Mtizii_jatrick92🇹🇿 ♐
@JatrickJohn⭐Jatrick De Hustle☠️ ⭐HUSTLE beats TALENT when TALENT doesn't HUSTLE ☠️ ⭐Talent huwezi buy☠️ ⭐Figure code 3011☠️ ⭐ Follow ur heart ur brain is stupid
Similar User
@Matagi_Jr
@KundyVictor
@Ten_august255
@MalikRightHere
@fatpaya
@Joslin41159718
@couldb_wendelin
@realkevoo_
@romnnusi
@Kelvin__France
@TapherNamende
@RemiBenja
@Mubenga_
@Bin_baamir
@ntyeka2
Wapo marafiki ambao aki gombana na mtu anataka wengine wote mumchukie, usi sahau sio kila ambaye mwingine hamuhitaji na wewe hauta muhitaji.
Wanaume, Kitu unachotakiwa kukijua ni kwamba: Mwanamke lazima afanye mapenzi na wewe KICHWANI, Kabla hajafanya mapenzi na wewe KITANDANI..
Kuna namna Mungu ana fanya mambo mpaka neno shukrani halitoshi. Good morning
Siku ukipata kinacho kustahili, Ndio utajua vyote ulivyokua unavisubiri ilikua ni hofu tu ya kuvikosa ila Havikua vyako.
Hatu pambani ili kumuonyesha nani tuna nini bali tuna pambana ili kubadilisha hali halisi tuliyo ikuta maishani mwetu.
Fatilia tu kwa umakini mwanaume aliyeoa mwanamke zaidi ya mmoja, Huwa anaishi maisha marefu Chunguza tu.
Kuna watu tunacheka nao kila siku unawaona wanafuraha, Ila kiualisia wakikuelezea matatizo yao, Utaona wewe matatizo yako yana afadhari kubwa sana.
Kama huwezi kumuongelea mtu vizuri kwa watu basi uki ulizwa sema tu humjui.
Uko na miaka 25+ na bado mapenzi yanakunyima usingizi kwa namna moja ama nyingine Unakua Hauna Akili wewe.
Dhambi kubwa zaidi dhidi ya akili ya mwanadamu ni kuamini mambo bila ushahidi.
Kujithamini ni pamoja na kukubali kuwa ni kweli ulimpenda ila kwakua ameamua kuondoka Muache aende.
Ukimjua mnafiki fanya kama hjajua ili uendelee kuona maigizo yake.!
Men always have a girlfriend that they give money and another one who gets explanations of no money.
Usishangae kupata ubaya sehemu uliyopanda wema, kwani Kuna mashamba huwa hayafai kwa kilimo #ElimikaWikiendi
Tukionyeshana UPENDO wakati tuhai hata siku ya msiba hatutalia sana #ElimikaWikiendi
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA MAPENZI WAKATI WA UJAUZITO. Wakati wa ujauzito, maswali kuhusu kufanya mapenzi mara nyingi huibuka kati ya wanandoa. Kwa ujumla, mapenzi yanaweza kuendelea kufanywa wakati wa ujauzito hadi wakati ambapo mfuko wa maji unapasuka, lakini hali…
Thank you @arsenal ❤️ As I say goodbye, I want to take this time to say thank you to everyone at the club, from my teammates to all the wonderful staff who have been a part of my journey and have made this place home for so many years. Thank you Gooners. Eddie
Yaani mimi nafuga Kuku kisha jogoo ninaemfuga anawake wengi hivi mimi ninaempa chakula niwe na mke moja mmh Hii haingii Akilini kabisa
Mwanamke mwaminifu atakupa amani ya Roho, atakupa attention ya kutosha. Unaweza kufikiri labda hana pa kwenda. Ukweli ni kwamba, machaguo ni mengi tu. Ila anajiheshimu na Kukuheshimu. zawadi pekee atakayostahili ni kuwa mama wa familia yako, sio kumgeuza chombo cha starehe.
Mwanamke kama anakupenda, huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu kumpa hela au zawadi. Uwepo wako kwake ni zawadi tosha..
United States Trends
- 1. Gaetz 837 B posts
- 2. Ken Paxton 16,8 B posts
- 3. DeSantis 30,3 B posts
- 4. Volvo 22,6 B posts
- 5. Attorney General 224 B posts
- 6. Mark Levin 2.414 posts
- 7. John Curtis 30,2 B posts
- 8. 119th Congress 9.853 posts
- 9. Murkowski 53,4 B posts
- 10. Murkowski 53,4 B posts
- 11. Mike Davis 3.558 posts
- 12. Pray for President Trump 2.334 posts
- 13. Trey Gowdy 5.599 posts
- 14. Gary Gensler 36,1 B posts
- 15. Andrew Bailey 3.906 posts
- 16. Dashie 3.963 posts
- 17. Rubio's Senate 12,7 B posts
- 18. Netanyahu 910 B posts
- 19. Katie 42,2 B posts
- 20. Dragon Believer 2.876 posts
Who to follow
-
Matagi
@Matagi_Jr -
Victor Kundy
@KundyVictor -
SIHAVILWA ♠️
@Ten_august255 -
COZY AS NIGGA!
@MalikRightHere -
kipulilo
@fatpaya -
Jozee
@Joslin41159718 -
WENDELIN
@couldb_wendelin -
Kelvin Michael
@realkevoo_ -
Romnnusi
@romnnusi -
Golden Heart 💥
@Kelvin__France -
Mustapher Namende
@TapherNamende -
Ongala🎭
@RemiBenja -
Pino(MANGUNGU+MAGOMA)
@Mubenga_ -
Mr A+
@Bin_baamir -
ANDAJAIV
@ntyeka2
Something went wrong.
Something went wrong.