@MwakyaChristian Profile picture

Chris001

@MwakyaChristian

Am always looking for changes.

Joined December 2013
Chris001 Reposted

Maneno yako yana nguvu, Ya kuvuta Chochote... and here is Why... Huwezi kuamini, na najua Haita make Sense, Kwako kwa wakati Huu. Lakini, Maneno yako yanaweza, Kuvuta kila unachokihitaji, Kwenye Maisha yako... I mean Kila unachofikiri, na kuwaza... Once nilivyo jua Nguvu…


Chris001 Reposted

Kubadilishana Zawadi kwa wana diplomasia ni jambo la kawaida kabisa. Miongoni mwa zawadi ambazo Rais Samia amempatia Papa ni pamoja na Msalaba wa dhahabu uliopambwa kwa Tanzanite, pia amempa Mlango mdogo wa Zanzibar ukiashiria Sultan alipofungua Mlango kwa Ukristu.

Tweet Image 1

Chris001 Reposted

Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, John Bocco ameanza kusomea kozi ya kocha kwa ngazi ya awali inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) katika Makao Makuu ya Shirikisho hilo yaliyopo Karume jijini Dar es Salaam ikiwa ni miezi michache kabla ya Mkataba wake na Simba…

Tweet Image 1

Chris001 Reposted

Ningependa kuzungumzia Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu aliefariki dunia leo Februari 10, 2024. Nimekaa nikawaza naandika nini kuhusu Edward Lowassa ambacho umma wa Watanzania hawaujui? Naelezea nini kipya kuhusu kada mkubwa wa CCM ambae akageuka na kuwa tishio kubwa la…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Chris001 Reposted

KUMBUKIZI Edward Lowassa mwaka 2015 aliondoka CCM na kuhamia chama cha upinzani Chadema na kuwania urais chini ya mwamvuli wa UKAWA. Mazungumo haya na Zuhura Yunus kuhusu malengo yake ya kuwania nafasi hiyo ya juu zaidi ya utawala Tanzania. Hayati Lowassa alirejea CCM mwaka…


Chris001 Reposted

1."Nachukia umasikini" ENL 2."Tumeianza safari ya matumaini" ENL 3."Vipaumbele vyangu vitatu ni elimu,ulimu,elimu" ENL 4."Tatizo la nchi yetu,tunaongea lakini hatutekelezi" ENL 5."Taifa linahitaji viongozi watakao fanya maamuzi magumu" ENL 6."Simama uhesabiwe" ENL 7."Haya…

Tweet Image 1

Chris001 Reposted

Unasumbuliwa na Tatizo la UVIVU? Hii Ilikuwa Ni Moja Ya Siku Yenye Nguvu Ambayo Ili Badilisha Kila Kitu Kwenye Maisha Yangu… Kilichotokea Usiku… Kuna Usiku Mmoja Nilihangaika Sana Kupata, Usingizi Na Hii Ni Kwasababu… Kuna Sauti Nilikuwa Naisikia Ikinisemesha Kutoka…


Chris001 Reposted

I’m About To Tell You My, Million-dollar Secret. Are You Ready...? Lets Go... Kuna Transformation Of Energy, Kutoka Kwa Mtu Kwenda Kwa Mtu... Hapa sizungumzii, Energy ile ya Kukutana Kimwili... The issue is, Ukikutana na Mtu ambaye... Amefaulu kutumia Maneno, Yanayotoka…


Chris001 Reposted

Tuepuke Aibu Ndogo Ndogo👇 ASAP- As soon as possible IMO- In my opinion NKT - Never knew that FOMO- Fear of missing out LMK - Let me know FAQs- Frequently asked questions DIY - Do it yourself POV - Point of view IDC -I don't care BTW- By the way SMH- Somehow FIY- For your info


Chris001 Reposted

Utulivu wa Akili ndio Kitu ambacho, Unatakiwa ukipe priority, kwenye maisha yako ya Sasa... There is So much power Kwenye Utulivu wa akili yako... "Calmness" Kwa Sasa akili yako Ndio Kitu Pekee kinachoongoza... Maamuzi na Emotion zako... Kuna Huu msemo unasemaa. "How you…


Chris001 Reposted

JINSI SHULE INAVYOHARIBU UBAADAE WA WATOTO WA KI-WAAFRIKA. Tafadhari soma hii ukiwa umekwisha graduate 🎓, Uzi huu si wa kukosa Bookmarks zako, utausoma hata baadae kwa umuhimu wake.

Tweet Image 1

Chris001 Reposted

➮ Kwa miaka mitatu 2021-23 nimefanikiwa kutengeneza $13k online kama creator But watu wengi hawajui waanzie wapi? Ndio maana bilitegeneza guide on "How To Make Your First $1 Online" Gharama Yake thamani yake $99 Nakitoa FREE Kwa watu 200 ndani ya 48hrs. Kuipata guide…

Tweet Image 1

Nimefanikiwa kufika $8k ambayo ni sawa na 20,342,168.00 kwenye partnership na @EXNESS ============================= Kila Mtu anatamani kutengeneza angalau Kwa kutambua Hilo nimeandaa guide ya kumsaidia kila Mtu atengeneze dollar yake ya Kwanza online "HOW TO MAKE…

Tweet Image 1


Chris001 Reposted

Nani anataka tufanye space na Chris Lukosi? Mzee wa Madungu Jeshi? Kuhusu kuagiza bidhaa UK? Ameniambia post hii ipate Repost 100 atakuja live.....

Tweet Image 1

Chris001 Reposted

Serikali inasema Wamasai wakifika Zanzibar wafuate tamaduni za Watu wa Zanzibar😎.


Chris001 Reposted

🚨🚨 #Tanzania #Zanzibar 🚨 The Maasai living in Zanzibar have recently been told not carry their traditional weapons like clubs and knives (sime) This altercation between the Maasai and some local group (security?) has proven that weapons are not what make the Maasai fierce 😥…


Chris001 Reposted

UNABII WA NCHI YA TANZANIA. ⤵️ Thread. Angalia mambo yatakayoikuta Tanzania siku zijazo. Waarabu watapigwa na wazawa.



Chris001 Reposted

Mwaka haukuisha vizuri kwangu na madeni ya Tin no ya biashara, lessen na Kodi ya pango la biashara na nyumba ya kuishi. Vimefanya niishie hivi Sina tumain la kuendelea nawaza kufunga ila nikipata hiyo 500000 ntaendeleza biashara yangu maana sjavuka na deni nililipa yote🙏🙏🙏🙏

Sijui umeanza vipi mwaka ila natamani nikusaidie kuuboresha zaidi. Naomba nikupe 500,000/=, nioneshe biashara yako ilipofikia na ungependa kufanya nini zaidi. Mwenye comment yenye most retweets (nahesabu kama ndo kura za wananchi) kabla ya 07:00am Ijumaa, atapata haki yake.



Chris001 Reposted

Ukienda Google Uka Search Pale Juu Ukaandika “DEATH CLOCK” Then Ukaingia Sehemu Imeandikwa “Your Death Prediction Results” Wanakupa Matokeo 😁😁😁 Mi Wamenambia 2028 Naamsha😁 Mapinduzi Day Flani!! Khaaa!

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.