Similar User
@M_Sylviedzbo
@c3dx
@emmanuelnee
@shafiqul7040
@yobybrians
@RuthieLManier
@RealDuaneSmith
@MalikMmha
Njia panda wewe ndo mtetezi wetu dua zetu kwako mungu akupe ulinzi wa milele amin
Hakika tz ilikuwa uozo ulioshindikana lakini sasa imepatikana ndimu tunakusbukuru muheshimiwa magufuli wanyonge tunakutegemea usituache
Yoyote anae mchukia mh. Magufuli basi huyo ni fisadi ama akili yake haikosawa mh. Magufuli kazi buti wanyonge wote tuko pamoja nawe
Yule mtaalam wa kuunga mifupa kwa kutumia mitishamba mgonjwa anapona kwa wiki mbili piga simu. No. 0712051990 0764288678. Na 0629835187
mh. Rais magufuli sisi wanyonge tunakuomba spidi isishuke moto ni huko huo wewe ndiyo mtetezi wa wanyonge tunakutegemea
Hongera mh. Magufuli kwa kumtoa ney ila na nyie wasanii msikubali kutumiwa kisiasae
Serikali haihalibu nchi bali kuna wale majeuri wanaotaka kushindana na Serikali ndiyo wanaotaka kutupeleka pabaya
Tanzania ilijaa uozo hasa vigogo waliigeuza ni nchi yao walikuwa wakifanya chochote wanachotaka bila kubuguziwa sasa huyu wasasa hatazami m2
Heli uwe na maadui wengi utapata maendeleo kuliko kuwa na marafiki wengi watakufilisi mh. Magufuli p1 na makonda piga kazi
Kila kiongozi anaepewa jukumu la kutuongoza lazima tumlaumu na kumuona hafai je mnataka kiongozi wa aina gani acheni mizengwe
Kweli kuongoza watu kunataka uvumilivu ndiyo maana m/mungu kaondoka duniani kwa kukimbia lawama watanzania tupunguze lawama
Kwa kweli mto muyombo ni kero kubwa kwa wakazi wa kimara misale hakuna daraja
Wanao kuchukia ni wahalifu suluhu c kuhama chama bali kuacha maovu
Hongera mh. Makonda umetimiza mwaka ktk uongozi wahalifu wackurudishe nyuma songa mbele
Hongera mh. Mtakonda umetimiza mwaka ktk uongozi wahalifu wackurudishe nyuma songa mbele
Mkoa pwani wilayani kibaha vijijini imevamiwa na viwavi jeshi mashamba yote ya mpunga yameshambuliwa
Mvua zinanyesha wakulima tunajitahidi kupanda lakini wafugaji wanaturudisha nyuma wanalisha mifugo yao usiku kwenye mashamba yetu
Ni furaha sana yanga mnatufungaga simba kwa fitina lakini kiwango chenu ni kidogo sana hongera omog
Sasa chama mnakipoteza kimekuwa chama cha watenda maovu
United States Trends
- 1. Friday the 13th 88,5 B posts
- 2. $CUTO 7.713 posts
- 3. #TSErasArchives 8.782 posts
- 4. #SantaChat 1.057 posts
- 5. #IDEGEN N/A
- 6. #FridayVibes 9.172 posts
- 7. Ciri 123 B posts
- 8. CALVIN KLEIN 56,5 B posts
- 9. #HappyBirthdayTaylor 16,6 B posts
- 10. Odell 5.362 posts
- 11. Good Friday 72,8 B posts
- 12. Shawn Levy N/A
- 13. DeFi 208 B posts
- 14. Witcher 141 B posts
- 15. FDIC 5.804 posts
- 16. Denis 15 B posts
- 17. Brink 7.629 posts
- 18. Recycling 37,7 B posts
- 19. Army-Navy 15,6 B posts
- 20. De'Vondre Campbell 15,1 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.