Similar User
@camaralley
@okama645
@PerDiem18
@KHiyary
@furaha30yahooco
@exaud_justine
Hii kitaalamu inaitwa both team to score, 🏹🏹🏹
Tukiambiwa hawa jamaa ni kina nani na wamewajibishwa vipi, suluhisho la utekaji litapatikana.
1. Hao viongozi wa chama chake walikuwa wanafanya nini ofisini saa tano usiku? 2. Kwa nini asiombe boda ampeleke nyumbani kwake au kwa mwenyekiti wao ila akamwomba ampeleke ofisini? 3. Alijuaje kama watakuwepo ofisini usiku huo? Nadhani hao viongozi wake wasaidie uchunguzi.
1. Serikali ya CCM imechukua mkopo wa kibiashara (commercial loan) kutoka NMB ili kumnunulia mwekezaji (mwarabu kutoka U.A.E) mabasi 100 kwa ajili ya kuendesha mradi wa mwendokasi (BRT) 2. Serikali ya CCM imekopa fedha nyingi kujenga miundombinu ya mabasi yaendayo haraka kwa…
I'm told they're coming for me any time now. If, & when, they do, I'll be ready. It'll be the 2nd time I'm arrested in about 2 months. It'll be the 10th time I'm held by the Tanzania police on false charges in 8 years. I survived 16 bullets; I'll survive the Dictatorship's jails!
Katika press ya Nchimbi amesema yafuatayo; 1. Anakiri matukio ya utekaji yapo. 2. Anadai Polisi hawahusiki. 3. Chadema na CCM hazihusik. 4. Anadai kuna "genge la utekaji" ambalo halitokani na makundi tajwa hapo juu. #MyTake: Kwanza; Nchimbi ametumia busara kukiri matukio ya…
Kauli ya Mhe. Balozi Dkt. Nchimbi inatufanya tujiulize maswali: Je, ni nani kiongozi wa 'Genge la Utekaji'? Je, vyombo vya dola vimeshindwa kulisambaratisha hilo genge? Je, wananchi wajilinde vipi na genge hilo? Nchi itakuwaje salama kama kuna 'Genge la Utekaji' linaloteka watu?
Waziri mwenye dhamana,IGP na Mkuu wa operation na Mafunzo wa Polisi mungemsaidia zaidi Rais kwa kuwapisha wengine kwenye nafasi zenu. Vinginevyo Rais awafukuze mnachafua taswira ya nchi kwa kushindwa kuwajibika na uzembe uliopitiliza.
1/ Since Aug. 18, Tanzania’s security services have held opposition youth activist Deusdedith Soka without charge at an unknown location. Soka expressed fears about his safety and called for protests prior to his abduction. thechanzo.com/2024/08/22/pre…
Mliokaribu na Chalamila mfikishieni huu ujumbe kutoka kwa Wamachinga wa simu 2000
Natonywa kuwa, kuna makampuni matano yalipewa tenda ya kuleta watu toka mikoni kuja mkoni Rukwa,fikiria mtu anatolewa Dodoma kuja Rukwa, haya mambo kwa faida gani,hizi fedha zinazotumika vibaya hivi kwaajili gani? ccm inahangaika kwa namna hii ili iwe nini? Mpaka malori yamo,.
🚨#Tanzania ‼️ Village leader arrested in Marangu for “leading protests” following the murder of a young man by rangers Mwenyekiti wa Mbahe Dismas Temba amechukuliwa na maaskari kwa madai kuwa amehamasisha maandamano huko Marangu Tukumbuke kijana Octavian Temba aliuwawa na…
Ukitamka Tangayika, au kuweka ramani, bendera au nembo - CCM wanapatwa na kiwewe 🤣🤣 Yaani wako conditioned kutotaja hata kwa bahati mbaya Tanganyika Ndo maana hata Tanganyika Law Society wanaita TLS au chama cha wanasheria - ukiwaambia wamalize “cha Tanganyika” wanagoma Kama…
Polisi muachieni haraka, Ibrahim Laurent, ni Katibu wa Bavicha Wilaya ya Serengeti. Amekamatwa Kijiji cha Bisarara, kata ya Sedeko, Wilaya ya Serengeti. Ibrahim Laurent alikuwa anapiga picha na kurekodi video msibani kwa mzee Gisu Robhere Omahe, baba wa Marehemu Timasi Zakaria…
Mheshimiwa @Oleshangai Good morning! Je Watatuelewa ?????
Huu ndiyo ukweli tuko awamu ya 5 siyo ya Sita. Je hiki ndo kimemuhamisha Makonda na kumfanya akawe mkuu wa mkoa wa Arusha ? Kwanini viongozi wa ccm walio hai wanajitahidi kupambana na Hayati Magufuli😄? Hayati aliwakosea nini?
Hivi JPM amewahi kumpa mtu kesi ya ugaidi? Je amewahi kukamata wakosoaji wake na kuwasingizia uhaini ili awanyonge? Je amewahi kuuza Raslimali za Tanganyika kwa waarabu? JPM alikuwa na mapungufu ila hakuna cha 4R ukatili na visasi ,wizi na ufisadi uko juu tuu mkuu
Mtangazaji TBC anasema meli ya MV. MWANZA itasafiri kutoka Mwanza hadi Kenya katika ziwa Victoria lakini itavuka nchi kavu kama boeing 737 kwenda hadi Kenya, Burundi, DR Congo, Zambia na Malawi na Sudan Kusini. Binafsi nimemuelewa, ni katika harakati za hapa na pale za ‘uchawa’
Kikosi kazi wanawinda mtaani - utekaji, mauaji, vitisho - swali 👇🏾 #Tanzania With the taskforce on the streets abducting, hunting critics - The question is: “Who let the dogs out⁉️” Who? Who? Who?
United States Trends
- 1. Snow Slingers N/A
- 2. Good Saturday 22,3 B posts
- 3. #dronesoverNJ 10,5 B posts
- 4. Standard 108 B posts
- 5. Go Army 7.721 posts
- 6. #BlueBloodsFinale 14,1 B posts
- 7. Mayorkas 22,7 B posts
- 8. Margaret Thatcher 4.382 posts
- 9. Daylight Savings Time 20,1 B posts
- 10. #SantaIsCoco 1.008 posts
- 11. Bill Barr 21,8 B posts
- 12. Beat Navy 1.618 posts
- 13. The Guy 335 B posts
- 14. Space Force 12,7 B posts
- 15. Sydney Sweeney 32,8 B posts
- 16. Go Navy 3.047 posts
- 17. Tessa 15,4 B posts
- 18. Project Blue Beam 21,9 B posts
- 19. #TADC 46,9 B posts
- 20. Blazers 2.811 posts
Something went wrong.
Something went wrong.