Cannabino🇨🇩
@Motela4020@ArsenalFan🔴⚪ @YOUNGAFRICANS SC🔰
Ben-Rabiu Focas Saanane 💔 Ben Rabiu Focas Saanane akiwa na mwanae, Paula. Picha hii ilipigwa 7.12.2011 na miaka 5 baadae 18.11.2016 Ben anatekwa na kupotezwa na kumuacha binti yake. Paula hajui kama baba yake ni MFU au bado yupo hai. Hii ni gharama ya kuwa mpinzani nchi hii.…
Mungu atusaidie na leo tupige Madusco. 🙏
Leo umeamka na mimi
Majina ya humu ndani.😄 Kuna kipindi mwanangu @Thereal_taivina alikuwa anaitwa “Eminem wa UYOLE”. Jina la kifoo sana.😂
Agenda ni moja 👉🏽 #KatibaMpya Nje ya hapo tunazunguka humuhumu na tutaumizwa na kunyanyaswa Kwa sasa hiyo ndo focus yangu na niko tayari kushirikiana na yeyote kuhusu hii Hakuna FUNDAMENTAL CHANGE bila #KatibaMpya Kama hamjanielewa mtanielewa tu #TutaelewanaTu
@Thereal_taivina hii hela najua hulipi. Muambie ukweli WAZIRI akate jina lako.😁
John Mnyika amekuwa mbunge wa Ubungo na Kibamba kwa miaka 10. Wapiga debe na watu wa Stendi ya Magufuli walikuwa Stendi ya Ubungo (jimbo la ambalo Mnyika alikuwa mbunge), ni rahisi wapiga debe hao kuwa na namba zake, na wao ndiyo walimpigia simu alfajiri, akawajulisha ACT.
#ChopaWangArena @moodewji Shikamoo Naomba Unidhamini Vinywaji Vya Mo Kola Cola Mo Malta Mo Xtla Etc Wateja Wa #ChopaWangArena Wanapenda Sana Bidhaa Zako NATANGULIZA SHUKURANI 🙏 #Momalta #MoXtla #MoKolaCola #MoChungwa
Haya turudi kwenye uchaguzi na #KatibaMpya 😃 sawasawa? #TutaelewanaTu
Cookin’ up more fire in the lab with the goat 👑 @nahreel 💿🔥 more flames comin’ your way asap 🚀 . Keep streaming “Heat” watch the video , and don’t forget to leave ya thoughts in the comments 💙💯
Mziki wangu ni kioo cha maisha— furaha, maumivu, na ushindi. Huu ndio uzito wa sanaa na nitaendelea kuweka moyo wangu kwenye kila wimbo, kwa ajili ya watu kama wewe 🔥🚀💙🙏🏽 “Heat” featuring @countrywizzy_tz out on youtube now 🎥 @izzybree_ Tap i
JESHI LA KAOLE. Taarifa ya kwanza kutoka kwa viongozi wa ACT zinadai alitelekezwa na garibla watu wasiojulikana nje ya ofisi zao. Na story za ndani zinadai gari ile ile iliyomteka MBEZI ndio ilikuja kumtelekeza usiku wa jana nje ya ofisi za ACT. Story zaidi inasema alipatikana…
No shortcuts to greatness 💯 “Heat” YouTube goin crazy rn fr🌡️🚀 Tap in link in bio , Let’s keep it pushing gang 🚀
‼️Haya na leo @tanpol mchangamke kama jana kutujibu na kutoa taarifa kuhusu Mdude 😏 👉🏽 Kwa nini tokea mlipowakamata tarehe 22 hamjamwachia @mdudechadematz na hamsemi alipo 👉🏽kwa nini mlimficha Ileje mpakani? 👉🏽 mlipoburuzwa mahakamani Mbeya mkasema hamjui alipo lakini usiku…
SHERIA YA ARDHI IREKEBISHWE KULINDA HAKI ZA WAZAWA KUISHI KATIKA MAENEO YAO YA ASILI. Tunaunga mkono na kupongeza jitihada zozote za dhati za kutatua Migogoro ya ardhi hususan eneo la Ngorongoro hasa kwa kutambua haki ya wazawa kuishi na kufaidi maeneo yao ya Asili na fursa za…
‼️BADO NATAFAKARI‼️ Ninajiuliza maswali mengi kuhusu @tanpol nikilinganisha tukio la jana na ya akina Soka 👉🏽 Lugha iliyotumiwa jana na polisi si kawaida - wamesema si kweli ile gari ilitumika iko Gogoni ila wamesema “tunaamini lengo lake (mtoa taarifa) ni kusaidia” IN COMPARISON…
NATAFAKARI!🤔 Yaani miezi mingi kabla ya uchaguzi wameteka akina Dioniz, Soka, wamemwua Mzee Kibao Wakati wa uchaguzi wamekamata akina Mdude na viongozi wengi sana, wamewaua wagombea na viongozi Wote wa Chadema Baada ya matokeo kutangazwa na maCCM kuapishwa, wateke sababu gani?…
Kuna kipindi utapitia Hard time afu ukiwa kwenye hii App una cheka cheka tu kwenye content za watu ndio utagundua kuwa hata muda ambao wewe ulikuwa na furaha kuna watu ulikuwa una vibe nao unajua wapo sawa kumbe hawapo sawa waliamua tu kutoonyesha magumu yao.
KWA PAMOJA TUSEME MAUAJI KWA CHADEMA SASA BASI..! "If we must die, let it not be like hogs Hunted and penned in an inglorious spot, While round us bark the mad and hungry dogs,.."
Kipindi naishi umarekani weekend ya games kama leo najifungia muziki mkubwa na mechi tu Kwenye TV, Kwenye PC kwenye simu. Saizi napunguza sauti hata jirani akigonga niskie. Nimenyoroshwaa
United States Trends
- 1. Bama 32,8 B posts
- 2. Miami 105 B posts
- 3. Clemson 16,4 B posts
- 4. #WWENXT 16,3 B posts
- 5. South Carolina 25,4 B posts
- 6. XDefiant 10,6 B posts
- 7. Josh Dix 1.323 posts
- 8. Sabres 2.475 posts
- 9. minghao 23,8 B posts
- 10. Warde Manuel 2.492 posts
- 11. #MAFS 1.033 posts
- 12. Gundam 121 B posts
- 13. #SurvivingBarstool N/A
- 14. Cam Payne N/A
- 15. Ubisoft 8.830 posts
- 16. Africa 274 B posts
- 17. Hegseth 148 B posts
- 18. #CFBPlayoff 5.008 posts
- 19. #GoAvsGo 1.481 posts
- 20. Brandon Miller N/A
Something went wrong.
Something went wrong.