Similar User
babayaga🙃 photo

@babayaga2257

Mjumbe photo

@TibenganaBituro

@Hogo photo

@sadick_lameck

rodrick kashuke photo

@RKashuke

Baba Eddie photo

@mashamba_d

紫式部 photo

@ddvjuZZYv6rzp7p

charles malekela photo

@charlesmalekel2

Petermlelwa19 photo

@petermlelwa19

Luumi Marco photo

@LuumiMarco

Master Jr photo

@UrioLeonce

Baba Mchina Reposted

SERIKALI YA TANZANIA.


Baba Mchina Reposted

“Kama mmegundua kitu sisi Yanga, hatujawekeza nguvu zetu kubishana na maoni ya watu. Nguvu yetu kwa asilimia 100 tumewekeza uwanjani. Uwanjani ndipo ambapo majibu yote yanapatikana” Ally Kamwe Ally Kamwe amefungua code muhimu kwa wananchi. Msihangaike na porojo. Wengi wao…


Baba Mchina Reposted

14/11 Mungu amenipa nafasi nyingine ya kuongeza mwaka 🙏💜 HAPPY BIRTHDAY TO ME.

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Kikosi kinachoanza dhidi ya JKT Tanzania🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Ikawe kheri leo

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Katika nyakati ngumu ndio inapaswa kumshukuru Mungu sana kuliko nyakati za furaha, Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba 23, 2024. Kabla ya Mbowe kukamatwa, alifika eneo hilo akiwa na gari dogo, kisha kuanza kuzungumza na waandishi wa habari. Septemba 11, 2024, Mbowe…


Baba Mchina Reposted

Can they get 200 retweets for their massive wins last night.🤩🥳 @YoungAfricansSC 6-0 @ESTunis_EN 8-0 #CAFCL

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Baba Mchina Reposted

Nimefika gereza la Segerea, DSM. Nimeonana na @ExMayorUbungo Ndugu yetu yupo imara na uso wenye tabasamu sana. Amepigwa upara kichwani tayari. Sasa anajiita “Boni Dongo”. Alifikishwa gerezani saa tano usiku jana. Mnaweza kumtembelea kesho. Anawapa ujumbe kutoka Mathayo 10:28.


Baba Mchina Reposted

Stay Strong Boniyai🙏Tutacheka tena.

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Huyu @ExMayorUbungo ni mtu mwenye maisha mazuri sana. Jumba la kifahari,biashara na mambo mengi. Lkn anayopitia leo hii ni kutokana na kuacha kula bata na kupigania haki,usawa na maisha ya wengine. Amepigania haki za wengine na sasa ni wakati wa kupiganiwa haki yake pia.

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Tuendelee kumuomba Mungu atufungulie njia zetu za baraka, Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Siku nyingine ya kumshukuru Mungu kwa Afya na uzima, na siku nyingine ya kuwakumbuka ndugu zetu ambao familia zao hazijui sehemu walipo, tunawaombea warudi salama, Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Goodmorning X Familia niwatakie Sikukuu njema na tuendelee kuwakumbuka ndugu zetu ambao mpaka leo hatujui wako wapi🙏

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Kwa Ndugu zetu ambao hatujui walipo, tunawaombea muwe salama 🙏na watu mliowashika imetosha sasa ni mwezi waachieni.

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Mungu ni wetu sote, Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Tunamshukuru Mungu kwa Afya na uzima, lakini tusiache kupaza sauti kwa watu ambao bado familia zao hazijui sehemu walipo warudi wakiwa wazima, na tusichoke kupost wazee Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

Baba Mchina Reposted

Siku nyingine ya kumshukuru Mungu na kupaza sauti kwa vijana ambao hadi leo Familia zao hazijui wako wapi, tunawaombea na kuamini watarudi nyumbani salama, Goodmorning X Familia💜

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.