Similar User
@DrHakika
@mujotusu
@n_ndagiwe
@EvanceMD
@Noja_bond007
@_khuz_
@Pharm_Kasuka
@ClarenceEnerico
@NJoneckson
@ally_msumari
Kwa mwaka 2015, zaidi ya watu milioni 17.7 walipoteza maisha kwa sababu ya magonjwa ya moyo. Hii ni sawa na theluthi ya vifo vyote duniani.
"Usiyoyajua kuhusu Magonjwa ya Moyo! - MANYANDAMEDICS" manyandamedics.com/2022/09/09/usi…
Non Communicable Diseases Campaigns twitter.com/manyandamedics… @wizara_afyatz @ummymwalimu
Unene na uzito ulioptiliza ni hatari kwa afya yako. Hali hii hupelekea mtu kupatwa na magonjwa yasiyoambukizwa kama vile shinikizo la juu la Damu. @swahilitimes @UNIDO_TZA @JoyceMwalimu @DrFlo6 @TumainiMakole @BKinemo @Kudu_ze_Kudu @LevinaKundi @wizara_afyatz @AmrefTanzania
Non communicable Diseases Campaigns Join us through this link clubhouse.com/club/afya-yako…
Shinikizo la damu linaweza kudhibitiwa kwa njia zifuatazo; Kubadili mfumo wa maisha na Kutumia dawa. @wizara_afyatz @ummymwalimu
Mgonjwa anapaswa kutumia dawa siku zote na kufuata maelekezo ya daktari ili kudhibiti shinikizo. Mgonjwa atakapoacha kufuata maelekezo ya daktari shinikizo la damu huongezeka tena na linaweza kuleta madhara.
Shinikizo la juu la damu ni ugonjwa ambao hauwezi kuponywa kabisa lakini unaweza kudhibitiwa. Hii inamaanisha shinikizo linaweza kudhibitiwa na kubaki ndani ya mipaka fulani inayokubalika.
Ikiwa shinikizo la damu ni juu ya 120/80mmHg na una maumivu makali ya kichwa, unapata shida kuona, kizunguzungu, upotevu wa ufahamu, maumivu ya kifua, udhaifu wa mguu au mkono, kichefuchefu, kutapika na uchovu, unapaswa kutafuta huduma ya matibabu haraka.
Ni wakati gani utafute huduma ya matibabu haraka? Mtu anapaswa kupimwa shinikizo la damu angalau mara moja kila baada ya miaka miwili ikiwa shinikizo la damu ni ≤ 120/80 na kila mwaka ikiwa shinikizo la damu linaanzia 120/80 -139 /89mmHg.
Tunaendelea na kampeni yetu ya Elimu juu ya magonjwa yasiyoambukizwa. Katika makala hii tunaangalia dalili za Shinikizo la juu la damu. Soma makala yote hapa: "Zijue Dalili za Shinikizo la Juu la Damu - MANYANDAMEDICS" manyandamedics.com/2022/09/04/zij… #SeptemberforNCDs #Manyandamedics2022
United States Trends
- 1. Wayne 119 B posts
- 2. Neil 29,1 B posts
- 3. Saka 63 B posts
- 4. Red Cross 11,7 B posts
- 5. Surgeon General 81,9 B posts
- 6. Arsenal 116 B posts
- 7. Gameday 13,6 B posts
- 8. #UFCMacau 35,7 B posts
- 9. #Caturday 6.908 posts
- 10. #saturdaymorning 5.153 posts
- 11. #Arcane 515 B posts
- 12. #ARSNFO 8.369 posts
- 13. Odegaard 11,8 B posts
- 14. Good Saturday 35,7 B posts
- 15. Partey 11 B posts
- 16. Weezy 4.437 posts
- 17. Petr Yan 6.631 posts
- 18. Buckeyes 3.434 posts
- 19. Enzo 79,8 B posts
- 20. Figgy 3.845 posts
Something went wrong.
Something went wrong.