@JamariAlly Profile picture

Jamari Ally

@JamariAlly

Joined September 2021
Similar User
Jk_Laurent🇹🇿 photo

@LaurentKwai

Khadija Amur photo

@khadija_amur

Ja Igbo photo

@fomondi220

Mtuadimu tz photo

@mtuadimu

Pharz ✪ photo

@Pharz_co

𝐆𝐨𝐝𝐛𝐥𝐞𝐬𝐬 𝐁𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚 photo

@GodblessBaraka3

Nyakwar Dayo photo

@renes_the

MHANDISI 🇹🇿 photo

@MhandisiRena2c

Jamari Ally Reposted

Afadhali

This post is unavailable.

Jamari Ally Reposted

🌸🌴🌲🌹weekend massive gains🌼🌸🌹🌹🌴🌲 @self__essteem @Sethford96 @shapeshapal @OhTeeHo @gladys_wawuda @Mphilisi90 @Phumajongosi


Jamari Ally Reposted

"Gari yangu ya kwanza ilikuwa ni BMW E12 520i ambayo nilikwama kuiingiza nchini. Kwa kuwa baba yangu alikuwa karibu na Mwl, Nyerere ilibidi aende kwa Mwalimu kuniombea kibali. Mwalimu akaamuru gari yangu iingie nchini. Hiyo ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 80"... @freemanmbowetz

IAMartin_'s tweet image. "Gari yangu ya kwanza ilikuwa ni BMW E12 520i ambayo nilikwama kuiingiza nchini. Kwa kuwa baba yangu alikuwa karibu na Mwl, Nyerere ilibidi aende kwa Mwalimu kuniombea kibali. Mwalimu akaamuru gari yangu iingie nchini. Hiyo ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 80"... @freemanmbowetz

Jamari Ally Reposted

Jaji anasoma... kufuatia kifungu cha 201 cha makosa ya jinai kisheria kinasema mtu yeyote anaeiba au baada ya kuiba akiwa amejiandaa na silaha au kifaa kabla na baada akiwa anatumia kifaa hicho au nguvu ili kuzuia mali hiyo atakuwa anatenda kosa kisheria na


Jamari Ally Reposted

"ukiona SISI tunaangalia kuwapunguzia hawa wakubwa MADARAKA lakini wawakilishi wa wananchi (wabunge) wao wanang'ang'ana kuwaongezea KINGA na madaraka sina neno lingine zaidi ya kusema ni MAZUZU" - Prof. Mussa ASSAD

IAMartin_'s tweet image. "ukiona SISI tunaangalia kuwapunguzia hawa wakubwa MADARAKA lakini wawakilishi wa wananchi (wabunge) wao wanang'ang'ana kuwaongezea KINGA na madaraka sina neno lingine zaidi ya kusema ni MAZUZU" - Prof. Mussa ASSAD

Jamari Ally Reposted

Baada ya 'press' ya baraza la wazee wa CHADEMA, Polisi wamemkamata Mwenyekiti wa baraza hilo Mzee Hashim Issa Juma, wakamtoa nyumbani, wamerudi nae nyumbani kwake, wamefanya upekuzi. Kimsingi sijaelewa, tuhuma za Msajili ndiyo zimewafanya wamkamate? Sasa wanapekua kitu gani?


Jamari Ally Reposted

Taasisi Ambazo Hazitafanikiwa Kusaini Hati Ya Makubaliano, Uanachama Wake Hautakuwa Hai. Lakini Pia Na Taasisi Ambazo Hazitachangia Ada ya Uanachama Kwa Muda Wa Miaka Mwili Zitakuwa Zimejitoa Kwenye Mtandao Wa @AfriYANTanzania #AfriYANAGM2021 #AfriYANTz

's tweet image. Taasisi Ambazo Hazitafanikiwa Kusaini Hati Ya Makubaliano, Uanachama Wake Hautakuwa Hai. Lakini Pia Na Taasisi Ambazo Hazitachangia Ada ya Uanachama Kwa Muda Wa Miaka Mwili Zitakuwa Zimejitoa Kwenye Mtandao Wa @AfriYANTanzania.

#AfriYANAGM2021
#AfriYANTz
's tweet image. Taasisi Ambazo Hazitafanikiwa Kusaini Hati Ya Makubaliano, Uanachama Wake Hautakuwa Hai. Lakini Pia Na Taasisi Ambazo Hazitachangia Ada ya Uanachama Kwa Muda Wa Miaka Mwili Zitakuwa Zimejitoa Kwenye Mtandao Wa @AfriYANTanzania.

#AfriYANAGM2021
#AfriYANTz

Jamari Ally Reposted

"Mimi nabeba mimba najifungua wewe huwezi, Mungu amenipa heshima ya kuleta viumbe wengine duniani, unachokifanya wewe (Mwanaume) ni kunichangia tu mbegu yako, mengine yote nafanya mwenyewe, ndiyo maana makabila mengine mtoto ni wa Mama"- @SuluhuSamia #Miaka50KanisaLaAnglikana

eastafricatv's tweet image. "Mimi nabeba mimba najifungua wewe huwezi, Mungu amenipa heshima ya kuleta viumbe wengine duniani, unachokifanya wewe (Mwanaume) ni kunichangia tu mbegu yako, mengine yote nafanya mwenyewe, ndiyo maana makabila mengine mtoto ni wa Mama"- @SuluhuSamia 

#Miaka50KanisaLaAnglikana

Jamari Ally Reposted

Vijana wakitekeleza agizo la Mwenyekiti wa CHADEMA, @freemanmbowetz


Jamari Ally Reposted

Kuwa na amani rafiki yangu, Dr. Christopher Cyrilo (@DrCyrilo).. Tunapitishwa kwenye tanuru la moto, limeiva sana, moto ni mkali, tutafika tumeiva sana, na Mungu atatulinda. Pumzika hapo Central police lakini usivunjike moyo, hapo kuna raia wengine, sio miti. Tutashinda.


Jamari Ally Reposted

Natabiri kwamba maisha machungu hayatakuwa sehemu yetu milele; maisha bora yatakuwa ushuhuda wetu, kwa jina la Mungu wetu mkuu. Ee Bwana, acha uwepo wako uanze hadithi tukufu katika maisha yetu. Baba, maoni yetu yote na yapate kibali machoni pako. 1 WAFALME 1

IAMartin_'s tweet image. Natabiri kwamba maisha machungu hayatakuwa sehemu yetu milele; maisha bora yatakuwa ushuhuda wetu, kwa jina la Mungu wetu mkuu. Ee Bwana, acha uwepo wako uanze hadithi tukufu katika maisha yetu. Baba, maoni yetu yote na yapate kibali machoni pako. 1 WAFALME 1

Jamari Ally Reposted

Nafikiri, kwenye hotuba yetu, asiache kuwaeleza wajumbe wa mkutano wa UN kuhusu uwepo wa magaidi ambao walinunuliwa Ndizi, nyama choma na MO energy na kwamba FAM alifadhili ugaidi wao kwa Shs. LAKI SITA. Najua 'Big Boyz' wanajua yanayoendelea, asiache neno. Aipaishe jina letu!


Jamari Ally Reposted

@beitvictor nafollow back


Jamari Ally Reposted

Follow me @JoshuaTurukaTZ


Jamari Ally Reposted

@Arafat04932427 Na follow back chap


Jamari Ally Reposted

Follow me I follow back immediately within a second 🙅‍♂️🙅‍♂️🔥 @phbperfect @phbperfect @phbperfect @phbperfect


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.