@Kafunja2 Profile picture

Kafunja

@Kafunja2

Teacher and humble gentleman who likes reading

Joined December 2021
Similar User
Feisaly Abduly photo

@abduly_feisaly

maximillian Machele photo

@maximil18814116

2023 The year to remember, fighting the enemy in three fronts 😗😗


Mgogoro wa DRC,umedumu tangu miaka ya 60,DRC ni nchi kubwa sawa na Argentina au Brazil,iliyojaliwa neema ya utajiri wa asili(misitu&madini).Suluhisho la DRC ni kuwa shirikisho (federation) tu,kila jimbo liwe na mamlaka yake ya ndani.


Kafunja Reposted

Hizi Imani hizi 🙄

HildaNewton21's tweet image. Hizi Imani hizi 🙄

Mwanamke ni kama "mbuzi ya kukunia nazi" ata jirani akiazima anaweza ona yake


Nawatakia usiku mwema hususan hawa wafuatao,conso,chuga gal,hawa nawaombea waote ndoto wote wakiwa wake zangu,😬😬


Saa iz ni saa6 tu usiku sioni komenti zozote toka kwa dada zetu wa tweeter,kumbe bado vitoto vinalalaga mapema kama 🐔


Nionavyo mimi kuhusu sakata la wamasai wa ngorongoro,ni kwamba kuna mtu,watu au taasisi haikutekeleza majukumu yake kwa weledi,basi


Kunywa maji bar hasa wakati sio nene raha sana,mhudumu hawezi kukwambia"unaongeza"😁😁😁


Kweli wanawake wa Tz,Mungu anawaona, Munafundishana maswala ya sex kwa kutumia chupa,mahindi,matango,alafu mnatoa lawama eti ooo wanaume wana vibamia!


Nchi hii kweli tunakokwenda ni Mungu wa kutunusuru,


Hii nchi ndo nimejuwa kuna kuna marais wengi,mwingine anapigwaga na mkewe😙😙


Siku hizi michepuko inaitwa ,"spare tyre"


Kafunja Reposted

Today is my birthday!

mshambuliaji's tweet image. Today is my birthday!

Kafunja Reposted

Ni aibu kwa Putin na jeshi lake,na hapo ndo ajue udikteta wake hauna faida,


Kafunja Reposted

Mwanamke imara,dunia imara happy women day @MariaSTsehai @fatma_karume

NamdiAzikiwe's tweet image. Mwanamke imara,dunia imara happy women day @MariaSTsehai @fatma_karume

Kafunja Reposted

Mnaelewa maana yake? Kama hujaelewa, njoo uniunge mkono na buku lako, tunahitaji 1bn ndani ya siku saba.. Tembelea pinned post yangu ya Twitter na ufuate maelekezo, ELFU MOJA yako ni muhimu sana. Lazima tuepuke masimango ya CCM kwa kuwa na uwezo wa kujiendesha #JoinTheChain

IAMartin_'s tweet image. Mnaelewa maana yake?

Kama hujaelewa, njoo uniunge mkono na buku lako, tunahitaji 1bn ndani ya siku saba..

Tembelea pinned post yangu ya Twitter na ufuate maelekezo, ELFU MOJA yako ni muhimu sana.

Lazima tuepuke masimango ya CCM kwa kuwa na uwezo wa kujiendesha #JoinTheChain

Kwa mbaliii,,naona kama Mama kamwagiza PM amshughulikie Mh sabufa mjengoni,kama hawezi naye ajumulishwe huko!na kwa body language ya PM leo baada ya hotuba ya mama,dhoruba bado haijatukia


Kafunja Reposted

Tanzania au nchi Gan?


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.