@MkaimaG Profile picture

Mkaima George

@MkaimaG

photojournalist

Joined February 2018
Similar User
Benedict Busunzu photo

@DittoMasili

Billy Kaz photo

@BillyKaz1

Renatus pamba photo

@magniuwi

Ntilisinda photo

@KafuguguJr

Innocent photo

@innocentvlrn

Jasanga photo

@JLugisu

Desderius Ntobi photo

@NtobiDesderius

YFM photo

@YMwamagego

Kwa hiyo?

Kubambikia Watu Kesi Za Uhujumu Uchumi Na Kuwapola Pesa Zao.Mzee shamte Kafia Mahabusu Kwa hila Zako Yani Mungu Ndo Atakuondoa Na Chuki Kila Siku Unakopi misheria kandamizi ya Rwanda Ili ukomoe Watanzania Wenzako.



Mwambie na yule mgombea wenu mwenye hormon za kike aige aone

Kaanza tena mambo yake 🤣🤣🤣🤣. Yaani huyu ni wa kukaa naye karibu anaweza pagawa akavua suruwali kabisa..

Tweet Image 1


Tamko la nn !! Kwani uongo?

Hivi UWT wametoa tamko lolote kuhusiana na kauli hii kweli? Maana sijasikia chombo chochote kikikemea angalau hili #TutaelewanaTu #ChangeTanzania



Tatizo pesa

Nimegundua watu wanapenda kuona matukio ya Mgombea Uraisi kwa tiketi ya @ChademaTz huko njiani anakopita lakini sasa naona yanachelewa yanapelekea watu kutumia picha za zamani tatizo nini? Mbona upande wa Mwingine wako chap bando wanatumia hizo hizo mnazotumia Chadema?



Kama VP jpl tunatanguliza vifaru vya jwshi la wananchi@ sio la mikia fc

Msanii wao aliwafanyia surprise siku ya tamasha wakaona ni kitu cha ajabu mno, Konde Boy kawatusi kwa kushuka nayo mazoezini. Nyie 😂😂



Mkurya alikuwa Wangwe tu' we nahisi una homon kama za lisi

Mpaka jana jioni walikua wameengua wagombea ubunge 53 kati ya 244 tuliosimamisha nchi nzima, usiku wengine waliendelea kupokea barua za kuondolewa haki ya kugombea. Alafu kuna mjinga anataka Mh Lissu asizungumzie jambo hilo anataka eti azungumze sera. sera gani bika wagombea?



Pumbavu ' ngao ya hisani ni kombe

Safari ya kutafuta kombe la kwanza kwa msimu mpya imewadia. 🏆🕺🏽 #NgaoYaJamii2020 #NguvuMoja

Tweet Image 1


Wewe inakuuma nn mwamba

Mwenyekiti wa Yanga amewaomba mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuchangia usajili wa wachezaji wawili ili kuunga mkono juhudi za mdhamini wao katika zoezi la usajili kuelekea msimu ujao.

Tweet Image 1


Mngefika na Zambia kabisa


Mkaima George Reposted

Mungu Wangu 😂😂😂.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

TFF mkiamua kudhurumu Mali, dhulumuni na KABURI

Tweet Image 1

Mmh! Wananyamagana?

Shukrani za dhati kwa Kamati kuu ya Chadema kuniteua kuwania Ubunge jimbo la Nyamagana baada ya wananyamagana kunipa kura nyingi katika kura za maoni. Ninawaahidi ushindi wa kishindo October 28. Ninawaomba support yenu ya hali na mali. Bonyeza link hii wa.me/c/255676250710

Tweet Image 1


Kwani alishatoka karantini au alikuwa kantini mie ndo sikuelewa vizuri?

Wapenda series...nendeni mkaangalie SLOBORN natumai mtaenjoy 😅



Tunafanya wima

Manchester United wapo uwanjani busy na Europa mda huu Chelsea wapo busy wanajiandaa kupindua zile goal 3 kwa Bayern Arsenal wanafanya nini?????!!



Uzinzi tu' ushaona kiuno cha wenzio ili hali amevaa!! Au macho ya MRI ?

Tukisema makasiriko yanaongezeka na mnatuwinda. Ipo hivi, chakula anachokula Rais kinakaguliwa na wataalam na walinzi wake. Rais amepewa muhindi barabarani, amekula, Unadhani mtu wa kawaida anaweza kumpa muhindi Rais barabarani? Anyways, tazama kiunoni kwa huyo mchoma mahindi.

Tweet Image 1


Kavunja sheria IPI?

Muuza mahindi bastola kiunoni “texas ranger” 🙌🏾😂😂😂

Tweet Image 1


Mpiga risasi ni Mwenyekiti wao zee Wa konyagi

Muuza mahindi bastola kiunoni “texas ranger” 🙌🏾😂😂😂

Tweet Image 1


Mkaima George Reposted

"Tumeonewa sana, tumebaguliwa sana, tumepigwa risasi sana, tumeibiwa kura sana, tumefungwa sana, tumenyanyaswa Sana, Uchaguzi huu tukaseme enough, sasa basi" Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa, Mhe @freemanmbowetz #ChademaMkutanoMkuu2020

Tweet Image 1

Mzee Wa mafaili

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.