@Mercy_Simba Profile picture

Mercy 🇹🇿

@Mercy_Simba

Blogger |Public Relations Officer

Joined June 2013
Similar User
Bonnah Ladislaus Kamoli photo

@BonnahKa

Watumishi Housing Investments (WHI) photo

@WatumishiH

Matokeo ChanyA+ photo

@matokeochanya

TYVAVijana photo

@TYVAvijana

HakiRasilimali photo

@HakiRasilimali

WAZIRI KINDAMBA photo

@wazirik

millardayo photo

@millardayo

Bakari S. Machumu photo

@bmachumu

Ahmad Issa Michuzi photo

@MichuziJr

Salim Kikeke photo

@Salym

ikulu_Tanzania photo

@ikulumawasliano

Mwanamke na Uongozi photo

@MwanamkeUongozi

Dr. Abdullah Hasnuu Makame photo

@dr_makame

Rahuuuum photo

@RahmaMwita

NPASouthAfrica photo

@NPA_Prosecutes

Rais @SuluhuSamia akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha. 30 Nov, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenyemaadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo tarehe 29 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Matukio mbalimbali ambapo Rais @SuluhuSamia aliwatunuku Kamisheni pamoja na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (BMS) Maafisa wanafunzi Kundi la 05/21 katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (BMS) Maafisa wanafunzi Kundi la 05/21 katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais @SuluhuSamia akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Maafisa wanafunzi waliotunukiwa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (BMS) kundi la 05/21 katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha, leo tarehe 27 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko akipiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi Bulangwa wilayani Bukombe Novemba 27,2024.

Tweet Image 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Niger hapa nchini mwenye makazi yake Addis Ababa nchiniEthiopia Mhe. Amadou Hassane Mai Daboua kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Malaysia hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Ruzaimi Mohamad mara baada ya mazungumzo, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Anne-Sophie Avé kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Australia hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Jenny Isabella Da Rin Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Habari muhimu kwasasa ni kuhusu Uchaguzi wa serikali za mitaa November 27,ukumbusho toka kila pande ni kuhusu watu kushiriki kupiga kura siku hiyo ili kujenga mustakabali wao kama anavyotukumbusha Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh. Dkt. Abubakary Zubeir bin Ally


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.