Kosa…

Tweet Image 1


Tulindee ushindii wetu man👊🏿👊🏿👊🏿

Kilichobaki Tanzania saivi ni kulinda mikundu yetu✌️



Ndo maana naenda na musial jamal over jude 🤞

Jude Bellingham anapewa Hype Kubwa sana Ila nimchezaji wa Kawaida sana, Hawezi fikia Quality ya Vini na Rodrigo.

Tweet Image 1


Mh. Kigwangalla, hili ni andiko bora sana. Ubora wa andiko hili unanikumbusha ubora wa bao la Pacome vs Al Ahly Taifa. Yanga akiwa kapigwa kimoja, na kila shabiki akiamini game imeisha, Pacomr alikusanya kijiji, akaachia mkwaju, mpira ukazama nyavuni. Leo umecheza kama Pacome

For boys (na Labda wasichana pia wanahitaji kusikia haya! 🤷🏾‍♂️): 1. Hakikisha unaoa. Kuoa ni lazima. Kuoa siyo lazima uwe na pesa. Ukikua kiasi cha kuzalisha mwanamke, oa! Mengine yatajipanga. Uoe nani sasa, sikia mtazamo wangu! 2. Oa tu mwanamke kama unampenda na una nia ya…



Baado namba ni ile ile?? Napiga haipatikanii Embu ni diyemuu😁😁

Okay may be kesho ikawa siku ya furaha

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Hpaa mpka uwe umesoma cuba ndoo utaelewaa Ukisoma kawaida utajuaa ni boda kwei🤣🤣

Yani me sipendi boda awe mfupi maana me ni mrefu kwahiyo kwenye boda me kichwa changu kinakua kimetangulia mbele badala cha boda ndio kiwe mbele aaaaaah michezo!!!!!!



Kuna siku manula atachezeshwa wingaa na samata ataenda kywa kiipaa

Kumsaidia Dickson Job ni kumueleza pale alipokosea na sio kumtetea kwenye makosa ya wazi. Kumueleza mtu makosa yake haimaanishi humpendi kama wengi wanavyodhani ila unamuweka kwenye njia sahihi. Kukataa kucheza mechi ya timu ya Taifa tena kwenye mashindano na upo camp ni usaliti.

Tweet Image 1


Mtaftieee ka eneoo hapo mawingu inakuwaa unyama sana Jobless aache kulala mchanaa na kushindiaa miogo 🙌🙌🙌mm shabiki ake sana

@DullahTheking2 anakuja vizuri sana kwenye contents za Entertainment, Mimi ni Shabiki yake sana.



Songa ugali kabisaa mbogas ipo tayari

Harakati zetu zikajipe siku ya leo🙏

Tweet Image 1


High Voltage⚡ Reposted

🚨 Siku ya kazi 🦍💪 #MATCHDAY Ihefu fc 🆚 Mashujaa fc 🏆#NBCPremierLeague 🗓️28.02.2024 🕓Saa 8 Mchana 🏟️Ccm Liti

Tweet Image 1

Retweet mwamba apate.mtajii👊🏿

Biashara yangu mimi nikuuza nguo natembeza mnadani ila kama unavyo ona ninauhitaji wa mtaji kwasababu biashara yangu bado changa afu nguo zinawaha kukata kwaiyo hela yangu yote najikuta inashia Barabaran napopeleka mzigo na ninapo enda kununua mzigo

Tweet Image 1


High Voltage⚡ Reposted

🇨🇮🇳🇬🇬🇶🇬🇼 🇪🇬🇬🇭🇨🇻🇲🇿 🇸🇳🇨🇲🇬🇳🇬🇲 🇩🇿🇧🇫🇲🇷🇦🇴 🇹🇳🇲🇱🇿🇦🇳🇦 🇲🇦🇨🇩🇿🇲🇹🇿


😀😀😀😀qmamaeeee hii kaz ngumu sabaa aiseee

Saiz tunaulizwa huku what is cashout? Kazi ngumu hiii

Tweet Image 1


Gomz 15 anahamiaa na kwakoo kabisa uchachuee

Hizi sehemu za massage za huku tandale na msasani ukiwa na na 20k tu unafanyiwa masaji na utelezi unapewa kiboss kabisa tena na pisi za kwenda tu



Watu watadhani kelvin ndoo calvin😆😆ila sijapenda kuwa kiongozii

Kama umejiona hapa anza kwenda kanisani na Msikitini utakosa Wife Material 😅

Tweet Image 1


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.