J19MICHEZO
@J19HabariTaarifa michezo KITAIFA na KIMATAIFA karibu J19MICHEZO mitandao yote ya kijamii
Similar User
@joezoli99
@PremiumLad
@midiient
@RLaimis
@Verenti
@Corpmusicgreets
@ct_ezirim
@Anirban_Sil
@MonteRocK82
@BonventureRaym1
Mchezaji Wa Yanga Aziz Ki Ameutumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kumshukuru Mungu Na Kuushukuru Uongozi, Mashabiki Pamoja Na Wachezaji Wenzie Wa Yanga Kwa Mafanikio Aliyoyapata Katika Msimu Uliomalizika Hivi Punde
Kipa namba moja wa Yanga, Djgui Diarra ameitaja fainali ya Kombe la FA kuwa ni moja ya mchezo wake bora ndani ya misimu yake mitatu aliyoitumikia timu hiyo huku akimtaja Mohamed Mustafa kuwa kikwazo.....SOMA ZAIDI..instagram.com/p/C71DRrPthGa/…
HABARI za Simba Leo ni za moto, za hivi punde tulizozinyaka ni kwamba aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez amekubali kurudi ndani ya klabu hiyo.....SOMA ZAIDI...instagram.com/p/C71A19rNlRC/…
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa hakuna mtu wa kumzuia kwenda klabu yoyote anayotaka kwenda.
MADAKTARI wa Yanga wanaangalia uwezekano mkubwa wa kumpa kifaa maalum cha ‘Mask’ kiungo wake mpya Augustine Okrah aliyepata jeraha eneo la puani.
KOCHA Mkuu wa Simba Abdalhek Benchikha ameahirisha mapumziko aliyowapa mastaa wa timu hiyo waliokuwa Taifa Stars, baada ya wachezaji watano aliokuwa nao mazoezini kupatwa na ugonjwa wa macho mekundu'Red Eyes'.
Magwiji wawili ndani ya kikosi cha Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wameibeba mechi ya Simba SC kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu.
MAKOCHA wawili mahiri waliowahi kuifundisha Yanga wameshtushwa na kiwango cha beki wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Ibrahim Bacca kwenye michuano ya Afcon. Na wameshangaa kuona kwanini bado anacheza ligi ya ndani.
Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Mafarao katika dimba la Laurent Pokou, San Pedro. Misri 🇪🇬 1-1 🇨🇩 DR Congo (P 7-8)
Michuano ya AFCON 2023 inaendelea kurindima leo Januari 21, 2024 kwa mechi tatu za hatua ya makundi huku timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ikiendelea kusaka ushindi wa kwanza kwenye fainali tatu za AFCON ilizoshiriki mpaka sasa.
Tottenham wamekamilisha usajili wa mkopo wa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Timo Werner kutoka RB Leipzig hadi mwisho wa msimu.
Bondia wa ngumi za kulipwa, Hassan Mwakinyo ameiomba Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Zanzibar ‘ZAPBC’ kuweka picha ya Rais, Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika mikanda ya Ubingwa wa Taifa, kama heshima ya kurudisha mchezo huo...SOMA ZAIDI...instagram.com/p/C1qm_2ANVFc/…
Inasemekana Viongozi wa klabu ya Simba watakuwa na kikao cha nidhamu na kiungo wao Raia wa Zambia Clatous Chama leo kwa njia ya mtandao akiwa huko huko Zambia kwenye majukumu ya Timu ya Taifa..Soma Zaidi...instagram.com/p/C1qj2wptgtZ/…
AUGUSTINE Okrah ‘Okrah Magic’ tayari ni mali ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi juzi Jumapili usiku wa kuamkia Mwaka Mpya 2024. Sasa unajua Kocha Miguel Gamondi amefunguka nini kuhusu mchezaji huyo..Soma...instagram.com/p/C1oARKTNTWB/…
Tanzania Prisons imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Freddy Felix Kataraiya Minziro kufuatia matokeo yasiyoridhisha na sasa Maafande hao watabaki chini ya msaidizi, Shaban Mtupa...SOMA ZAIDI...instagram.com/p/Cz50FPRtVml/…
United States Trends
- 1. $CUTO 7.968 posts
- 2. Go Navy 4.490 posts
- 3. Good Saturday 33,9 B posts
- 4. #Caturday 5.451 posts
- 5. DeFi 200 B posts
- 6. #SaturdayVibes 5.592 posts
- 7. Jackson Arnold 1.360 posts
- 8. #SaturdayMorning 2.220 posts
- 9. #Kicksmas N/A
- 10. Snow Slingers N/A
- 11. Tornado Warning 2.815 posts
- 12. #PlutoSeriesEP9 371 B posts
- 13. Keith Olbermann N/A
- 14. Standard 111 B posts
- 15. AioonMay Reversing 309 B posts
- 16. WNBA 46,8 B posts
- 17. Home Economics N/A
- 18. Daylight 108 B posts
- 19. Mayorkas 26,1 B posts
- 20. MEET DAY 9.535 posts
Something went wrong.
Something went wrong.