Similar User
@BinamuAk47
@lesempiter
@emmamagadula
@Victor_Sonco
@phiniasalbinus
@realkevoo_
@kayombo29
@romnnusi
@mile_Tza
@Jige23
@FatherNkwera
@MalekTrendz
@TheRealElsonY
@MTCAssociation
@MgucciKelvin
Happy Birthday Mtanzania Mwenzangu...
Nilizaliwa tarehe kama ya Leo zamani kidogo. Namshukuru Mungu kwa kuoniongezea mwaka mwingine.
NUKUU YA LEO: “Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Wekeza nguvu na akili yako kwenye kitu fulani, hakuna kinachokuja kirahisi.” - Kevin Hart
"Makosa yetu mengine hutokana na woga: woga wa kujizuia kumlaumu mkubwa japo tunajua kakosea au woga wa kumtetea mdogo anaelaumiwa na mkubwa japo tunajua hana kosa" #MwlNyerere #ActiveCitizens
MKASA WA MWANA ALIYETAKA KUJIUA. #UZI 🦅Picha ya mwana unayoiona hapa chini,iliwahi kuwekwa kwenye ukurasa wa juu wa jarida la “San Francisco Chronicle”, na kisha ikaongezwa kwenye orodha ya “75 most iconic photos of the 21st Century”. Ni Picha ya Mwana aitwaye Kevin Berthia.
Leo hii watoto zao na wajukuu wataki hata kutusikia Waafrika wenzao wamesahau yote...
Mwalimu na Oliver Tambo. Tambo alitoroka kutoka Afrika Kusini kuja Tanganyika 1960. Tambo alipitia Bachunaland (Botswana) hadi Nyasaland (Malawi) aingilie kwa Mbeya. Akiwa Malawi, alikamatwa na kutaka kurudishwa Afrika Kusini, mawakili wake wakamchomo, Wakamvushia Tanganyika.
🦅Mwaka 2005 Mwanetu Kevin Berthia alienda pale Golden State Bridge, Kwa Lengo moja tu, KUJIUA. 🦅Mwana alikua amepoteza matumani kabisa ya kuishi kutokana na Maseke ya Maisha. 🦅Akiwa kwenye ‘edge’ ya daraja ili ajirushe na kuuhitimisha kabisa ukurasa wa Maisha yake,
Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na gwiji wa Motown, Marvin Gaye alipigwa risasi na kuuawa na babake mzazi kwa bunduki aliyomnunulia baba ake kama zawadi , siku moja kabla ya kutimiza miaka 45. UZI.
Kumbukumbu Machi 1995.
"Udikteta ni serikali ya mtu mmoja au kikundi cha watu wachache ambao wao ndio huwa sheria, anayepinga watakayo huoneshwa cha mtema kuni". - Hayati JK Nyerere
NUKUU YA LEO: “Kwenye maisha; kanuni ya kwanza ya mafanikio ni uvumilivu.” - Daisaku Ikeda
During Midnight's I feels your Presence around! Sleep easy Dota; Sleep In Eternal Peace! I Pray for you Soul till I'll join you over there. Baby I'm still doing the Night Shifts! Convey my greetings to your Mum, mine and you Grandpa Makop Zorro himself. Tell them I miss them too
Msimamo wa aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Tanzania Alhaji Aboud Jumbe kuhusu Muungano. Ilikuwa ni katika mahojiano Februari 1993 takriban miaka tisa baada ya kulazimishwa kujiuzulu na kuachia madaraka. Alhaji Ali Hassan Mwinyi akateuliwa kuwa mrithi wake.
Rafiki mmoja ameandika hivi " Hii ndio treatment ya mtuhumiwa ambae baba yake hana cheo wala hajulikani. Yule mtoto wa Waziri alitukana Polisi matusi lukuki na kwa muda wote huku wakiwa wana mrekodi.Tuna subiri kusikia huu uhuni ukikemewa au awa Polisi wapande cheo.
Following advice on well-being at my workplace I removed my email app from my phone - BEST THING I EVER DID! Wish I had known about this earlier… 😄
NUKUU YA LEO: “Kwenye maisha; hakuna shida wala huzuni inayodumu milele. Vuta subira kisha mtumaini Mungu na mipango yake.” - John Piper
HISTORIA NYINGINE MPYA. Kwa mara nyingine tena nimeandika historia mpya na @DStv ambao wamehusika kwa asilimia 100 katika utoaji wa hichi kitabu ili kimfikie mtoto, kijana, na mzazi waki-Tanzania. DIGITO NA GUGO - VIJANA WALIOVUJISHA SIRI ZA MITANDAO.
Took a small hard earned break! It feels Gooood! Alhamdulilah
MAHOJIANO MAALUMU: Serikali kuja na ‘kifurushi’ cha gesi ya kupikia bit.ly/3pDnCNf
United States Trends
- 1. #SyriaUnderAttack N/A
- 2. $CUTO 5.519 posts
- 3. #IDontWantToOverreactBUT N/A
- 4. #GoldenGlobes 98,2 B posts
- 5. #mondaymotivation 25 B posts
- 6. $RWA 9.195 posts
- 7. Mets 156 B posts
- 8. Yankees 86,7 B posts
- 9. Good Monday 52,6 B posts
- 10. Soto 240 B posts
- 11. #ProtectMinorities 1.905 posts
- 12. COBOL N/A
- 13. Time Magazine 2.404 posts
- 14. Jay Z 307 B posts
- 15. Person of the Year 8.221 posts
- 16. Victory Monday 2.293 posts
- 17. Happy Birthday Ryan 3.078 posts
- 18. Lara Trump 13 B posts
- 19. Denis 12,9 B posts
- 20. Loser of the Year N/A
Who to follow
-
Reuben Msangi🇹🇿
@BinamuAk47 -
Sudimali
@lesempiter -
EMMA
@emmamagadula -
VICTOR°
@Victor_Sonco -
Phinias Albinus
@phiniasalbinus -
Kelvin Michael
@realkevoo_ -
kayombo Jr
@kayombo29 -
Romnnusi
@romnnusi -
Mile_99
@mile_Tza -
Jige
@Jige23 -
Father Nkwera
@FatherNkwera -
Malek
@MalekTrendz -
mkaruka
@TheRealElsonY -
MTCA
@MTCAssociation -
Mgucci_09
@MgucciKelvin
Something went wrong.
Something went wrong.