@MudyfoxTz Profile picture

F O X ๐ŸฆŠ

@MudyfoxTz

Master_of_psychology | IT_professional | Quotes| CFC_pride_of_London

Similar User
Makwaya Salim photo

@makwaya_salim

Casino Futbol photo

@CananHannan

Calvin photo

@GamechangerTz

Barnakandh photo

@HeisBarna05

Joh Paul photo

@amjaymax

Ongala๐ŸŽญ photo

@RemiBenja

Ngikari Shio photo

@JeromeAgapiti

Pino(MANGUNGU+MAGOMA) photo

@Mubenga_

Steven Mrosso photo

@StevenMrosso1

Joh photo

@baumbajunior

Mjukuu wa Ibada photo

@DuruUpdates

mbande25๐Ÿ•‹ photo

@mbande25

SaluWingu photo

@saluwingu7

humairaaa bardizbah photo

@HBardizbah

KidiluN. photo

@kidilun

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Mwanamuziki Mkongwe Kikumbi Mwanza Mpango King Kikii amefariki dunia. Mwanamuziki huyo ambaye ameugua kwa muda mrefu, amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambako alikuwa amelazwa. Atakumbukwa King Kikii kwa wimbo wake uliotamba mno wa Kitambaaโ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Kati ya Mechi 66 Gamondi Kashinda Mechi 55 Kafungwa game 4 tuu Leo kafukuzwa Kazi.

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema imepokea maombi ya leseni chini ya mfumo wa leseni kutaniko kutoka kwa Waombaji watatu wakiwemo Starlink Satellite Tanzania Limited kampuni inayomilikiwa na Tajiri namba moja Duniani ambaye ni Boss waโ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

FAHAMU NAMBA ZA MAGARI (PLATES NUMBERs) ZA TANZANIA, AINA NA MAANA ZAKE; Tanzania, Kama Ilivyo Kwa Mataifa Mengine Kote Duniani Kuna Utaratibu Wa Kutoa Aina Mbalimbali Za Namba Za Magari Kwa Matumizi Tofauti Na Kwa Watu, Taasisi Na Idara Tofauti.

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Didy anasema 2 PAC alipoachia ule mkwaju wa "Hit 'Em Up" aliskia kama kuna kitu kimemgusa. Haraka alimpigia B.I.G, akamwambia hii hatuwezi kuijibu maana kuna mtu ataumia. Ile punchline ilikuwa kama kupigwa na chuma cha reli. Anasema huwa inamuuma mpaka leo. Punchlines: ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Dogo alikuwa very innocent wakati anaingia kwenye industry. Alikuwa na uwezo wa kuimba na kuplay gitaa, lakini aliingia kwenye game ambayo hakuwa anaijua vizuri. Moja ya vitu vilivyonifanya nim-admire ni muziki wake mzuri na pia sura ya mvuto. Soma Zaidi: ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Tweet Image 1
Tweet Image 2

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Jeshi la Polisi likiendelea kuwakamata waandamanaji maeneo ya Ilala Boma.


F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Soma hapa then toa maoni yako๐Ÿ‘‡

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Good vibes only this week at HQ. ๐Ÿ˜๐ŸŽฌ


F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kikosi chake kina Wachezaji wakubwa ambao wanaweza kufanya jambo bora kuliko Wapinzani wao CBE ya Ethiopia ambao wanacheza nao mchezo wao wa marudiano kesho September 21,2024 Uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar ambapo amesemaโ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria takribani laki nne kuhudumiwa kupitia kiwanja hicho kwa mwaka. Kihenzile ameyasema hayo leo September 20,2024 baada ya kukagua maendeeleo yaโ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

โ€œHali ya wachezaji wangu ni nzuri, tumejiandaa vizuri sana na tumepata muda wa kujiandaa. Nina wachezaji wakubwa sana ambao wanaweza kufanya jambo bora kuliko wapinzani wetu, najua wachezaji wangu wanafahamu umuhimu wa kufuzu hatua ya makundi #cafcl โ€ Miguel Gamondiโ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika(ACA) Eng. Hersi Said @Caamil8 akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kikao cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) kilichofanyika jijini Nairobi, Kenya. #TimuYaWananchiโ€ฆ

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Jina: Faustine Jackson Mafwele Umri: miaka 47 Kabila : Mkerewe Dini: Mkristo Makazi : Mikocheni Kazi: Afisa mwandamizi wa polisi Cheo: Kamishina Msaidizi wa Polisi Madaraka: Zonal Crime Officer Tuhuma: Kuendesha genge la uhalifu dhidi ya binadamu. Mawasiliano: +255โ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

โ€œTunawapa Serikali siku 10 @DEUSDEDITHSOKA na wenzake wawe wamepatikana wakiwa hai, kama hawapo hai basi waturejeshe wakiwa kwenye umauti, wakushindwa kuturejeshea miili yao basi watuambie wamewatupa wapi vijana wetuโ€-; Mhe @freemanmbowetz


F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Chukua hii mali, iweke mjini kama mwezi... ni moto wa kuotea mbali ๐Ÿ”ฅ

Hawa ni Watu Wa Wapi?



F O X ๐ŸฆŠ Reposted

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 yenye thamani ya shilingi Bilioni 3.4 yaliyokamatwa Bandarini Jijini Dar es salaam yakitoroshwa kuelekea Zanzibar. Baada ya kukamatwa kwa madini hayo, Waziri Mavunde leo akiongea na Vyomboโ€ฆ

Tweet Image 1

F O X ๐ŸฆŠ Reposted

TUKIO LA KUPOTEA KWA WATOTO WAWILI LAMADI Huu ndio ukweli kuhusu yaliyotokea Lamadi, Simiyu kama unavyoelezwa na wahusika wa tukio lenyewe.


F O X ๐ŸฆŠ Reposted

Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam leo Augustโ€ฆ

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.