Similar User
@Ben_ventureBv
@patikalumuna
@BabaOscer
@akilimnemba
@PascalKide
@adrianijr
@MTOTOWAK
@MchagaTajiri_tz
@lexlaviva
@anko_blande
@Frank_MrContent
@JohnEpifan5
@MAO_the2nd
@ProsecutorKevo_
@Discountessays
Ni wiki ya pili sasa tangu watu wasiojulikana wamchukue @DIONIZKIPANYA25 hakuna mtu ambae anajua yupo wapi, familia yake wamezunguka vituo vyote vya Polisi Mkoa Rukwa bila mafanikio yoyote. NB. July 26 Kipanya alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa Polisi…
CHAULA alipochoma pocha ya raisi haikupita hata masaa 10 kumkamata. Kwamujibu wa taarifa hapa HUYU Mwanajeshi aliehusika kwenye video ya unyanyasaji wa kingono (UBAKAJI & UFILAJI) ni masaa 24 sasa bado kupo kimya. Ebu tupaze sauti hawa wafilaji na wabakaji wapatikane bila…
Wewe kama unajiona upo salama pole sana. Kikubwa unaishi TANZANIA na unatumia mitandao nikuhakikishie HAUPO SALAMA. Haya mambo yapo, endeelea kupumbazwa na kauli za majukwaani. Naomba tupaze sauti CHAULA aachiwe kwanza. Mimi nilionja ADHA ya kutekwa nayajua maumivu yake.…
Repost yako 🙏🏿😔🤝 Mwekezaji 🔴
Kabla hatujaendelea na mengine kwanza naomba Repost 200 hapa👇👇
Maskini wenzangu wa mitandaoni naombeni repost zenu pinned post yangu
🚨 TAARIFA TAARIFA TAARIFA🚨 taarifa kwa vijana wote #GenZs 🇹🇿 kwamba mchakato wa kuungana na kufanya maamuzi ya kudai haki mbalimbal na kuhoji maslahi ya Taifa letu dhidi ya serikal hii iliyoshindwa Kila kitu Sasa umeanza rasmi. sambaza ujumbe huu Kila #GenZ aupate popote alipo
Na until tomorrow I go run code for street..big odds ..millions again..back to back… I wan rest as God rested on the seventh day..👌👌 God don shame my critics 😂😂
VITUKO VYA POLISI WODINI KWA EDGER EDSON MWAKABELA (SATIVA). 1.Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 Jume 2024 walifika polisi 10. Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela 2.Walipozuiwa kuingia wote 10 na…
Tumechelewa kupata Taarifa za Japhet lakini kwa umoja wetu hatuwezi kosa 7M tufanye kitu wakuu Mwenyekiti mrejesho upatikane tukiwashe, kumbuka kijana ana wazazi, mke pamoja na watoto, Aisee tumshike mkono😒🙏X ni Familia kubwa.
Watanzania wenzangu kama tunaweza kupata namba ya mke wa @Eng_Matarra au ndugu ambaye inadaiwa kafungwa jela miaka 10 itapendeza zaidi ili tujue tunaanzia wapi na kwanini alifungwa. Umoja ni nguvu tusimuache mwenzetu huko, tujaribu kama tunaweza mtoa @TitoMagoti @PMadeleka
Tunahitaji 7M tumtoe jela mwenzetu Japhet Matarra aliyefungwa kwa sheria kandamizi ya makosa ya mtandao. Lipa Namba (mitandao yote): 5554323 Jina: MacFoodTz WE CAN do this. #JusticeForMatara
Ndugu zangu poleni kwa kusubiri kuhusu utaratibu wa kumchangia faini yake. @Eng_Matarra ni kweli faini yake ni Milion 7 ili aweze kutolewa, baada ya kuzungumza na @ConsolathaMmar1 aliyeenda inaonyesha hakuna mtu wa karibu anayemfuatilia na walishaachana na mke wake.
Ni masaa Manne sasa tangia kupokea repoti ya kitabibu baada ya ndugu yetu mpendwa @Sativa255 kufanyiwa kipimo cha CT scan (computed tomography). NA. Kupatiwa rufaa kwenda kuonana na madakitari bingwa (Orthopedics) Dar es salaam. . Mpaka sasa sijasikia neno lolote kutoka…
United States Trends
- 1. Jokic 11,6 B posts
- 2. Pete 290 B posts
- 3. DeSantis 33,7 B posts
- 4. Kerr 6.937 posts
- 5. Mavs 12 B posts
- 6. Podz 3.158 posts
- 7. Clemson 24,9 B posts
- 8. Wiggins 2.717 posts
- 9. Nuggets 16,4 B posts
- 10. Brea 2.577 posts
- 11. Kentucky 19,1 B posts
- 12. Jamal Murray 1.454 posts
- 13. Bama 41 B posts
- 14. Marcus Smart 2.564 posts
- 15. Kuminga 2.270 posts
- 16. NBA Cup 14,6 B posts
- 17. Grizzlies 6.189 posts
- 18. #MFFL 3.975 posts
- 19. azealia 3.608 posts
- 20. #GSWvsDEN N/A
Who to follow
-
𝗬𝗨𝗟𝗘 𝗝𝗔𝗠𝗔𝗔💙💙💛
@Ben_ventureBv -
kalumuna p
@patikalumuna -
Oscer Baba Nanii
@BabaOscer -
😁Akili Mnemba
@akilimnemba -
Pascal
@PascalKide -
Adrian
@adrianijr -
Ezekiel
@MTOTOWAK -
Abra wistone🇹🇿🇺🇲
@MchagaTajiri_tz -
Mujuni
@lexlaviva -
grandee
@anko_blande -
FRANK Mr.Content
@Frank_MrContent -
John Epifan
@JohnEpifan5 -
M.A.OⓂ️❄️
@MAO_the2nd -
Prosecutor
@ProsecutorKevo_ -
Discount Essays/Assignment Due midnight/Paper due
@Discountessays
Something went wrong.
Something went wrong.