@Mtumba_Gulio Profile picture

MTUMBA GULIO

@Mtumba_Gulio

Tunauza T-Shirt Na Pensi Za Mtumba Grade 1 Kwa Bei Nafuu Sana T-Shirt 10000& Pensi 10000, Tupo Dsm, Kigamboni Ferry, 0716909088

Similar User
asmer de unique photo

@unique_asmer

Eng. Honester Kasilo photo

@Honester_Kasilo

KITUDIKE🇹🇿 photo

@kitudike

Hildaya - Makash photo

@HildayaD

MJUKUU photo

@R00DGERS

Mooner🇹🇿 photo

@mumuhkay2

MY | ESSAY WRITER | RESEARCH/OMEWORK HELP photo

@BiancaEssays

𝐌𝐒𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁𝐔 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 photo

@maticsleokas

Paulo na Sila 🩸 photo

@PauloNaSilla

Ra 0ne photo

@AwiiiAwaa

Salma photo

@salmakorosho

mkama luhega photo

@mkamaluhega

ANDAJAIV photo

@ntyeka2

Fadhili Kangusi photo

@fadhilikangusi

Tιɳƙҽɾ ✨..➐ photo

@timothynashon

MTUMBA GULIO Reposted

Usitegemee kumkamua MAZIWA ng'ombe wakati hujampa malisho yanayostahili. Badala yake tegemea kukamua DAMU huku ukitandikwa MATEKE. Ninamaanisba kwamba, usitegemee SALES wakati hujaamua kuwekeza kwenye MARKETING, tegemea HASARA na ANGUKO ENDELEA NA UBAHILI, UUE BIASHARA YAKO!


MTUMBA GULIO Reposted

Acha nilewe..

Tweet Image 1

MTUMBA GULIO Reposted

Uko unapambania kujenga brand na portfolio ili zikupe pesa huko mbeleni, kumbe muonekano wa huo mchakato unasababisha watu wahisi una pesa.


MTUMBA GULIO Reposted

iPhone 16 series📲‼️ A NON ACTIVE Stock 16 pro 128gb 3,500,000 16 pro 256gb 3,650,000(Desert) 16 pro max 256gb 4,450,0000 (Desert) 16 pro max 256gb 4,350,000(natural) 16 plain 128gb 2,550,000 16 plain 256gb 2,800,000 Comes with one Year Apple Warranty ☎️0752-992667

Tweet Image 1

MTUMBA GULIO Reposted

Hii lori ya ASAS jana majira ya saa 11 alfajiri iliwaka moto maeneo ya malolo mkoani Morogoro. Dereva alisalimika na mafuta aina ya Diesel hayakuweza kupata madhara Jeshi la Zimamoto walifika kwa wakati kudhibiti moto huo. Hii ni IVECO namba T 636 DDC, poleni sana aisee

Tweet Image 1
Tweet Image 2

MTUMBA GULIO Reposted

Roho za watu zimeanza kumsumbua bibi, mambo anaongea hayaeleweki kabisa amejitokeza sasa anaomba support maana amelemewa watu wamechoka na kutekwa na kupotea Watanzania tulimwambia haya mambo yatamsumbua, hakuna muuaji tutamvumilia nchi hii

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.