@MMahahila Profile picture

R Mahahila

@MMahahila

Sir Mtokambali

Joined August 2022
Similar User
BLEDI photo

@bledi_gmi

Bryson photo

@BonsonJ

Brama photo

@Brama_kid

Mwaa's photo

@NJuniours

Elizabeth John photo

@lizzy3650

Og Nyemba photo

@LeonardNyemba

Gift Mjelelo photo

@GiftMjelelo4

Natal Football Academy photo

@jeremihfranco

CLIFF photo

@cliffjamesswai_

Billy photo

@DjeeDk

Vianney Wyclife photo

@wiseboyiq

Firoz Datoo photo

@FIROZDATOO

David Mtui 🦁 photo

@DavidMtui2

Dicksone John photo

@john_dicksone

Amrizaki Kiswili, Jr photo

@KiswiliJr

Mbio zako haziwezi kukusaidia kuzikimbia shida zako.


Yalindeni maisha yenu msiwe na tabia ya kupenda fedha, bali mridhike na vile mlivyo navyo, kwa sababu Mungu amesema, “Kamwe sitakuacha, wala sitakupungukia.” Waebrania 13:5 (NENO).


Unyenyekevu na kumcha Bwana huleta utajiri, heshima na uzima. Mithali 22:4 (NENO).


Watu wengi Wana muda mwingi wa kupiga SELFIE lakini hawana muda wa kusoma neno la Mungu.


Imenipasa kumshukuru Mungu maana Baraka zake kwangu ni nyingi kuliko shida ,matatizo na mahitaji niliyonayo.


Human resource is a better capital in this century than having many professional certificates without connection.


Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika. Zaburi 16:8 Biblia Habari Njema (BHN)


Ee Mungu, fanya utu wangu wa ndani kuwa safi. Weka mawazo mapya ndani yangu na unifanye kuwa mwaminifu tena. Zaburi 51:10 T4T (Translation for Translator Bible ).


Mwisho wa Dunia hauletwi na magonjwa, vita , njaa, matetemeko , machafuko ya kisiasa au machafuko ya kidini Bali ni habari njema ya ufalme itakapohubiriwa ulimwenguni kote ndipo ule mwisho wa Dunia utakuja na ishara itaonekana katika mbingu Mwana wa adamu akija katika mawingu.


Nyamazisha hizo ndimi za uongo na kujipendekeza, Ee BWANA! Funga vinywa hivyo vya majivuno vinavyosema,"Kwa maneno yetu tunapata kile tunachotaka. Tutasema tunachotaka, na hakuna mtu anayeweza kutuzuia." Zaburi 12:3-4 GNB ( GOOD NEWS BIBLE)


Leo ni siku nyingine ya kupambania ndoto zetu ambazo Mungu ametupa katika maisha yetu maana hakutuumba Ili tuje KUDHULULA au KUTALII hapa duniani mbali ni kutimiza malengo na makusudi yake mema. TAFADHALI SANA Usikubali ndoto zako zife kizembe,, Mungu yupo atakusaidia.


Wenye furaha ni wale wanaobaki waaminifu chini ya majaribu, kwa sababu wanapofaulu kushinda jaribu hilo, watapata thawabu yao yaani uzima wa milele ambao Mungu amewaahidi wale wanaompenda. Yakobo 1:12 Good News Bible (GNB)


Hakika, alikuwa mgonjwa sana karibu kufa. Hata hivyo, hakufa. Badala yake, Mungu alimhurumia na matokeo yake akamponya. Wafilipi 2:27 Translation For Translator Bible (T4T).


Bwana, kwa kutuokoa kutoka kwenye shida na matatizo yetu,utuonyeshe kwamba unatupenda kwa uaminifu. Zaburi 85:7 Translation For Translator Bible (T4T)


Baraka za Mungu hazitegemei maoni ya mtu au watu . Maadam unaimani Kwa Mungu wako songa mbele pasipo kurudishwa nyuma na maneno ya watu nawe utabarikiwa.


Nitamwimbia Yehova katika maisha yangu yote.Nitamsifu Mungu wangu mpaka siku nitakapokufa. Zaburi 104:33 (T4T)


Mkabidhi Bwana mambo yote unayokusudia kufanya na kumwamini naye atafanya chochote kinachohitajika kukusaidia. Zaburi 37:5 Translation For Translator Bible (T4T).


Vijana, furahieni ujana wenu. Furahia kufanya mambo unayotaka kufanya Lakini usisahau kwamba siku moja Mungu atakuhukumu kuhusu mambo yote unayofanya. Mhubiri 11:9 (T4T).


Kumfundisha mtu kuwa na nidhamu wakati wewe huna nidhamu ni sawa na kuwasha taa onayowaka.


Bora kukosana na kijana mwenye busara kuliko kuelewana na mjinga aliyezeeka.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.