@Makoye221 Profile picture

Chief Salamba

@Makoye221

Joined January 2022
Similar User
MNDARI MMOJA 🌴 photo

@nicholaus_panja

1mman🏅🇹🇿 photo

@1mmanVm

MUDI AMOUR.🤎🖤 photo

@AmourMudi

FONGO MASTER photo

@Fongo_master

DREAM TV photo

@tvdreamonline

𝐇𝐀𝐙𝐀𝐑𝐃 photo

@_HAZARD_17

Mafix photo

@mostoni1989

Eliya Gershon photo

@EliyaGershon

Amry Robert photo

@_snipers1

Alexander Litvinenko photo

@Yayahela1

Its_FELIX😎 photo

@FelixDismas

KYARIGA photo

@officialkyariga

Swedy Jr photo

@SwedyJr2

Mafia😎 photo

@MrUchebe001

HAZARD photo

@_HAZARD_017

Chief Salamba Reposted

Repost bila sababu.❤️😭

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Chief Salamba Reposted

Nimeamua kuanzia kesho ligi zikirejea timu zote kubwa zipate goli 1 tu, Tunahitaji tu Tsh 4000 tupate hii Milioni Nimeandaa mkeka huu tangu wiki iliyopita na uchambuzi tumefanya zaidi ya watu 5 tumeuandalia mtoni na tukafanya ibada pale hope utatoboa Repost kama unataka code 🤝

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Tafuta muandishi Mzuri wa Vitabu, muelezee historia yako yote ili aiweke kwenye maandishi. Vizazi Vijavyo visome na kutambua ukuu wa Mwenyezi Mungu.


Chief Salamba Reposted

Hakikisha Unapata Folowazi Zaidi Ya 99+ Jioni Hii🙅‍♀️🚔👇 Weka Emoji Tuinuane Akaunti Zetu!

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Muda huu 16:58 Mhe Boniface Jacob ndio anapandishwa kizimbani hapa kwenye Mahakama ya Kisutu. Mawakili upande wa serikali wamefika, tunamsubiri Bwana Hakimu.

Tweet Image 1

Siku moja chukua CV yako' Kisha angalia sehemu ya Referees wako Kisha wapigie simu jifanye ni mkurugenzi wa kampuni unataka kujua kuhusu wewe usikie maoni yao. Unaweza kuta mchawi wa maisha yako yupo kwenye CV yako.

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Hiyo inaitwa (mobile spectrum monitoring system) a.k.a SMS. Kazi yake ni kubainisha na kuripoti hitilafu katika mawimbi ya RF (Radio Frequency) ndani ya mtandao. Kwa kifupi gari hili hutumiwa na TCRA kusoma kama kuna mawimbi ya radio ambayo hayatambuliki.


Chief Salamba Reposted

LIVERPOOL VS CHELSEA FULL TIME [ 3 - 1 ] ✍️✍️😂🏃‍♂️🏃‍♂️✌️

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Million 50 au 500? 50 ndogo sana twitter.com/latariico/stat…

Top 10 | Gangsta Movies of All Time ☠️🕴️🔥🔪 ☔️ Namba 10 itakuacha hoi😀😅

Tweet Image 1


Chief Salamba Reposted

Njooni tusome comment hapa

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Hii ni movie?

Inauma sana😂



Chief Salamba Reposted

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏


Chief Salamba Reposted

Happy. New. Year.

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

Na wao wafanye marekebisho hayo hayo kwenye ZFF ili kuleta maana ya muungano isiwe urafiki wa tyre na lami kila siku anaumia mmoja


Chief Salamba Reposted

Tanganyika 💥💥💥

Tweet Image 1

Chief Salamba Reposted

VIDEO: Tundu Lissu amlilia Hayati Magufuli, atangaza kwenda kuliona kaburi lake Chato "ntakwenda kumuamsha aje aone CCM yake ilivyo sasa"


Chief Salamba Reposted

Afu mwana huyooo anasepa zake hana hata time na mtu. 😃🙌


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.