KingJames I
@JamesJ2020In life without commitment, you will never start & without consistent you will never finish || Patriotic || Farther-figure ||YangaFun||
Similar User
@kilepi_tweve
@MissWalkinglit
@NanaSafoJnr
@IrlEmbTanzania
@GiuseppeTurrisi
@AlldayFpl
@JohnChakupewa1
@Nereymsangi7
@chimamy153
@WisemanHoliness
@faza_hausi
@counselordvd
@Gamaalex65
@Msoffe96
@CodoxVellous
Kikosi cha 'Stars' kinachoanza dhidi ya Guinea kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi H wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa. Kocha Hemed Suleiman 'Morocco' amefanya badiliko moja kutoka kikosi kilichowanyoa Ethiopia huku kiungo Adolf…
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa mchango wa Shilingi za Kenya milioni 5.6 (takriban Shilingi za Kitanzania milioni 104) uliotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto siku ya Jumapili.…
Hawa waandishi wa Jamhuri- Acheni kutumika dhidi y’a watu wa Loliondo na Ngorongoro. Acheni mara moja hichi mnachokifanya - Lengo lenu ni kuona watu wa Ngorongoro wanafukuzwa na kutokomea kabisa wilayani Ngorongoro. Balile waambie watu wako this time watu wa Ngorongoro…
Jeshi la polisi kama kawaida limeanza ‘uchunguzi’ wa tukio la jaribio la jana la mtu kutekwa. Ukiona neno “Uchunguzi” mjue hiyo ndiyo basi tena, hamtosikia chochote tena kutoka kwao. Iko hivi, wale ni askari, wanajulikana, sura zao zimeonekana, mnachunguza nini?
𝐒𝐚𝐝 𝐧𝐞𝐰𝐬 𝐟𝐫𝐨𝐦 𝐁𝐫𝐮𝐬𝐬𝐞𝐥𝐬 Antoine Montswet Nedule aka Papa Noel is dead. 😭😭😭 He is famous with Papa Lolo and Kizunguzungu songs
Hii siyo kuhusu siasa, wala siyo uungaji mkono wa aina yoyote. Ni kuhusu uvumilivu na nguvu ya kurejea—sifa zinazodhihirishwa na Donald Trump kwa njia zinazoweza kuonekana kama zisizowezekana. Bila kujali msimamo wako kisiasa, safari ya mtu huyu inatoa masomo ya kina kuhusu…
Kila la WIZI, UTAPELI na UJAMBAZI wa FEDHA za UMMA kwenye NCHI hii, huwezi kuikosa CCM kwenye MIPANGO hiyo. 🤣
DEMOKRASIA: Akizungumza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa'ichi amesema "Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya Kidemokrasia, lakini ni lazima litekelezwe kwa uadilifu, kwa Uzalendo na…
Mfanyabiashra wa Kitanzania, Simon Mkondya maarufu kama Dk Manguruwe (40) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 28 ikiwemo utakatishaji wa fedha wa Shilingi Milioni 90. Manguruwe ambaye pia ni Mmiliki wa Kampuni ya Vanilla International Ltd…
Mtu kaingia kwenye 18 za wajomba huko 🥹
#UPDATES “Mheshimiwa Mwenyekiti jambo jingine ni kwenye elimu nimefanya utafiti tu mdogo nikagundua tuna tatizo kubwa sana nadhani la vipaombele miaka michache nyuma angalau tulikuwa tunahamasisha wanafunzi kusoma masomo ya sayansi na watoto wengi sana wakaenda kwenye sayansi…
Hii ndio kauli iliyoibua Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT) kumtaka Rostam Azizi kuomba radhi. Huu ni mfano wa ukweli ambao haufi kwasababu ya kitu kinachoitwa “radhi”. Ukweli huwa unasimama na kujitetea wenyewe.
16 Mistakes you should NEVER make when it comes to Women (and the dating market). 1. Never eat a woman's pvssy:
NA Mwandishi Wetu, Pwani WAZIRI wa Maji Juma Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani upatikanaji wa maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani changamoto ya hitilafu ya mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu juu tayari imerekebishwa.
#VIDEO Rais wa Club ya Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu Barani Afrika (ACA) Injinia Hersi Said leo amehudhuria mkutano mkuu wa CAF wa 46 unaofanyika Jijini Addis Ababa Nchini Ethiopia. Kwenye kikao hicho cha leo mbele ya Viongozi mbalimbali wa soka kwenye Bara…
Hatujawahi igusa, hopefully tutaigusa siku za mbeleni.. . . . twitter.com/samatimemagari…
Rav 4 Kilitime [2nd Generation]. . Imenipasa kuongolea hii gari baada ya wadau kuuliza taarifa zake . Kama ulikua hujui kirefu cha Rav 4 basi nikujuze ni Recreational Active Vehicle with 4 wheel drive. . Sasa kwanini iliitwa Kilitime hapa naomba watu wa Kilimanjaro watupe jibu..
Excellent journalism. Mainstream media ya 🇹🇿 haithibutu wala HAIWEZI!
Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza…
United States Trends
- 1. CASSANDRA 33 B posts
- 2. #SmackDown 111 B posts
- 3. Kyrie 9.371 posts
- 4. Caleb Love 1.727 posts
- 5. Jamal Murray 2.104 posts
- 6. Jokic 14 B posts
- 7. Naji 4.842 posts
- 8. Lively 8.841 posts
- 9. Klay Thompson 3.094 posts
- 10. CM Punk 31,8 B posts
- 11. Nuggets 29,9 B posts
- 12. Franco 74,4 B posts
- 13. Khalid 33,9 B posts
- 14. #LasVegasGP 67,5 B posts
- 15. Checo 21,3 B posts
- 16. PJ Washington 1.604 posts
- 17. Cooper Flagg 1.836 posts
- 18. Paul Heyman 13,4 B posts
- 19. Westbrook 4.519 posts
- 20. Duke 35,6 B posts
Who to follow
-
Kilepi Captain Jr
@kilepi_tweve -
G
@MissWalkinglit -
Sam Nana Safo Jr🇬🇭
@NanaSafoJnr -
Irish Embassy Dar
@IrlEmbTanzania -
AnimaLunga™
@GiuseppeTurrisi -
Sanza
@AlldayFpl -
John Chakupewa
@JohnChakupewa1 -
msangi yanga💛m4c
@Nereymsangi7 -
Chimami 💋💋
@chimamy153 -
Holiness
@WisemanHoliness -
Mr Newcastle Tz 🇹🇿
@faza_hausi -
Counselor David
@counselordvd -
Gamma
@Gamaalex65 -
Msofe Jr♦️🦅
@Msoffe96 -
CODOXSZLAI
@CodoxVellous
Something went wrong.
Something went wrong.